Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

JokaKuu , huu mradi sioni maana yake. Tuna bandari zinazofanya kazi chini ya viwango, tukitakiwa tuimarishe hizo kwanz
Dunia ya sasa haitegemei ukubwa wa eneo bali 'effiiency' ya mradi husika

Fikiria, tulitumia mwezi kusafirisha barua kutoka Mwanza hadi Dar. Siku hizi ni masaa chini ya 4 na ikiwezekana dakika 1 kwa internet. Ukienda bandari ya Dar utaona zile cranes ni za miaka ya 1970. Angalia na zile za Dubai zinazonyanyua kontena kama kibiriti. Hapo ndipo tulitalikiwa tuelekeze pesa, kuwa na modern equipment

Pili, tulitakiwa tuhakikishe usalama wa mizigo, uharaka wa kutoa na malipo. Kwasasa mzigo ukiwa bandarini ni kama adhabu. Kichwa kinauma kutoa mzigo kuliko kuutafuta kwanza.

Tatu, bandari hufanya kazi 24/7 tujiulize bandari zetu zinafanyaka kazi hivyo?

Nne, kuna mchangiaji kazungumzia Mwambani project. Ule mradi ulikuwa katika plan kwa muda mrefu, sijui umeishia wapi na sababu zipi zimesababisha pesa kupelekwa Bagamaoyo

Hapa utaona ni siasa na wala si utaalamu. Tanga wana infrastructure ya reli, bagamoyo hakuna.
Kwanini mradi upelekwe eneo lisilo na miundo mbinu ili hali tunayo sehemu nyingine?
Dunia ya sasa usafiri wa reli ni muhimu kuliko wa bara bara, sijui reli ya bagamaoyo itaanza kujengwa lini

Bandari ya Dar imekuwa na mauza uza ya kubinafsishwa, na badala ya kuwa lango la biashara imekuwa lango la rushwa
Angali kila siku kuna meneja mpya, maana yake ni kuwa hakuna uongozi.

Nadhani hizi ni felia za serikali hii, kama ilivyo std gauge railway ambayo JK amezindua na sasa anaondoka bila kujua nini kinafuata. Ni miradi ya kura hakuna planning
 
Last edited by a moderator:
..kwenye video ya ziara ya Raisi China inaelezwa kwamba serikali itatoa taarifa kwa wananchi kuhusu nini kinaendelea ktk miradi ya reli ya standard gauge, pamoja na bandari ya bagamoyo.

..muda ambao Raisi alieleza kwamba taarifa hiyo itatolewa nadhani umeshapita na hatujasikia chochote.

.pia kuna deadline[mwezi june/july] iliyotolewa na mwekezaji toka Oman. I hope serikali watatekeleza yale waliyoahidi ktk muda waliokubaliana.

cc NasDaz, Kimweri, Kibona, Sangarara, Nguruvi3
 
You should not Hope or expect anything good to come out of CCM, this way you be disappointed less, and if they manage to not screw up, then you end up positively surprised.

keep lowest expectations of them, they are highly incompetent.
 
Shiiiiiiiiiiiider! Hivi bandari ya mtwara,tanga na dar hazitoshi au kila rais lazima kwao kuwe na port
 
Kwanz ile bandar ya Bagamoyo inaforcewa tu, wataalam wanadai ile ni bandali ya kuchimba na pale mchanga wke unakuja kwa kasi sn hivyo serikali kila mwaka watakuwa na ghalama ya kuchimba elewa hilo wkt huo bandali zenye kina asilia Zpo
 
Abeid Apple umetoa mawazo mazuri sana ila jitahidi kuandika gharama sio kama hapo ulivyoandika, na sio Bandali ndugu ila umechangia fresh kabisa,
 
Anajenga kwaoooo

Kwa hiyo akija mwingine naye atajenga kwao, hofu yangu ni kwamba tutakuwa na miradi kibao isiyoisha. Akiondoka tu October, bandari haijengwi tena, wala Uwanja wa Ndege, wala Chuo cha Ifm hakitahamia Msata, wala chuo cha warusha ndege hakitapelekwa Bwagamoyo.
 
