Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

Are you serious? Ni miaka ya 80 's ipi au ya karne gani ambayo uchumi wa Tanzania ulikuwa sawa na ule wa China? Hivi kweli unaifahamu vizuri historia ya uchumi wa Tanzania ndugu yangu? Hivi kuna wakati ambayo Tanzania ili-suffer kiuchumi kama hiyo miaka ya 80?

Turudi kwenye bajeti ya Tanzania ambayo almost 30% inakuwa financed na donors! Unapotaka kuu-finance mradi wa $ 10 billion wewe mwenyewe maana yake ni kwamba, tukate bajeti ya wizara mbali mbali na kuzielekeza kwenye ujenzi wa bandari! Hatujawahi kuwa na bajeti ya $10 billion kwa mwaka basi let's assume hiyo ndiyo bajeti yenyewe ambayo almost 30% inakuwa financed na outsiders! Now tell me, utapangaua bajeti ya wizara ipi ili pesa zake uelekeze kwenye ujenzi wa bandari ambapo hakuna wizara hata moja ambayo inapata angalau $1 kwa mwaka!!! More interestingly, ingawaje hakuna wizara hata moja ambayo inapata angalau $ 1 billion kwa mwaka lakini hata hiyo portion ambayo kwa wizara nyingi ni chini ya $ 500 million bado huwa haitoki, then hizo za kufinance ujenzi wa badari utatumia formula ipi kuhakikisha mfuko wa ujenzi wa bandari mpya unapata pesa ya kutosha na mambo mengine yanaendelea kama kawaida? Hata tukisema tukate bajeti ya kila wizara kwa 10% bado hatutakuwa na uwezo wa kupata angalau $1 billion kwa mwaka! Potelea mbali, let's assume baada ya kukata panga huku na kule, tunakuwa na uwezo wa kupata $1 billion kwa mwaka, je itakuchukua muda gani kumaliza project inayo-cost $ 10 billion hasa ukizingatia kwamba kadri muda unavyoenda ndipo gharama za mradi zitakavyoendelea kupanda juu! Ikiwa gharama and everything will remain constant, then the project will take 10 years to be completed but as long as there's no way everything will remain constant, then with your formular it'll take at least 15 years to be completed!

Itoshe tu kusema kwamba, dunia ya kwamba tuache tu kwani mwambao wa bahari ni wetu na tutakuja kujenga mwaka wowote tukipata uwezo dunia hiyo hivi sasa hatunayo tena!!!
NasDaz nakuomba ujaribu kuwa flexible halafu panua wigo kidogo.

Hivi longterm project za miaka 10-20 mbele huwa wanawezaje kuitekeleza?
Kujenga hii bandari maandalizi yanatakiwa na vilevile unakwenda kwa awamu coz master plan itakuwepo.

Sasa ni kujiuliza tujipange vipi, kutoka wapi, tufanyeje ili tufikie malengo?
Au tubaki na kunyong'onyea tu kwamba Tanzania hatuwezi na hatutakaa tuweze?
Sidhani kama ni sawa
 
Last edited by a moderator:

Tukisema long term project haina maana kwamba ujenzi wa project husika ufanyike kwa muda mrefu coz' mradi kuujenga kwa muda mrefu kunamaanisha kuongeza gharama za project husika! Tunaposema long term projects tunamaanisha ni zile projects ambazo, mosi, ikiwa unachukua mkopo ku-finance project husika basi mikopo hiyo iwe ni ile ya at least medium term but more preferably mikopo ya long term! Why medium to long term loans? simply because hata return yake itaanza kuonekana after several years of operations coz' kunakuwa na lot of capital/money ambayo imekuwa invested!

