Ziliwekwa kule kwa muda kwa kuwa kulikuwa na kesi kati wanahisa wa IPTL.Zikawekwa kwenye akaunti ya ESCROW ambayo hakuna mwenye hisa yeyote angeweza kuchukua hadi kesi imalizike.Zingewekwa akaunti ya IPTL mwanahisa yeyote angeweza amka asubuhi na kuzitoa pesa zote ndio maana zikawekwa kwenye ESCROW ACCOUNT.
Mimi sijui kwanini hata mlimani TV walikuajili mbugila kama wewe halafu huku unataka ukagombee ubunge pwani yani ulivyokichwa maji sijui nani atakuchagua.
Mgogoro ulikuwa ni kati ya Tanesco na IPTL, waliolipana ni Tanesco na IPTL, maana yake waliafikiana kumaliza mgogoro, wakati wakifungua Escrow Tanesco na IPTL hawakuomba kibali cha bunge, so wakati wa kumaliza Escrow hawakupaswa kuomba kibali cha bunge, hii issue tumeipoliticize bila sababu
Wewe ni nani mkuu?mbona mimi sijapewa
Ziliwekwa kule kwa muda kwa kuwa kulikuwa na kesi kati wanahisa wa IPTL.Zikawekwa kwenye akaunti ya ESCROW ambayo hakuna mwenye hisa yeyote angeweza kuchukua hadi kesi imalizike.Zingewekwa akaunti ya IPTL mwanahisa yeyote angeweza amka asubuhi na kuzitoa pesa zote ndio maana zikawekwa kwenye ESCROW ACCOUNT.
Aksante mkuu-huyu mpangaji wetu alikuwa anatapatapa tu,hana loloteMkuu wala usiwaze,sisi tulishauri vizuri sana,umiliki wa pesa hizo haukuwa certain,hivyo tukashauri badala ya kurepoti kama Assets on the face of financial statements,wai-disclose kama contigent assets kwa maana ownership yake ilikuwa bado na utata,hakuna mahali tukiposhauri ifutwe bali ihamishwe,nashangaa JK anapotosha kiasi hiki.
Pole,kazi unayo,acha mimi nibaki muongo kwa muda kwa kutoleta link ili ujionee.
Imefahamika kwamba Werema kajiuzulu(sijui kama na hili utataka link)
kwa nini Werema kajiuzulu?( naamini labda hili utaelewa na kunijibu
Hatutumii umeme wa bure tunalipia lakini si kwa namna hii mnayojalibu kutuaminisha.Mkuu ni saidie swali hili dogo.Tageta Escrow account ilifunguliwa na nani specifically?Tanesco na IPTL au Serikali
Hakuna mahala katika maazimio ya bunge ambapo imesema kuwa hizo ni pesa za umma. Kumbuka hilo. Kama wewe umepaona tuoneshe na sisi. La sivyo unaweza kuwa na maoni yako lakini yasiyo kweli.
Mpaka CAG aliamrsha TANESCO wafute kwenye vitabu vyao kwani hizo pesa hawana haki ya kusema zao.
Mlitaka umeme wa bure?
Werema kasema kajiudhuru kwa kuwa hajafahamika maamuzi yake na amesisitiza kuwa hakuna kosa alilofanya na hangependa yeyote awajibke kwa maamuzi yake.
Huyo ndiyo namna ya viongozi wanaotakiwa, anabeba majukumu yake, uchunguzi sasa utaonesha kama ana makosa au hana.
Rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi aliwahi kujiudhuru uwaziri wakati wa awamu ya Nyerere kwa makosa ambayo yalibainika si yake lakini kwa kuwa yeye ndiye alikuwa waziri wa wizara hiyo akaamuwa awajibike bila kushinikizwa.
Huo ndiyo ujasiri.
Upo hapo ulipo?
Osokoni mgogoro uliisha na ndo maana pesa ilitoka.ni za IPTL kwa hukumu ipi? account ilifungiwa pesa ziwekwe wakati ikisubiriwa muafaka kwenye mgogoro baina ya IPTL na TANESCO mgogoro umeisha?? acha kutumia akili za pongo wewe?!
Siyo kajiudhuru ni kajiuzulu. Siyo kujiudhuru ni kujiuzulu na siyo akaamuwa ni akaamua.
Kwamba walitoa uamzi unaoashiria rushwa,weka sasa hivyo viashiria vya rushwa tuone.Kumbuka TANESCO ni Shirika la Umma na Pesa za Tanesco ni pesa za Wananchi kwa hiyo wananchi wana kila sababu ya kuelewa jinsi Tanesco ilivyofikia makubaliano ya kusitisha Mgogoro na IPTL.Bodi ya Tanesco ilitoa uamuzi unaoashiria uwepo wa Rushwa ndio maana uamuzi wake hauna maslahi kwa watanzania na wametakiwa kuwajibishwa.
Anayebisha kuwa pesa siyo za IPTL natilia shaka sana akili zake huenda zinashida mahala fulani.
Osokoni mgogoro uliisha na ndo maana pesa ilitoka.
labda unaweza kuuliza uliishi mahakama gani,ukweli ni kuwa huo mgogoro wa pili baada ya ule uliotatuliwa kwanza na ISCID,haukuwahi kwenda mahakamani,ulimalizwa nje ya mahakama kwa tanesco na iptl kufanya recalculation,kukubaliana na hatimae kuifunga account ya escrow.
mkuu huwa mnanifurahisha huyo faiza forxy anae jifanya anajua kiswahili anarekebisha na katikati ya sentensi yake ya marekebisho na yeye anakosea sasa sijuianakijua nn...big up kwa mnao mfatilia mfatiliaji.