john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
Kuna watu wana muda wa mchezo humu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tatizo la vijana wa Arusha wakipewa bia na nyama choma tu wanawaita watu bilionea. Labda niulize Arusha kuna matajiri wa ngapi wenye viwanda.
Hivi huko Arusha mnatumia vigezo gani kuwaita watu mabilionea?
na mie ntanunua ndege aisee kumbe bei ndogo hivi..
Wanasema mtu kumiliki Cessna na nyumba ya mageti, magari ya kifahari. Wtz bana, wakati ndege hizo zinaanzia US$ 29,000 tu, tazama Aircraft For Sale | Airplanes For Sale | Planes For SaleJana nilikuwa nasoma thread moja humu kuhusu watu wa Arsuha. Kweli nimeamini wana matatizo sana. Manake taarifa za utajiri wa mtu utazisikia midomoni mwa watu tu, huoni investments zao ni nini. Mara ya kwanza kufika Arusha na kwa kelele za wakazi wa huko nArusha ukiwa maarufu tu basi unaitwa tajiri.sasa hivi utasikia Lema na Nassari nao mabilionea.
Unajua bana wadaslam mna SUPERIORITY COMPLEX ..ya kizembe sana..hivi hao uliowataja wote kuna mtu anaitwa mathias wa manga mining tu anawatosha,,,kama haumjui muulize kikwete jopo la wawekezaji anaoendaga nao mbele...alafu these guys whatever they do hawana direct link na system...tofauti na hao wa daslam ambao wanachezea kodi zetu...hawa jamaa ni mareal hustlers jombaa...bilioni?yani kuna machalii kibao ambao ni wa kawaida sana wanavo vi bilioni...tatizo wadaslam ni mdomo...mnapenda kujipigia promo sana..mdomo tu mnao..si mbona hamtusumbui nyie tunawajua...yani wa mjini nyie kila kitu nyie..nyooo...njooni kwa ma born town arusha kama hamjajiona mashosti tuEnough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa
Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha
Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu
Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy
Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire
Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa
Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
Mbona uliowatajia wote ni ama wanatoka Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Pwani au Kagera,,,,,mimi nilidhani utanitajia akina Chande na wengineo.
Think twice
mkuu bob sambeke alikuwa anamiliki ndege tatu hizo ni bilion ngapi? Halafu ongeza na raslimali nyigine, akiitwa bilionea naona sahihi.
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa
Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha
Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu
Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy
Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire
Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa
Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
Inategemea na radhi utakayomwaga.Arusha hata mi nikienda kumwaga radhi ntaitwa bilionea.
Inategemea na radhi utakayomwaga.
Usipoangalia mwanapolo tu anaweza kutoa nishai.
We subiri niende tu. Preta atakuja kunisifia hapa na akina Pakajimmy wote watakuwa ndugu zangu.
hahahahaha,,,de beers washauza huo mgodi mwaka 2010 kwa taarifa yako under their co. Williamson,,,na phantom ana sehemu hapo