Na ikiwa kujiandaa wenyewe kwa pesa zetu za ndani ndo ile kwamba it's like tunafungua a fixed account na kila mwaka/mwezi tunaweka pesa humo ili zikitimia tuanze project yetu! Sasa basi, kama hivyo ndivyo, ikiwa tathimini ya awali ilikuwa $10, hadi mnafanikiwa kupata hizo $10 bn gharama za mradi zitakuwa zimefikia probably $15bn kwahiyo mnaanza kudunduliza tena na zinapofika $15, gharama zimepanda na kufikia $17bn!! Lakini kubwa kuliko yote, hizo pesa utakazoweka kando kwa ajili ya mradi utazitowa wapi wakati hata hiyo bajeti ya afya haitoshelezi? wakati hata hiyo bajeti ya elimu haitoshelezi? wakati hata ulipaji wa mishahara wakati mwingine unakuwa ni mtihani!

Alternatively, labda serikali iamue kuchukua long term loan ya $10 billion... swali la kwanza, je serikali inakopesheka kwa kiasi kikubwa kama hicho? Swali la pili, why should the government with lot of a MUST priorities finance a very huge project ikiwa kuna watu wengine wanaweza ku-finance the same project? Kama alivyosema Kimweri kwenye post moja, China ndie distributor mkubwa hapa Africa kwahiyo ana uwezo wa kutumia meli kubwa moja kubeba mzigo ambao ungebebwa na meli ishirini kisha mzigo huo ukafika Bagamoyo na meli zingine kwenye ukanda huu zikaja kupokelea mizigo yao kutokea Bagamoyo na kutokana na hilo, it's rational kwa China ku-finance such big project! Alternatively, je Tanzania kama nchi inayo hiyo leverage? Tunao intercontinental exporters ambao wataamua kuleta mimeli mikubwa Bagamoyo kisha wakaanza kusafirisha bidhaa zao sehemu mbalimbali barani Afrika kutokea Bagamoyo? Who do we expect atatumia hiyo service ambayo kwa China ni very possible kwamba watatumia?Or should we assume kwamba, tukishajenga hilo libandari basi China atalitumia na hiyo mimeli yake... swali, ikiwa anapata uwezekazeji sawa na huu anaotaka hapa somewhere else, unafikiri atachagua kuacha kujenga huko ili atumie badari yetu ambayo itakuwa mikononi mwetu kwa 100% wakati anafahamu, mathalani akijenga Mombasa, ni yeye ndie ata-operate?
 
Kwa maana yako ni kwamba inabidi tumtegemee mchina kwa 100% ili asije akajenga bandari may be msumbiji akapeleka meli zake huko?

Tatizo moja kubwa hapa naloliona tuko nyuma ya maendeleo, wakati wenzetu walikuwa wanakimbia kwenda mbele sisi tulikuwa tumelala tunaserereka kurudi nyuma sasa tumezinduka na hizi ndizo outcomes zake.

Ninachoamini tukiwa na uongozi makini ktk hii nchi maendeleo kama haya yanawezekana kabisa.

Tujiulize hizo LLC country zisizokuwa na pwani ya bahari ya bure wanafanyaje na uchumi wao uko sawa na bei ni affordable?
 
Issue sio kumtegemea Mchina au yeyote issue ni kwamba, you've limited reources ambazo huwezi uka-route everywhere! Mbaya zaidi, issue kama ya bandari haiwezi kuwa priority ukalinganisha na issue ya madawa hospitalini, vitabu mashuleni, maji na umeme vijijini na mambo mengine kadhaa kama hayo! Sasa inapotokea kuna alternatives za ku-work out na less priority projects, utilize those alternatives! Aidha, hapa ukumbuke kwamba, wanachofanya Wachina si kwamba wanatusaidia au kutupa misaada bali hii ni Public-Private Partnership na kwenye uchumi wa sasa ndicho kinachosisitizwa kwamba, serikali, si Tanzania peke yake, inapotokea kuwa na miradi mikubwa basi iingie ubia na private sectors na yenyewe ijikite kule ambako siko attractive! Kwahiyo hapa hakuna suala la kuitegemea China kwa 100% na ikiwa hiyo ni sawa na kuitegemea China kwa 100% basi hata gas tusichimbe na badala yake tudunduize ili tuchimbe wenyewe hata kama ni miaka 100 ijayo!

