Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Hivi Mbona Ninyi Watu Wa AJABU Saaana!! Ripot Ya Uchunguzi Wa Vyombo Vinavyohusika!! Sasa Ww Na Wenzio Mnaojaribu Kupotosha Umma Wa Watanzania, Kwa Maslahi Yenu Ya CHAMA CHENU!! Sasa Kumhusisha Kagame Na Kifo Cha Kawaida Tu!! Ni Uchochezi Kwa Majirani ZETU!! Na AJABU Ni Pale MAMLAKA Husika Wanapokaa Kimyaa!!! Uchochezi Wa Wazi!!
 
Mtikila aliumia alirushwa nje afu gar ikamlalia juu maelezo ya mwenzie Yule pia kufa ajalini si mpaka uumie mdgo wangu hakuchubuka popote alifariki na waliokuwa garini wametoka wazimaaa isipokuwa dereva aliumia kichwani kidgo so ajali ni ajali tuu
 
Hivi Mbona Ninyi Watu Wa AJABU Saaana!! Ripot Ya Uchunguzi Wa Vyombo Vinavyohusika!! Sasa Ww Na Wenzio Mnaojaribu Kupotosha Umma Wa Watanzania, Kwa Maslahi Yenu Ya CHAMA CHENU!! Sasa Kumhusisha Kagame Na Kifo Cha Kawaida Tu!! Ni Uchochezi Kwa Majirani ZETU!! Na AJABU Ni Pale MAMLAKA Husika Wanapokaa Kimyaa!!! Uchochezi Wa Wazi!!

mzee POPOMA nakubaliana na wewe
 
Mtoa mada kama hujaridhika na kifo cha mchungaji ruksa kufanya uchunguzi huru.

Ni mvivu wa kufikiri, kwani kwa mazingira ya ajali na mwonekano wake utakua mtu wa ajabu sana kuhoji kwanini mtu kafa... Ni Mungu amehamua kumwadhibu kwa kauli zake, Ogopa sana kumfanyia mtu ubaya asikulipe akushtakie kwa MUNGU...
 
Eneo lile hakuna makazi ya watu. Sikiliza maelezo ya mchungaji majeruhi. Dereva alikwepa Gari jingine ambalo liliovateki Lori lililopaki pembeni ili wasigongane USO kwa USO, huko alipochochora alitumbukia kwenye kakorongo ndo ikapinduka. Kwa sababu marehemu hakufunga mkanda, alirushwa nje na Gari ikamlalia.

Hilo lori liko wapi sasa?
 
ALWATAN KIZIGO

Muuaji wake anajulikana, hivi karibuni amemshambulia sana na akasema hafai
kwenda Ikulu. Huyo huyo muuaji ndiye aliyetuma watu kumvamia Humphrey Polepole nyumbani kwake Mbezi beach.

kama una evidence peleka polisi akamatwe afikishwe mahakama vinginevyo utakuwa unabwabwaja bure
 
Last edited by a moderator:
Gari iharibike vile afe mmoja tu wengine watoke wazima wamechubuka kidogo tu halafu marehemu alilaliwa na gari kusionekane majeraha kwenye mwili?hapa kuna kitu
 
ni rahisi sana, nenda kwafamilia yake omba kua private detective, zungu huko kote mpaka njombe. Ikiwezekana excavation ifanyike rudia na forenscics, hire na FBI tuletee majibu unayo taka. Kama unasema huwaamuni polisi
 
kifo cha mtikila hakiwezi kuongeza kura za sisiem,jaman muacheni mzee wa watu apumzike kwa amani.
 
Watu msikurupuke kuandika mada ambazo hamna uhakika nazo. Jipeni muda wa kufuatilia kwanza kwa umakini. mfano ukikodi gari ni lazima kumjua sana dereva! au mwenye gari! acheni hizo.
 
Watu msikurupuke kuandika mada ambazo hamna uhakika nazo. Jipeni muda wa kufuatilia kwanza kwa umakini. mfano ukikodi gari ni lazima kumjua sana dereva! au mwenye gari! acheni hizo.

Unajua aliyezoea kuua wenzie kwa uchawi, hata akisikia jirani kafa kwa kipindupindu atauliza nani kamloga? Kwao hakuna kifo cha kawaida hata kidogo.
 
Gari iharibike vile afe mmoja tu wengine watoke wazima wamechubuka kidogo tu halafu marehemu alilaliwa na gari kusionekane majeraha kwenye mwili?hapa kuna kitu

Kuna kitu gani? Si uelezee hicho kitu? Au hakielezeki? Mtikila hakufunga mkanda. Kama unajua kitu cha ziada kiseme basi au kipeleke polisi wachunguze kwa ziada
 
hizi akili kimavimavi zitaisha lin?? watu wanapenda kujifanya maafsa usalama, wachunguzi, wafuatiliaji!!! akili za rojo hizi....huyo MTU majibu yametolewa kuwa alivunjika mbavu name na kuvuja damu kwa ndani akashindwa kupumua..hukusikia???? Dk wa mihogo so ajabu haya anatishwa na anaoshare nao demu!!! acha ukenge bata maji
 
Mtoa maada is trying to think beyond reasonable doubt ila anaonekana uwezo wake wa kujenga hoja hauna uhalisia ila anataka tu kupotosha, ukisoma thread anasema eti UKIANGALIA PICHA ANAONEKANA HAJAUMIA, HALAFU HANA MAJERAHA, sasa mimi nilidhani una report kutoka field kumbe una extract picha kutoka kwenye mtandao.Next time try to be smart with your arguments and justification
 
Inasikitisha sana leo baadhi ya watanzania wanafurahia kifo cha Mtikila kisa amerudia kuponda ufisadi wa Lowasa,
Hivi kama Mtikila angefariki siku chache tu baada ya kutoka list of shame pale muembe yanga mngefurahia kifo
chake?
Naam,kumbe tatizo ni muda tu,
Kusema Lowasa fisadi wakati ule ni sawa ila leo ni mwiko kwani ukisema utakufa.
Kuna wapumbavu wanaenda mbali zaidi wakiamini kwamba ukiponda Ufisadi wa Lowasa utakufa,
Kwanini Slaa,Lisu,Msigwa,Mbowe,Sugu,Lema na wengineo wapo hai mpaka leo wakati hawa ndio walikua waasisi wakumponda waziwazi Lowasa kwamba ni mwizi na fisadi mkubwa nchini?
Tujiulize kwapamoja kwanini watu hawa hawakufa wapo hai mpaka leo?
Hivi kama kweli ukimponda lowasa kwamba ni fisadi utakufa hivi tanzania ingebaki na nani hai kwani ni dhahiri zaidi ya 80% walitamka sana ufisadi wa mh huyu.
Watanzania kama haya ndio mabadiliko tunayoyataka basi muheshimiwa Msigwa alikua sahihi,"wanaomshabikia lowasa wakapimwe akili".
Msigwa ukaanze na wewe mwenyewe kupata vipimo ili uwe mfano kwa mashabiki wengine.
Pumzika kwa amani mtanganyika tutakukumbuka kwa harakati zako na misimamo yako daima,Amina!
 
mbona kama habari zote zinamlenga chadema what exactly unataka kusema.. kwani hakuna ccm waliokufa kwa ajali kama hizi.. akina moringe sokoine! tusipende kuwa na mawazo negative tuh! kila siku
 
Back
Top Bottom