Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

Asante mleta mada
Kutokana na kila mmoja wetu anafaham nijinsi gani ufisadi ktk nchi imekuwa ni habari ya mjini Mradikubwa kama huo hakika ulitakiwa upitie bungeni ili upate uhalali inamaanisha
watanzania Hui sasa sio mafisad ni unyang'anyi natena tunaridhika .............,......
 
..serikali iliahidi ujenzi utaanza mwezi july.

..kuna miradi ya ujenzi wa reli ambayo mzee sitta aliahidi nayo inaelekea ilikuwa maneno matupu.

Kimweri, Kobello, msemakweli, Geza Ulole
 
Last edited by a moderator:
..serikali iliahidi ujenzi utaanza mwezi july.

..kuna miradi ya ujenzi wa reli ambayo mzee sitta aliahidi nayo inaelekea ilikuwa maneno matupu.

Kimweri, Kobello, msemakweli, Geza Ulole
Nakumbuka nikisoma mahali hivi karibuni kwamba serikali za Rwanda (ambayo Kenya na Uganda zinataka kuitosa kwenye mradi wa SGR in favor of South Sudan), Burundi, DRC na Tanzania zimetangaza tender kwa ajili ya mradi wa reli utakaochukua format ya PPP. Awali Sitta alikurupuka na kutangaza kwamba waChina wamepewa hiyo tender.
 
..siyo rahisi kupata mwekezaji wa ppp kwa nradi mkubwa kama wa reli tunazozihitaji.

..reli hailipi kwa haraka na wawekezaji wa ppp wanapenda miradi itakayorudisha pesa yao chap-chap.

..mwanzoni samuel sitta alisema tunakwenda kukopa. Baadaye zikatoka taarifa kuwa wanatafuta wawekezaji wa ppp. Kuna ubabaishaji hapo.

..huu ndiyo wakati ambao tulitakiwa tuchangamke na kuwarudisha rwanda upande wetu. Apparently Uganda wanaona reli ya kwenda South Sudan inalipa kuliko ya kwenda Rwanda.

nb:

..umefuatilia mradi wa expansion ya suez canal? Egypt wamekamilisha mradi huo ndani ya mwaka mmoja. Mradi ulipangwa uchukue miaka 3 lakini Raisi wao akatoa amri ukamilishwe ndani ya mwaka mmoja and they did it.

cc Nguruvi3, NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Nasdaz wew waonaje tufanyeje tupate bl 10. Mmi nadhan tukubali China wajenge sis tuimalishe reli na barabara
 
Magufuli keshaupiga chini huo mradi, nilisema humu hakuna kitu cha ajabu kama hiyo Bandari ya bagamoyo ni upuuzi mkubwa sana
 
Back
Top Bottom