Itoshe tu kusema kwamba, ikiwa unazo bilioni moja, barabara huna na bandari huna lakini wapo private investors wanaotaka kuwekeza kwenye bandari lakini hakuna yeyote atakae kuwekeza kwenye barabara basi tumia hiyo bilioni moja yako kujenga barabara na ingia ubia (PPP) na private sector katika kujenga bandari!
Kwamba LLC zilizo landlocked zinafanyaje ni kama sijakupata unachomaanisha!

Sentensi yako ya mwisho sina hakika kama nimekuelewa lakini labda niseme kwamba, unapoamua kujenga bandari wala haina maana kwamba ili bei iwe affordable isipokuwa ni ku-facilitate intercontinental seaways transportation! Unaweza kukuta bei ya bidhaa Dar na Harare zipo sawa au Harare zipo chini zaidi lakini bado sisi kutakuwa na vingi tuna-gain as compared to wao... at corporate level, kuna tax na kodi na kodi za aina mbalimbali!
 
Tunaweza lakini kwa uchumi tulionao kwa hivi sasa, kuweza kuumaliza mradi kama huo kwa pesa zetu wenyewe inaweza kutuchukua miaka kadhaa... kwa uchache kumi! Sasa wakati tunajitia kiburi cha kwamba, hata kama itatuchukua miaka 15 kumaliza potelea mbali ili mradi tu tuujenge kwa pesa zetu wenyewe, kwa upande mwingine tunatakiwa kujiuliza, je katika kipindi hicho cha miaka 10+ tutakuwa tumepoteza kiasi gani? I mean, assume Wachina wanamaliza mradi ndani ya miaka 3 na sisi kwa kutumia pesa yetu tunamaliza ndani ya miaka 15... hapa kati kati kuna miaka 12... tufanye miaka kumi ambayo hakutakuwa na mzigo wowote umeingia na kwa maana hiyo hakutakuwa na kodi yoyote iliyokusanywa! Aidha, wakati sie tunataka kujikongoja kwa kuonesha jeuri ya kujitegemea, wapo ambao wata-opt kutumia njia ya PPP kama tunayofanya hivi sasa! Mathalani, Kenya nao wana mradi unaofanana na huu na wao wanatafuta mwekezaji vile vile ambae ataachiwa miaka kadhaa a-operate bandari husika! Hii maana yake ni kwamba, wakati sie tutakuwa tunajikongoja ili kuonesha jeuri ya kujitegemea, baada ya miaka 3-5 competitors wetu watakuwa tayari kwenye game... hadi wewe unamaliza ujenzi, mwenzako tayari ameshajenga credibility kwenye industry... wale ambao ulitaraji wangekuwa wateja wa kwanza kutumia your new port, watakuwa tayari wameshaanza kutumia ya mshindani wako zaidi ya miaka 5 iliyopita!!

Asikudanganye mtu... bishara za sasa ni za kuliana timing na ndio maana nashangaa wale wanaoponda kauli inayosemwa kwamba, kwenye gas, tuharakishe mambo coz' jirani yetu Mozambique anamegundua billions of cubic feet za gas! Zambia anahitaji gas, Zimbabwe nae atahitaji gas, South Africa atahitaji gas na kadhalika na kadhalika! Mataifa ya Ulaya nayo yanahitaji gasi... huku na kule nako wanahitaji gas! Atakayekuwa wa kwanza kutoa huduma ndie atakayeanza kuhodhi soko haya mengine ni siasa tu! Jambo muhimu ni kuhakikisha maslahi ya nchi yanapewa kipaumbele na ucheleweshaji wa mradi hauna uhusiano wa moja kwa moja na maslahi ya nchi! Unaweza kuchukua miaka 5 ku-study mkataba na bado ukaishia kwenye stupid conclusion!

Daah!! Kweli kabisa mkuu that's why kenya yupo kwenye harakati za kujenga reli toka mombaasa hadi rwanda...
 
