Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
mbona kama habari zote zinamlenga chadema what exactly unataka kusema.. kwani hakuna ccm waliokufa kwa ajali kama hizi.. akina moringe sokoine! tusipende kuwa na mawazo negative tuh! kila siku
Tunajadili ajali ya Mtikila hiyo ya Sokoine ifungulie thread yako.
Kuhusu uhusika wa Chadema, ni sehemu ya kuhoji. Sidhani kama inakwepeka.