Kama yeye halivyokataa masasi kuwa mkoa. Kweli muoshwa huoshwa
 
Kwa hiyo akija mwingine naye atajenga kwao, hofu yangu ni kwamba tutakuwa na miradi kibao isiyoisha. Akiondoka tu October, bandari haijengwi tena, wala Uwanja wa Ndege, wala Chuo cha Ifm hakitahamia Msata, wala chuo cha warusha ndege hakitapelekwa Bwagamoyo.

Bandari ya Bagamoyo badala ya Tanga ni Bad decision mtazamo wangu

Kupanua chuo cha IFM kwenda Msata ni Good Decision

Kwa hiyo naomba usilinganishe hayo
 
Bandari ya Bagamoyo badala ya Tanga ni Bad decision mtazamo wangu

Kupanua chuo cha IFM kwenda Msata ni Good Decision

Kwa hiyo naomba usilinganishe hayo

Mkuu silinganishi, ninachochangia hapa ni tabia mbaya ya viongozi wetu kufanya hujuma kwa kila mradi ili apeleke kitu kwao.

Kuna uwezekano mkubwa IFM isijengwe pale Msata sababu za kibongo zipo, mojawapo ni hilo la ajaye kupeleka mradi kwao, tumeona barabara fulani ikihamia kwa mkuu na ramani ya kwanza kubadilika, au umesahau mikoa fulani ilivyoanzishwa na wakuu watokao huko. Hujui kuwa mradi wa umeme vijijini ulihamishwa Morogoro ukapelekwa milimani kule sababu ya mkulu?

Anaweza akaja jamaa toka nyanda za juu kusini, akatangaza kujenga uwanja wa Kimataifa Njombe wakati wa Songwe haujamalizika au hulijui hili?

Kama wamehamisha Mwambani Project,watashindwa IFM msata Campus?
 
Atheist hapa umenipa madarasa mawili,mosi kumbe Tanga walitaka kumpindua Nyerere,pili kumbe huu mradi umeibwa kutoka Bandari ya Tanga!!!!Tanga kunani pale????? NOTED WITH THANKS
 
Ni kuliingiza Taifa katika madeni yasiyo na tija. Kuna ufisadi. Bandari ya Tanga ingeimarishwa kwa gharama ndogo zaidi.
 
Inasemekana ujenzi wa mradi huu utazinduliwa mwezi July.

Binafsi mpaka sasa hivi sijaweza kupata taarifa za kutosha kuhusu mradi huu mkubwa.

Inaonekana kuna mwekezaji anaitwa CHINA MERCHANTS HOLDINGS INTERNATIONAL ambao ndiyo wadau wakubwa ktk mradi huo.

So far taarifa zote ambazo nimekutana nazo zimeniacha na maswali mengi kuliko majibu.

Kwa mfano, kuna taarifa nimekutana nayo inaelekeza kwamba China Merchants Holdings wataendesha bandari hiyo kwa muda wa miaka 40.

Pia katika mradi huohuo kuna mwekezaji mwingine anaitwa OMAN STATE GENERAL RESERVE FUND ambaye atahusika na eneo huru la kibiashara.

Naomba wenye taarifa zaidi kuhusu mradi huu watueleze. zaidi ningependa kujua nafasi ya serikali ya tanzania, na mamlaka ya bandari TPA ktk mradi huu.

cc Sangarara, salaama, Kimweri, Zitto, laiza, limetumbuka, Nguruvi3, NasDaz, Mdondoaji, Fx Trader, Zitto, Tokyo40, Kibona