Issue sio kumtegemea Mchina au yeyote issue ni kwamba, you've limited reources ambazo huwezi uka-route everywhere! Mbaya zaidi, issue kama ya bandari haiwezi kuwa priority ukalinganisha na issue ya madawa hospitalini, vitabu mashuleni, maji na umeme vijijini na mambo mengine kadhaa kama hayo! Sasa inapotokea kuna alternatives za ku-work out na less priority projects, utilize those alternatives! Aidha, hapa ukumbuke kwamba, wanachofanya Wachina si kwamba wanatusaidia au kutupa misaada bali hii ni Public-Private Partnership na kwenye uchumi wa sasa ndicho kinachosisitizwa kwamba, serikali, si Tanzania peke yake, inapotokea kuwa na miradi mikubwa basi iingie ubia na private sectors na yenyewe ijikite kule ambako siko attractive! Kwahiyo hapa hakuna suala la kuitegemea China kwa 100% na ikiwa hiyo ni sawa na kuitegemea China kwa 100% basi hata gas tusichimbe na badala yake tudunduize ili tuchimbe wenyewe hata kama ni miaka 100 ijayo!

Itoshe tu kusema kwamba, ikiwa unazo bilioni moja, barabara huna na bandari huna lakini wapo private investors wanaotaka kuwekeza kwenye bandari lakini hakuna yeyote atakae kuwekeza kwenye barabara basi tumia hiyo bilioni moja yako kujenga barabara na ingia ubia (PPP) na private sector katika kujenga bandari!
Kwamba LLC zilizo landlocked zinafanyaje ni kama sijakupata unachomaanisha!

Sentensi yako ya mwisho sina hakika kama nimekuelewa lakini labda niseme kwamba, unapoamua kujenga bandari wala haina maana kwamba ili bei iwe affordable isipokuwa ni ku-facilitate intercontinental seaways transportation! Unaweza kukuta bei ya bidhaa Dar na Harare zipo sawa au Harare zipo chini zaidi lakini bado sisi kutakuwa na vingi tuna-gain as compared to wao... at corporate level, kuna tax na kodi na kodi za aina mbalimbali!

OK nimekuelewa mkuu, so hapa naona tuwape wachina sector zote muhimu ikiwemo afya, elimu, uchukuzi, ulinzi na usalama n.k nadhani tutagain zaidi.
Bye
 
OK nimekuelewa mkuu, so hapa naona tuwape wachina sector zote muhimu ikiwemo afya, elimu, uchukuzi, ulinzi na usalama n.k nadhani tutagain zaidi.
Bye
Duuh we jamaa mgumu kweli kuelewa, wanacho kwambia wenzako makusanyo ya serikari kwa sasa na majukumu yake aiwezi kufanya project kama hizo bila ya madhara kwenye jamii. Kuwekeza huko inabidi kuwe na makato sehemu zingine.

Kukopa wafanye wenyewe pia ni ngumu IMF au world bank wanaangalia hali ya sasa ya uchumi wako na madeni uliyonayo kama utaweza sustain deni, sio potential yako (subject to deprivation of third world arguments).

Option iliyopo ni wawekezaji how you negotiate terms and condition is another matter, that is to say under the circumstances Tanzania aina uwezo wa project kubwa bila kuathiri sector zingine simply kutokana na kipato chake.

The choice is between mwingine aje ajenge walau uongeze economic activities na mapato ambayo unayahitaji who knows pengine unaweza jengea reli au uache kabisa usuburi ukue kiuchumi ufanye mwenyewe (sasa basi unless labda you can up with a model to explain how soon that is possible) hoja ya wenzako ya makubaliano kama hayo its good for Tanzania in terms of boosting economy and income kutokana na uwezo wake.

Ni sawa na wewe uwe na wazo lakini umekosa mtaji, je uendelee kudunduliza mshahara wako hadi ufikishe mtaji au ukubali yaishe uende kwa bwana mengi mfanye makubaliano achukue risk kwa percent za ubia. The choice is yours
 
Kuna limit za ku-think big, hii sio empty sentence tu, ndio maana hata hiyo kampuni aliyoianzisha yeye leo hii ina market share ya asilimia chini ya 3 kwenye simu za mkononi. Ingekuwa kila ku-think big kunakuletea matokeo unayoyataa wewe, wasingekuwa nyuma ya washindani wao.

