Matangazo mengi ya TPA kwenye digital platforms ni ya nini?

mkushite

JF-Expert Member
Sep 2, 2021
623
1,467
Kalibia mwezi mzima sasa naona matangazo mengi ya TPA kwenye digital platforms hasa hasa Google Ads(Youtube, search engine, e.t.c).

Nashindwa kuelewa, haya matangazo ni ya nini? Na mbona hatujawahi ona matangazo yenu kipindi cha nyuma?

Hata kama tunaitaji mwekezaji. Huyu DP World hawezi kuwa mwekezaji mzuri lazima atakuwa na nia ovu (mbaya) kwenye bandari zetu.

Hawa jamaa baada ya kuondoka kwa kashifa zilizopo, wao wanaongeza pesa za hongo na kujaza matangazo kwenye media.

Tabia za Investor yeyote mwenye nia nzuri, akionaga migogoro sehemu atakayo wekeza, huwa ana pull out na kuacha uwekezaji.
 
Haya matangazo yapo mpaka kwenye flashscore, huwa yananichosha sana nikitaka kubeti
 
Back
Top Bottom