Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Nakumbuka waziri wa kilimo yeye alisema waziri mkuu atachelewa yeye na wizara yake watakuwa Dodoma wiki iyayo.
LINI?Dodoma tunakuja
Nendeniii tuDodoma tunakuja
Bora wangeacha kazi damu changa ziajiriwe, hata wasipoacha kazi kufutwa kazi lazima mizizi yote ya kifisadi lazima ing'olewe.Kutokana na maamuzi ya ghafla ya mheshimiwa rais mtukufu dr john pombe joseph magufuli kutaka kuhamia dodoma kumekuwa na hali ya huzunu,kuchanganyikiwa na kukosa amani kwa wafanyakazi wengi walio ofisi za Umma. Habari za uhakika zinasema kuna ndugu kadhaa ambao wameona ni bora kuacha kazi wabak dar waendelee na miradi au shughuli zao nyingine kuliko kwenda dodoma.
ofisi ya TRA ni moja ya ofisi ambayo inasemekana imeathirika sana na tukio hili la kuhamia dodoma hasa kutokana na kuwa na baadhi ya vigogo kuota mizizi jijini dar. wengi wanaonekana kutokuwa tayari kung'oa mizizi yao kuhamia dodoma na wapo tayari "kukatwa au kujipukutisha majani lakini wabaki dar"
kwa chanzo cha habari hicho kinasema kuna ambao kabisa wameapa kwa miungu yao dodom hawaend mmana mmoja alidiriki kusema alipotoka dodoma alijua sasa ameachana na adha na mateso ya jiji lile ambalo alizaliwa na kusomea. saa kumrudisha kule kwa nudgu zake ombaomba ni kumrudisha nyuma kimaendeleo akikumbuka jinsi ambavyo miaka ya nyuma walikuwa wakimroga.
inasemekana kwa kiasi kikubwa watumishi wanaonekana kuligomea jambo hili ingawa wengine wanaishia kunung'unika tu na kutukana kimya kimya. na wengine machoni wanacheka moyoni wana huzuni.
Kutoka dodoma mwandishi wetu anasema wakazi wa jiji hilo walipokea tamko la rais kwa bashasha,tabasamu na mihemko chanya kabisa wakiombea hata iwe kesho. na viwanja vimeanza kupanda bei kwa kiasi kikubwa ikisemekana kuna makundi ya watu kutoka mikoa ya Mbeya,mwanza,dar na arusha wanamiminika huko kwenda kununua viwanja.
"adha na mateso ya jiji lile ambalo alizaliwa na kusomea" dodoma sio jiji mkuuKutokana na maamuzi ya ghafla ya mheshimiwa rais mtukufu dr john pombe joseph magufuli kutaka kuhamia dodoma kumekuwa na hali ya huzunu,kuchanganyikiwa na kukosa amani kwa wafanyakazi wengi walio ofisi za Umma. Habari za uhakika zinasema kuna ndugu kadhaa ambao wameona ni bora kuacha kazi wabak dar waendelee na miradi au shughuli zao nyingine kuliko kwenda dodoma.
ofisi ya TRA ni moja ya ofisi ambayo inasemekana imeathirika sana na tukio hili la kuhamia dodoma hasa kutokana na kuwa na baadhi ya vigogo kuota mizizi jijini dar. wengi wanaonekana kutokuwa tayari kung'oa mizizi yao kuhamia dodoma na wapo tayari "kukatwa au kujipukutisha majani lakini wabaki dar"
kwa chanzo cha habari hicho kinasema kuna ambao kabisa wameapa kwa miungu yao dodom hawaend mmana mmoja alidiriki kusema alipotoka dodoma alijua sasa ameachana na adha na mateso ya jiji lile ambalo alizaliwa na kusomea. saa kumrudisha kule kwa nudgu zake ombaomba ni kumrudisha nyuma kimaendeleo akikumbuka jinsi ambavyo miaka ya nyuma walikuwa wakimroga.
inasemekana kwa kiasi kikubwa watumishi wanaonekana kuligomea jambo hili ingawa wengine wanaishia kunung'unika tu na kutukana kimya kimya. na wengine machoni wanacheka moyoni wana huzuni.
Kutoka dodoma mwandishi wetu anasema wakazi wa jiji hilo walipokea tamko la rais kwa bashasha,tabasamu na mihemko chanya kabisa wakiombea hata iwe kesho. na viwanja vimeanza kupanda bei kwa kiasi kikubwa ikisemekana kuna makundi ya watu kutoka mikoa ya Mbeya,mwanza,dar na arusha wanamiminika huko kwenda kununua viwanja.
"adha na mateso ya jiji lile ambalo alizaliwa na kusomea" dodoma sio jiji mkuu