Uongozi ni pamoja na kupima uwezo wako, na kupanga kutokana na rasilimali zako. hii ni hatua ya kwanza kabisa. Sikatai kuwa rasilimali za TZ zinatumika vibaya, lakini sioti ndoto za alinacha kuhusu ku-attempt project zilizo nje ya uwezo wetu. Binafsi hiyo bandari isingekuwa supported na wachina,na isingekuwa transhipment, nisingeisapoti pia, kwani tusingekuwa na sababu wala uwezo wa kusupport 20M TEU yearly.

..hebu niambie basi project ya ukubwa gani unadhani iko ndani ya uwezo wetu.

..mimi nimeona Ethiopia wanajenga mradi wa umeme gharama yake ni $4.8 billion.

..wameanza mwaka 2011 na wanatarajia kuanza uzalishaji wa umeme 2017.

cc 999, NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Daah!! Kweli kabisa mkuu that's why kenya yupo kwenye harakati za kujenga reli toka mombaasa hadi rwanda...
A standard gauge railway has a distance of 56.5 inches between its rails orbetween the wheels of a train. The project is 90 per cent funded by the China Exim Bank, with the Kenyan government financing the remaining 10 per cent.
Remember, hicho ni kipande tu cha hiyo reli husika ambacho kinatoka Mombasa hadi Nairobi lakini serikali ina-fund only 10% kwahiyo unaweza kupata picha what would it be kama the first phase ingeanza moja kwa moja kutoka Mombasa hadi Rwanda! Could Kenya government be able to fund the same 10%?

And what's the construction cost ambayo serikali ya Kenya imejikakamua na ku-fund only 10%? Here we go:
Track laying work has finally begun on the Sh.345bn Mombasa-Nairobi standard gauge railway, setting in motion a project that is expected to decongest the port of Mombasa.
What's KSh. 345 bn? Dola moja ya US inabadilishwa kwa takriban shiling za Kenya 91... let's say $1=KSh90, which means KSh 345bn is equivalent to $3.83 bn then compare it from $10bn ya mradi wa bandari ya Bagamoyo bila kusahau kwamba Kenya wapo vizuri zaidi ukilinganisha na Tanzania lakini mradi wa less than $ 4 billion wameweza ku-fund only 10%! Do you think hawataki ku-fund the whole project wao wenyewe? Tena huo ni mradi wa reli ambao utakuwa na direct impact kwa Mkenya wa kawaida!

More:Standard Gauge Railway Project Underway In Kenya

c.c 999, JokaKuu, Kimweri
 
Last edited by a moderator:
..hebu niambie basi project ya ukubwa gani unadhani iko ndani ya uwezo wetu.

..mimi nimeona Ethiopia wanajenga mradi wa umeme gharama yake ni $4.8 billion.

..wameanza mwaka 2011 na wanatarajia kuanza uzalishaji wa umeme 2017.

cc 999, NasDaz
You're right lakini hata Ethiopia wenyewe hawajengi lile bwawa from their own saving bali kwa mkopo in other way round! Kiasi kikubwa kama sio chote cha gharama za mradi kinakuwa financed na government bonds and largest buyer wa hizo bonds ni serikali ya Eritrea. Na kuna habari za chini ya kapeti kwamba serikali ya China inafadhili ule mradi kwa almost $1.8 bn.

