Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Msarikie alikuja kudharau mila wakamuokota kwenye vichaka huko hakujui hata anachofanya na kanzu yake,sijui ulikuwa ni ugonjwa sijui ndo mila zenyewe,Askofu wangu aliyenipatia kipaimara
Jaman hata mimi alinipa kipaimara
Nilikuwa nampenda sana
Siku misa ikiwa ni yake nilikuwa nahakikisha baada ya misa lazima anibariki
Mungu amlaze pepa baba askofu
Mwendo ameumaliza
 
Ahhh sana tu mweeh
Hasa nikikumbuka disco lile
Enzi zile mnaingia wote,si watoto,wakubwa
Soda yako tu
Pia kulikuaga na ubabe na utemi wa kijinga waliokua wanafanyiwa kina dada wanaoshobokea bia za offer

Utakuta dem kaenda na jamaa yake disco halafu anakubali kupokea offer za bia za watu wengine

Huyo mwanamke haondoki na bwana aliyekuja naye kama mwanaume asipokua mtata na yeye
 
Hunizidi mimi simkubali aman,na sasa hivi kaamishiwa Arusha,
Hata Mimi toka akiwa padre wa kawaida then paroko roho yangu ilimkataa
Sijui kwann
Hata nilikuwa nikienda misa kama anasalisha yeye basi moyo ukawa unakosa furaha
My heart never accepted him kabisa
 
Pia kulikuaga na ubabe na utemi wa kijinga waliokua wanafanyiwa kina dada wanaoshobokea bia za offer

Utakuta dem kaenda na jamaa yake disco halafu anakubali kupokea offer za bia za watu wengine

Huyo mwanamke haondoki na bwana aliyekuja naye kama mwanaume asipokua mtata na yeye
Mie hata sikumbuki hayo
Nakumbuka tu soda alizokuwa anatunyima hausigel wetu halafu anajimwagia kichwan kwenye Rasta,I still have that memory
 
Jaman hata mimi alinipa kipaimara
Nilikuwa nampenda sana
Siku misa ikiwa ni yake nilikuwa nahakikisha baada ya misa lazima anibariki
Mungu amlaze pepa baba askofu
Mwendo ameumaliza
Hapo kwenye Kanisa na Kristo Mfalme kulikua na shule ya serikali inaitwa Mwereni Primary nasikia siku hizi imehamishwa
 
Nikiwa mdogo nakumbuka mama devotion alikuwa akipita barabara ya home uku amevaa nguo nyeupe katoka mbuyuni

Kipindi iyo nasoma primary jamhuri duuub
Mpaka leo maza bado ni mtata,na sidhani kama hata ana mpango wa kufilisika,maana yake marangu tu na mtaa mzima
 
Hata Mimi toka akiwa padre wa kawaida then paroko roho yangu ilimkataa
Sijui kwann
Hata nilikuwa nikienda misa kama anasalisha yeye basi moyo ukawa unakosa furaha
My heart never accepted him kabisa
Aise sijui kwanini ila hajui kula na kipofu tatizo hawa maaskofu wa aina hiyo natamani wapelekwe kwenye majimbo yenye utata kama vile Sumbawanga huko,au pwani,ili wajue thamani za waumini wao
 
Back
Top Bottom