Ngoja serikali ije na ufafanuzi, mwongeze faizyfoxy
 
Bandari ya Bagamoyo badala ya Tanga ni Bad decision mtazamo wangu

Kupanua chuo cha IFM kwenda Msata ni Good Decision

Kwa hiyo naomba usilinganishe hayo
Vipi na University of Bagamoyo wameshatoa certificates ngapi!?
Unajua kama majadiliano ya kiina yamefanyika hata yakifikiwa maamuzi yasiyo sahihi inakuwa ni sawa tu maana inakuwa ni 'makosa ya wote au wengi'. Na hapa watu wa kujadiliana sio Watanzania wote kwa ujumla wao bali wawakilishi wao ambao ni wabunge. Lakini inasemekana hii mikataba ya namana ya bandari ya Bagamoyo hakuna hata mbunge mmoja aliyewahi kuiona, na pale mbunge kama Lema au Mnyika akiuliza iletwe Bungeni ile nguvu ya "ndioooooooooooooooooooo" ina overshadow uhalisia wa mambo.
Ngoja nitafute hapa jf uzi wa Mzee Mwanakijiji unaotoa angalizo 2005 hata 2010 kuwa tulikuwa tunafanya makosa makubwa sana kuwachagua CCM ili atakayerudia kosa lile lile 2015 ajilaumu mwenyewe badala ya kuilaumu ccm!

Inasemekana ujenzi wa mradi huu utazinduliwa mwezi July.

Binafsi mpaka sasa hivi sijaweza kupata taarifa za kutosha kuhusu mradi huu mkubwa.

Inaonekana kuna mwekezaji anaitwa CHINA MERCHANTS HOLDINGS INTERNATIONAL ambao ndiyo wadau wakubwa ktk mradi huo.

So far taarifa zote ambazo nimekutana nazo zimeniacha na maswali mengi kuliko majibu.

Kwa mfano, kuna taarifa nimekutana nayo inaelekeza kwamba China Merchants Holdings wataendesha bandari hiyo kwa muda wa miaka 40.

Pia katika mradi huohuo kuna mwekezaji mwingine anaitwa OMAN STATE GENERAL RESERVE FUND ambaye atahusika na eneo huru la kibiashara.

Naomba wenye taarifa zaidi kuhusu mradi huu watueleze. zaidi ningependa kujua nafasi ya serikali ya tanzania, na mamlaka ya bandari TPA ktk mradi huu.

cc Sangarara, salaama, Kimweri, Zitto, laiza, limetumbuka, Nguruvi3, NasDaz, Mdondoaji, Fx Trader, Zitto, Tokyo40, Kibona

Kaka kwanza asante kwa mada nzuri.

Tatizo kubwa si kucheleweshwa kwa mradi,tatizo la hawa wanaojiita viongozi wetu wanadhani wale watu weupe ni wajomba zao.Na mbaya zaidi wameshawajua penyeza RUPIA mambo yataenda.

Kaka huo mradi ni maendeleo ya wachina wala si ya watanzania............Hivi mchina atawekeza kukufaidisha mtanzania kwa kipi ulichompa?Hivi Wachina wa JKN ndiyo wale wale wa leo?

Kwa ufupi hatuna viongozi bali tunawapiga madili rushwa,ufisadi ,madawa ya kulevya ,meno ya tembo na mengineyo kama hayo.Bandari hiyo itakuwa ndiyo njia kuu ya magendo yote kuanzia Madawa mpaka pemebe za ndovu,hakuna cha kuinua Tanzani kiuchumi hapo kaka ni changa la macho,ninauhakika bila kuwaondoa hawa wajinga kwenye madaraka tutabaki vibogoyo..............

Maana kwa sasa tunatumia VICHWA kutembelea na MIGUU kufikiri.

JKN alituambia ULAYA hakuna wajomba zetu kule?Kwa nini kodi zetu zisijenge tunachotaka?Hivi hao wachina si wanachukua mikopo !hivi imeshindikana kupata Mtanzania mzalendo au watanzani wazalendo wakawekeza?

Hivi mbona serikali inathubutu /inaweza kuwapa WAWEKEZAJI toka nje garantii ya mikopo yao ?Kwanini wasifanye hivyo kwa wazawa?Jibu kubwa ni RUSHWA na 10%.........

Sijui ni lini hawa VIONGOZI wetu watafika mahali waridhike na walichokitafuna,wenzetu China ni watoaji wazuri wa RUSHWA lakini wakikosea tu halali ya serikali ni vichwa vyao,I wish na sisi ingekuwa hivyo labda kungekuwa na nidhamu...
 
Back
Top Bottom