So, should Tanzania also issue government bonds worth $ 10 bn or at least half of it? From economic point of views, the answer is NO! Issuing government ya kiasi kikubwa kama hicho inaweza kuwa na effect kubwa sana kiuchumi na effect ya haraka kabisa ni kwamba unataka ku-drain $10 bn from circulation ili ikafadhili ujenzi wa bandari! Na ninaposema ku-drain $10 bn from circulation I mean una-drain away from other investments circulation/possibilities! And remember, ili uweze ku-finance such big amount hadi watu wavutiwe kuelekeza pesa zao huko badi huna budi kui-impose attractive interests otherwise itakuwa ngumu sana kupata such big amount! Hii maana yake nini? Si tu kwamba utakuwa umeathiri future investments from other sectors lakini pia hata huo mkopo utakuwa na gharama kubwa coz' interest ni kubwa!

c.c 9999, Kimweri
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Kimweri, Nasdaz na wengine wengi kwa michango mizuri yenye maarifa....naomba tu kujuwa je Tanzania inapoteza kiasi gani kwa kuingia mikataba mibovu ya madini na gas kwa mwaka?
 
Kimweri tuko pamoja sana.
Kuna sehemu umeniambia 'tukifanya kazi kwa bidii na nidhamu tutafika huko' Mimi ndiyo nasimania ktk hilo.
Tukiwa na serikali makini hakuna kinachoshindikana kaka.
TZ tuna rasimali nyingi ambazo ni utajiri mkubwa sana lkn hazitumiki ipasavyo.
Ukiangalia kila mwaka habari tunazodiscuss ni wizi tu, kuongelea suala la maendeleo kama hili la bandari hatupo huko ndiyo maana unaona hata hapa kwenye mjadala huu inatupa shida coz hatujazoea kufanya maendeleo zaidi ya wizi

CCM wanapenda sana watanzania kuendelea kuwa wa sampuli hii, kwao ni advantage.

yani tumegeuka taifa la udaku udaku tu, mabeberu walituletea demokrasia ili pia tuondokane na kufikiria long term, wakati wao wakifanya hivyo. Kuna sehemu za demokrasia ni muhimu kwa taifa,ila kwa sehemu nyingi ni distraction kubwa sana kwa nchi zisizo na mbele wala nyuma kama ya kwetu.

Yani mipango ya TZ maximum miaka 5, kwa kuwa maslahi ya kila mtu yamekaa ki-miaka mi-5 mi-5, leo hii huwezi kumwambia mbunge apiganie policy y amiaka 40-50, kama faida zake hazitaonekana ndani ya miaka mi-5, kwa kuwa baada ya miaka mi-5 wananchi wake watamuuliza amefanya nini. Akiwaeleza kuna program ya miaka 40 anaifanyia kazi, kila mtu atamuona msanii.

mabeberu wanapenda tuendelee kubaki hivi, ili waendelee kututawala kifikra, kijamii,kisiasa na kiuchumi. Inasikitisha il andio ukweli.
 
Kwa maana yako ni kwamba inabidi tumtegemee mchina kwa 100% ili asije akajenga bandari may be msumbiji akapeleka meli zake huko?

Tatizo moja kubwa hapa naloliona tuko nyuma ya maendeleo, wakati wenzetu walikuwa wanakimbia kwenda mbele sisi tulikuwa tumelala tunaserereka kurudi nyuma sasa tumezinduka na hizi ndizo outcomes zake.

Ninachoamini tukiwa na uongozi makini ktk hii nchi maendeleo kama haya yanawezekana kabisa.

Tujiulize hizo LLC country zisizokuwa na pwani ya bahari ya bure wanafanyaje na uchumi wao uko sawa na bei ni affordable?

Among all Projects that China has financed in Tanzania, this is the one that wlil have the biggest impact in the next 50 years. Mark these words in Stone.I stand behind them 100%.

I will elaborate why.

The entire world is now getting their goods from Asia,with China holding the majority of the pie. The Suez Canal is among the world's busiest waterways.why?billions of goods shipped to Europe through that Canal.

Before then Major shiplinners had to go all the way to China,some used Singapore Transhipment port. If you don't believe this, order a car, and see the movement of your car container, in the AWB. It comes from Japan, to either Malaysia or Singapore then to Africa.Usually what happens there is the containers gets transfered from the mega ships to smaller ships that supply the African costs. Why not send those mega-ships here?well, they are too huge, and will certainly not find a port to dock. The same way, Kilimanjaro Express stops at Ubungo and not go directly to your home lets say in Tandika. it's logistics 101.

