Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Hayo mahojiano yalikuwa wapi?unaweza kutupatia nakala ya sauti au video?
Pia muuliza maswali ulikuwa kishambenga sana,ulikuwa huna tofauti na wale wanaokodisha muziki,watu na magari kwenda kuwasuta/kuwaumbua wenzao........YOU SAIL IN THE SAME BOAT

Pole sana naona jiwe limekupata
 
Piga maswali huyo bwana misifa na mtu hatarishi wa ustawi wa jamii kwa kutaka kuaminisha umma kuwa kufukuzwa kwake ndani ya cdm kumejengwa na misingi ya kibaguzi ya kidini na kikabila.
Ni mtu hatari sana zaidi ya shetani.
Wenye akili zetu tulishamshitukia.
Atadanganya hao hao ndg zake wa kgm hasa wale wabembe,watongwe,wabwali na wagoma maana wengi wao ni akili kuambiwa.

Huyu jamaa wa mbeya alikuwa amejipanga vya kutosha hadi zzk anarusha ngumi.
 
Haki ya mungu Bavicha mwaka huu mnakazi ngumu sana!Kila kukicha mnatunga hekaya kumchafua zitto mnnasahau kabisa kuwa Ccm imeshawameza!Tunavyomjua Zitto hana akili za kuropoka kama kina lissu na mtaalam wakujibu maswali kwa ufasaha!Weka Video au Audio ili tuamini hicho unachotaka kutuaminisha!!
DCONSCIOUS
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine unajikuta upo kwenye hali hiyo kutokana na mazingira

Unamsoma tu mtu.Ukimuona haeleweki unamu-ignore............Kuna wengine zamani nilikuwa napenda sana kusoma hoja zao leo wakitoa hoja utadhani siyo yeye basi namsoma na kumuignore basi inaisha siku yangu...
 
Haya maswali yako mkuu hata miye ningeshindwa kuyajibu. Maana kwa kila jibu silo jibu ulolitaka. labda nikuulize hivi:- Je, Ukiwa na njaa utakula nguruwe?

Hivi wana CDM kwa nini mnashangaa Zitto kutimiliwa CDM akaenda ACT na kuwa rais wakati Dr.Slaa lipotimuliwa CCM haikupita hata siku akagombea Ubunge na kuwa makamu mwenyekiti? Kuna tatizo gani, hicho chama cha NCCR nani alokiunda na na nji alikuwa mwenyekiti wake, CUF na hata Chadema hisotoria yake hatuijui kihivyo inaweza kuwa walosajili chama ni watu wengine na Mzee Mtei akatoka CCM na kujiunga na Chadema na kuwa mwenyekiti siku hiyo hiyo. Cha ajabu kipi

Wewe ndio naona jiwe la muuliza maswali wa mbeya limekupata usoni,kwa taarifa yako dr slaa hakufukuzwa toka ccm,bali alitoka kwa hiari yake,husitake kumfananisha na huyo zzk aliye fukuzwa kwa usaliti wake kwa cdm.
 
Haki ya mungu Bavicha mwaka huu mnakazi ngumu sana!Kila kukicha mnatunga hekaya kumchafua zitto mnnasahau kabisa kuwa Ccm imeshawameza!Tunavyomjua Zitto hana akili za kuropoka kama kina lissu na mtaalam wakujibu maswali kwa ufasaha!Weka Video au Audio ili tuamini hicho unachotaka kutuaminisha!!

Naona chupi imewabana ma actccm
 
Wewe ndio naona jiwe la muuliza maswali wa mbeya limekupata usoni,kwa taarifa yako dr slaa hakufukuzwa toka ccm,bali alitoka kwa hiari yake,husitake kumfananisha na huyo zzk aliye fukuzwa kwa usaliti wake kwa cdm.
Mkuu sisi wastaarabu tunajua akufukuzae hakwambii toka...Nyie mlokuwa na tabia za ajabu ajabu ndio zenu kufukuza hata watoto wa kuwazaa wenyewe..
 
Mkuu sisi wastaarabu tunajua akufukuzae hakwambii toka...Nyie mlokuwa na tabia za ajabu ajabu ndio zenu kufukuza hata watoto wa kuwazaa wenyewe mnawafukuza!

Lkn zzk aliambiwa atoke cdm kwa tabia zake za usaliti
 
Haki ya mungu Bavicha mwaka huu mnakazi ngumu sana!Kila kukicha mnatunga hekaya kumchafua zitto mnnasahau kabisa kuwa Ccm imeshawameza!Tunavyomjua Zitto hana akili za kuropoka kama kina lissu na mtaalam wakujibu maswali kwa ufasaha!Weka Video au Audio ili tuamini hicho unachotaka kutuaminisha!!

Mtaapa sana mwaka huu
 
Chadema mnamaadui wa2 sasa yani Zitto na Ccm halafu mnataka nchi kwi kwi kwwi kwi!!!
Wana JF.
Natoa wito kwa viongozi wetu wa CDM Katibu Mkuu Dr.Slaa na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa pamoja waanze ziara kupita kote alikopita Zitto Kabwe wazimishe nguvu ya Zitto Kabwe. Na waweke kambi Kigoma wajenge chama.
 
Lkn zzk aliambiwa atoke cdm kwa tabia zake za usaliti
Kwa hiyo? mkuu mimi sijali kama Zitto alifukuzwa ama Dr.Slaa hakufukuzwa, nachosema ni kwamba kila raia ana haki yake ya msingi kujiunga na chama chochote cha siasa pindi akipenda kufanya hivyo na wakati wowote. Sisi hatuwezi wapangia watu ama chama juu ya uongozi wao wakati sii wanachama na hata kama ni wanachama, chaguo la wengi inatubidi tukubali maamuzi ya wengi.

Haya ya kusutana yalisemwa hata wakati wa Nyerere, kuna watu walisema oooh kwa nini kapewa Urais wakati bado mgeni!. alaa sasa wewe ungepewa wewe ungeweza kuongoza? aaah hawana majibu. Maadam chama kimeridhika na mtu sisi hatuna sauti na ndivyo nachosema sioni ubaya kwa Dr.Slaa kuwa makamu mwenyekiti ikiwa chama kilimuona ana sifa na uwezo wa kuongoza. Tatizo lenu mnapomsoma mtu mnamsoma kwa ushabiki mnashindwa hata kumeza maneno..
 
kwa hiyo ZZK tumwite mfalme au mtemi au chifu mkuu yeye hapingwi!!!
 
Chadema mnamaadui wa2 sasa yani Zitto na Ccm halafu mnataka nchi kwi kwi kwwi kwi!!!

Zzk hawezi kuwa adui wa cdm,bali ni adui wa umma wa watanzania wapenda mapinduzi ya kweli ya kuiondoa ccm madarakani.
 
Back
Top Bottom