Matani ya Wakenya

Matani ya Wakenya

aisee haya matani nomaaaa!
Nimecheka mpaka basi yani!
Namba 7 imenitegua mbavu moja hapa
 
Hii kule kenya wanaiita mchongoano kama vipi ngoja niwaangalizieni web yao niitupe jf
 
we ni Mublack, Mpaka ukisimama kwa kibanda ya Mkaa mteja akikuja anasema nipatie hii kbwa!
:focus:
dem wako ni mkonde(amekonda) design ya kichwa big na body small adi mkiingia kwa mat(daladala) conda anadai(anasema) "mswaki kwa mfuko"!!
 
image0022.jpg


embu wamuone na mkenya mwenzao kipindi hiki cha sherehe za kufunga mwaka.

Jamani kunyweni responsibly, merry Christmas and a happy 2012.
 
Back
Top Bottom