But Now, instead of stopping for this exchange in Singapore/Malaysia, they will go further. all the way to Bagamoyo. For those who keeps asking why not build in Mtwara, well, about 600kms separates these two ports, and this ads up pretty quick for ships from Europe and for Ships from Asia.

Another question would be why Bagamoyo,why Tanzania? and Not Kenya or Somalia? well 2 or 3 reasons, 1st we have to thank Nyerere, for making Chinese our Step brothers, Chinese feel most comfortable in Tanzania among almost all countries in Africa.So this was a natural choice. Economically, Mombasa could have had a good case,but well, Too close to Shababi mess,and they didn't have any existsing Chinese Investment to complement the port.where as we have Tazara, which Chinese would like to be able to satisfy it's full potential. Once Africa becomes more developed, this railway could get really busy.This is a long stretch though.And, may be CCM just did a better job at lobying to their crime partners the chinese communists, and seeing as the communists would trust a nation that was supporting them when they were down,this was more like paying back.you can not under estimate chinese people memory.So next time you get into a quarrel with them, remember that, they practically never forget.Ask Japan about that. And once they perceive you as a Shungdi, "brother", you are forever in their merciful side.ask North Korea about that.

So, the port of Bagamoyo is not only of stratergic importance to Tanzania, but also to China,which is why it will be made possible should it proceed as planned.

In these megaprojects finding partners to share the budern is often crucial than financing. just wait how many multi national shipping and logistics companies will run and open their offices in bagamoyo once the port is operational, why?because they all have clients from/to China.

I will repeat, this port is the best chance of Tanzania moving to middle income status and stay there, if CCM does not bomb it.
 
ndugu $10B kuwekeza kwenye bandari ya Transhipment ni ukosefu wa Busara, kwani hatuna interest za kueleweka kwenye sekta ya maji duniani. Wachina kuwekeza $10B Tanzania kwenye sekta wenye maslahi nayo makubwa hiyo ni masterstroke.CCM hawajafanya kosa hata moja kuhusu bandari ya bagamoyo, Tusilazimishe kuwakosoa hawa watu hata pale wanapokosea.

Sasa kama makusanyo ya bajeti yetu ya nchi nzima ni chini ya $5B kwa mwaka unajustify vipi mradi wa $10B?huu zi utakuwa ujuaji usio na faida?

What Kenya is doing is a petty project not even worth $500M,we can do that anytime, we have actually done that with bomba la gesi at $1B na ushehe.Sio kila wakati Kenya wako Sahihi, na sie tunakosea. Hili la Bagamoyo, ni kitu pekee ninachoweza sema JK amefanya cha heri bila kumungunya maneno.

Nakushauri uwe muhalisia, Hatuwezi kuanza kuota ndoto za project ya $10B wakati mapato ya nchi yetu ya kodi mwaka mzima hata nusu ya hizo fedh akufika ni tabu. Sasa huduma za jamii zisiwepo,barabara zisijengwe,mishahara isilipwe,kwa kuwa tu tunataka kujionesha tuna ubavu wa kufanya project ya $10B hizi zitakuwa sifa za kijinga.

Sio lazima tuanze na project kubwa, tunaweza kuanza kwa project zilizoko ndani ya uwezo wetu. Mfano UDOM, ingawa serikali imekopa, lakini zimetumika almost $1B pale, hilo ni jambo la heri.

Iko siku tutakuwa na uwezo wa kukusanya hizo $10B sasa hivi hatuna uwezo huo. Soko letu la hisa ni kiashiria kizuri cha uwezo wetu wa kukusanya mitaji bila kukopa, katazame capitalization yake ni kiasi gani, utaelewa kwa nini nakueleza hizo $10B ni ndoto za alinacha sasa hivi.

huwaeleza hata vijana wadogo wanaomaliza vyuo na kuajiriwa, wengi huwa na ndoto za kumiliki magari wanayoendesha wazazi wao, kuwa na majumba makubwa ya kifahari n.k, wakati uhalisia hauoneshi hivyo, wengi huishia kuwa disappointed, na wachache huishia kuiba au kupokea rushwa.

