Independent-Mind
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 712
- 208
Ili iweje?Hivi kwanini Zitto hakuwa Mwenyekiti wa chama halafu yule mama ndiye awe Kiongozi mkuu wa chama?
Ili iweje?Hivi kwanini Zitto hakuwa Mwenyekiti wa chama halafu yule mama ndiye awe Kiongozi mkuu wa chama?
Hivi kwanini Zitto hakuwa Mwenyekiti wa chama halafu yule mama ndiye awe Kiongozi mkuu wa chama?
Sasa unacho bisha ni kitu gani? Hayo maswali kayaweka nawe umeyaona au unataka kutwambia kuwa zzk ndio mwenye elimu pekee yake hapa tanzania? Inawezekana huyo mleta uzi ana elimu kubwa kuliko huyo zzk wako,wacha kutawaliwa na mihemuko ya itikadi.
Hii dhana ya Zitto ana elimu kuliko watanzania wote ipo sana hasa kwa wanafunzi wa sekondari na watu wa facebook.Kimsingi ana elimu a kawaida si kipanga kama watu wanavodhani, kama ni uchumi kuna waliomzidi wengi tu humu JF na mitaani , siku akikatiza maeneo nilipo utasikia mkuu sipendi ligi ila lazima atiwe adabu si kupigwa aulizwe maswali na aelekezwe mambo kwa wanaojua zaidi yake
Mazuri mazuri na yameenda shule,
sema tu ilihitaji busara ya hali ya juu kuyajibu
Nimekupata Tetty;nimesha fanyia editing,asante
Ulikosea sana kumuuliza Zitto maswali mazito namna hii,Zitto hajazoea kuulizwa maswali mazito kama haya anacho kitaka Zitto ni kusifiwa na kujisifu,siku nyingine akikuona kwenye mkutano wake kama itakuwa mbeya atatoka nduki mtakwenda kumkamatia Zambia au Malawi.
Usiwe mkali sana twende tu taratibu watatuelewa tu................
Zitto msanii sana, suala la kiinua mgongo amesema ziada ya isiyo halali ndio atapeleka kwa wahitaji wa Buhangija,lkn zingine atazuia kwahiyo aache propaganda kwamba yeye hatachukua hizo hela. Na alitumia lugha ngumu ili kuwafumba baadhi ya wafuata upepo wasiosikiliza vzr kazi kushabikia tu