Matani ya Wakenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matani ya Wakenya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zanaki, Oct 27, 2008.

 1. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2008
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Matani ya Wakenya ......

  1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!

  2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati ‘THU' hii hao (HOUSE) ni noma.

  3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.

  4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia "wee iba tu Mungu
  anakuona."

  5. Ati hao(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

  6. We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement(sakafuni) miguu ina hang kwa hewa.
  7. We mjinga mpaka ulifail blood test.

  8. Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch.

  9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mala (MGANDO/MTINDI) .
  10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za blak kwa makaa.

  11. Nyanyako(bibi yako) mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

  12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu yaani buda(baba) yenu hajui majina mpaka huwa
  address kama wananchi. (KAMA RAISI ANAPOTOA HOTUBA)

  13. TV yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.

  14. Wewe mblack mpaka unasweat soot.

  15. Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni schoolbus.

  16. Manzii wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror(movie ya kutisha) Hollywood.

  17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind.

  18. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka kwa hao(house) kuna round-about.

  19. Kwenyu nyinyi ni wa daft (WAJINGA) mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school.
  20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool.

  21. Mko wengi kwa hao(house) mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam
  .
  22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka kwa zile vitanda double decker lazima utumie
  parachute.

  23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee wa news huanza kwa kusema ..ati Munatuona jamani?

  24. Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi.

  25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow good evening?

  26. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt

  27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder.

  28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zina tema mate

  29. Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork na pilipili.

  30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang(ning'inia) kwa frame.

  31. TV yenu ndogo mpaka wasee wa News(watangazaji wa habari) wame piga magoti.

  32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time ifike kwa magoti ime kauka.

  33. Nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers(malapa) .

  34. Budako(baba yako) ni ****, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.
   
 2. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ..Very interesting na hicho kiswahili kilichovunjwavunjwa humo mh!!!
   
 3. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  that is SHENG!!! ni maksudi kuvunjavunja lugha...
   
 4. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dah wenzetu kiswahili ni issue.Ila si nasikia wanaongoza kwa kutoa magraduands wa kiswahili?
   
 5. Nelson Charles

  Nelson Charles Member

  #5
  Oct 29, 2008
  Joined: Oct 16, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha! ha1 ha! ha! ha! ahise hiyo ni noma iko kwa poa. coz inakua ni kiswanglish
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Matani ya ki-kenya, si unajua wakenya wananyoongeaga kiswahili, hebu ongea kama wao ukisoma hii....

  1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!

  2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati ‘THU’ hii hao (HOUSE) ni noma.

  3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.

  4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia “wee iba tu Mungu
  anakuona.”

  5. Ati hao(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

  6. We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement(sakafuni) miguu ina hang kwa hewa.
  7. We mjinga mpaka ulifail blood test.

  8. Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch.

  9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mala (MGANDO/MTINDI) .
  10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za blak kwa makaa.

  11. Nyanyako(bibi yako) mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

  12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu yaani buda(baba) yenu hajui majina mpaka huwa
  address kama wananchi. (KAMA RAISI ANAPOTOA HOTUBA)

  13. TV yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.

  14. Wewe mblack mpaka unasweat soot.

  15. Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni schoolbus.

  16. Manzii wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror(movie ya kutisha) Hollywood.

  17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind.

  18. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka kwa hao(house) kuna round-about.

  19. Kwenyu nyinyi ni wa daft (WAJINGA) mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school.
  20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool.

  21. Mko wengi kwa hao(house) mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam
  .
  22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka kwa zile vitanda double decker lazima utumie
  parachute.

  23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee wa news huanza kwa kusema ..ati Munatuona jamani?

  24. Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi.

  25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow good evening?

  26. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt

  27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder.

  28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zina tema mate

  29. Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork na pilipili.

  30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang(ning’inia) kwa frame.

  31. TV yenu ndogo mpaka wasee wa News(watangazaji wa habari) wame piga magoti.

  32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time ifike kwa magoti ime kauka.

  33. Nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers(malapa) .

  34. Budako(baba yako) ni ****, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.

 7. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hakya Mungu, we ni mkenyaaaaaaaaa au ni kipaji tu? very nice!
   
 8. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  we ni Mublack, Mpaka ukisimama kwa kibanda ya Mkaa mteja akikuja anasema nipatie hii kbwa!
   
 9. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Jokes zinachangamsha.Kenya has talented standup comedians /watch churchill live on NTV Every Tuesday 7.30 p.m.
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Jokes zinachangamsha.Kenya has talented standup comedians /watch churchill live on NTV Every Tuesday 7.30 p.m. Wamepiga hatua si haba tangu enzi za kivunja mbavu starring baba zero,makanyaga,masanduku othorong'ng danger etc
   
 11. Evmem

  Evmem Senior Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh!!hii kali
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  i like this:mod:
   
 13. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Namba 23 kali!
   
 14. Y

  Yahabib_1 Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  verry.nice
   
 15. M

  Mr D47 Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unatisha mwanangu nime ipenda
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahahha aiseeee wakenya bana!
   
 17. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hahahhaha! Uwiiiii, mbavu zangu. Ntarudia tena badae ncheke tena. Chezea wakenya uone
   
 18. Evmem

  Evmem Senior Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda no 34
   
 19. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Inaburudisha,good.
   
 20. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  No 18 ni noma vp trafic anakuwapo asubh na jion?
   
Loading...