Sisi kama taifa uwezo wetu mdogo, tunatakiwa kujenga uwezo, sio kuota ndoto za alinacha.
Kimweri, unavyoandika mtu anaweza kufikiri tunafinance annual budgets zetu 100% kwa kutumia mapato yetu wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Huku ni kule tunakosema kuws Tanzania kutokujua ama kupuuza vipaumbele vyake. Kwa mtu mwenye akili angefuta huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo badala yake angeimarisha/Kutanua na kuboresha kwa dhati bandari ya Dar.

Tanzania kama nchi hatuna Tatizo la uwepo wa bandari, Tatizo letu ni bandari zetu kufanya kazi chini yaw kiwango kwa makusudi ama kwa kukosa vifaa. Kwa uwekezaji unaotaka kufanyika Bagamoyo kama tungepaunua na kuboresha ile ya Dar then chenji ambayo ingebaki tungeitumia kujengea miundombinu rahisi ya usafirishaji kama reli ktk nchi zinazotuzunguka na ambazo zinatumia bandari hiyo ya dar hakika Kenya wasingetupata, na hata hawa majirani zetu wanaotukwepa kwepa kamwe wasingefanya hivyo.

Halafu mkuu kwa taarifa nilizonazo ni kwamba China itaimiliki bandari hiyo kwa miaka 50 then baada ya hapo ndo kunapercent ambazo Tanzania tutakuwa tukigawiwa....!!!!!

Ajabu na kweli.

BACK TANGANYIKA

Nani hasa anawekeza hapa, sisi au china?
 
CCM wanapenda sana watanzania kuendelea kuwa wa sampuli hii, kwao ni advantage.

yani tumegeuka taifa la udaku udaku tu, mabeberu walituletea demokrasia ili pia tuondokane na kufikiria long term, wakati wao wakifanya hivyo. Kuna sehemu za demokrasia ni muhimu kwa taifa,ila kwa sehemu nyingi ni distraction kubwa sana kwa nchi zisizo na mbele wala nyuma kama ya kwetu.

Yani mipango ya TZ maximum miaka 5, kwa kuwa maslahi ya kila mtu yamekaa ki-miaka mi-5 mi-5, leo hii huwezi kumwambia mbunge apiganie policy y amiaka 40-50, kama faida zake hazitaonekana ndani ya miaka mi-5, kwa kuwa baada ya miaka mi-5 wananchi wake watamuuliza amefanya nini. Akiwaeleza kuna program ya miaka 40 anaifanyia kazi, kila mtu atamuona msanii.

mabeberu wanapenda tuendelee kubaki hivi, ili waendelee kututawala kifikra, kijamii,kisiasa na kiuchumi. Inasikitisha il andio ukweli.

Mkuu unaposungumzia ma-CCM na ma-beberu unamaanisha kitu kimoja?
 
Mkuu unaposungumzia ma-CCM na ma-beberu unamaanisha kitu kimoja?

haha,

it's hard to tell them apart kwa kweli.

It reaches a point in time, when all you see from CCM and their supporters are the same things one would expect from colonizers, not leaders. How else do you explain a leader who drives in a $200K car while his referral hospital does not have a single working X-ray machine? Does he really need that car, more than millions who need a proper X-ray machine at the country's best hospital?

So to answer your question, if it walks,talks and acts like one, it probably is one.
 
Nani hasa anawekeza hapa, sisi au china?

Mkuu jibu rahisi hapa na la kweli ni China ndiye anayewekeza hapo....!!!

Hesabu imepigwa kiasi cha fedha kinachowekezwa, manufaa ya kuwekeza, Muda wa kurudiaha pesa iliyowekezwa, Muda ambo faida itapatikana na kuwatosha. THEN JINA LA CHINA KUENDELEA KUWA JUU.....!!!!!!!

Halafu kunawatu wanadai nchi hii iko huru chini ya ccm ya hawa kina Kikwete na wenzake...!!!

Inasikitisha....!!!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom