Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 42
.. ntakuachia yangu chapaa!.
Jokes zinachangamsha.Kenya has talented standup comedians /watch churchill live on NTV Every Tuesday 7.30 p.m.
Namba 23 kali!
Dah wenzetu kiswahili ni issue.Ila si nasikia wanaongoza kwa kutoa magraduands wa kiswahili?
me 32 and 33.mi napenda 31
mbona znachapishwa kwenye magazet ya kenya kama taifa le2 na mengne...haya magazet hapa tz yanapatkana sehem za namanga,holili na sirari..Hakya Mungu, we ni mkenyaaaaaaaaa au ni kipaji tu? very nice!