Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na Mimi, tofauti tu yeye ni Senior Mimi nilikuwa Junior

Bila kuamini kilichotokea alipofika kama hatua tatu tu toka tulipokuwepo aliniitaja jina langu huku akitabasamu na kutukaribia, alitusalimia kwa tabasamu kubwa..huku aliweka mikono yake mabegani kwetu kulia na kushoto huku tukitembea kuelekea nyumbani kwake. Alitutambulisha kwa mkeo na watoto wake 2, Huyu CEO hakuna mzee hapana ni kijana tusema wa miaka 35 - 40 hivi nafikiri alipata cheo hiki kwa werevu wake alionao.

Alituomba tupate bites kidogo na drinks ila tulikataa tukamwambia tuna jambo kidogo tumekuja kushare na yeye na si wakaaji - lakini wapi alitushawishi hadi tukapata hizo bites na soft drinks... so wakati nataka kuanza kumweleza jambo letu lilolotupeka hapo yeye akadaikia akasema " I know what you want to tell me, please come to my office tomorrow morning 9 am", akakataa kata kata tusimwambie kitu bali tufike ofisini kwake hiyo kesho.

Tulimazia bites zetu na vinywaji na kisha tukaaga na kuondoka, alitusindikiza kadi nje, akamwambia dereva wake atufikishe hadi makwetu...akatuaga kwa kutumbia " Ok we meet tommorow" cheers!!

Ndani ya gari mawazo mengi, hiyo kesho anakwenda kutuambia nini ambacho asingetuambia hapa hapa, nikakumbuka tunakwenda tena kukutana na line manager wetu maana huwezi kuingia ofisini mule bila wao kujua. nikafiri namna wafanyakazi wenzetu wanakavyotuchukulia maana wote sasa washajua kwamba tumeshatimuliwa kazi. Mawazo haya yalinizunguka kwenye fikra zangu nafikiiri hata mwenzangu alikuwa akiwaza hivyo hivyo kwamba huenda tukawa tumelikorogoa zaidi kwenda kuaibika huko. Nikakumbua wazo na mwenzangu kwamba tungeamua kuachana na haya mambo ya msamaha tukajali maisha yetu.

Gari ikafika mitaa ya sinza tukashuka, tukamshukuru dereva - hapo tukaagana na mwenzangu pia ili sasa kesho tukutane ofisini kwa CEO saa tatu asubuhi... Kwangu usiku ulikuwa mfupi, sikutana asubuhi ifike mapema maana nilihofu ni nini kinakwenda kutokea hiyo kesho, wazo la kutokwenda tuliona halitakuwa na uungwana cha msingi twende tu tukajue ni nini hasa. Tulijua kwamba kama kufukuzwa tumefukuzwa sasa kinachokwenda kutokea yawezekana ikawa ni kudhalilishwa mbele ya staff wote wa kampuni.. Usingizi ulinipitia kama kipanga.. nafikiri kwa sababu ya uchovu wa mawazo..
Twende kazi...
 
Tupo pamoja
 
Tamu sana...

Nipo naendelea kusubiri
 
Kuwa uyaone ya dunia..
Origami za kizamani, hapo wangeweka utaratibu ukileta deal mtu wa nje ya sales unapewa commission ndogo kuliko sales.

Ukiritimba kama huu wa watu wa sales umeathiri sana kampuni flani.
Asee hiyo policy Ni hatari.
 
Ndugu msomaji wangu wa kisa hiki, usiku wa deni huwa haukawii, asubuhi ikafika, nikajua sasa leo ni leo, hitimisho la jambo letu limewadia, ni mawili moja tujisafishe kwa maana tusamehewe ili tuwe huru kwa tuhuma hizo ama tudhalilike zaidi tena mbele ya wafanyakazi wenzetu wa zamani.

Tulifika mapema pale ofisini, ila tukabana sehemu kwanza maana kuna kama ka-aibu furani hivi machoni mwetu - hatukutaka kukutana na staff wenzetu pale nje. Saa tatu kasoro dk tano tulifika pale ofisi ya mapokezi, dada ali kama shtuka hivi na kweli macho yalipogongana na yetu kukawa kama kuna kama jambo lilokuwa ndani yake kuhusu sisi - tulimsalimia na tukamwambia tuna miadi ya CEO - bila kuchelewa akasema habari hizo anazo kwa hiyo twende ofisini kwake kashafika...

Tulipita bila kuangalia kushoto na kulia hadi ofisi ya CEO, masijala alitupokea akatuambia tupite moja kwa moja - tulipofika kama kawaida alitupokea kwa tabasamu tukaketi... Akatuuliza kama tupo sawa, tukajibu ndiyo!! Mimi tayari nishaanza kupata wasiwasi moyoni kwamba leo ndiyo leo - mbivu na mbichi zinakwenda kujulikana.

Alinyenya simu yake ya mezani na kupiga, mara nikasikia anaita jina la yuel line Manger wetu wa zamani, akamwambia aje ofisini kwake.... Mungu wangu... Mwili wote ulikufa ganzi nikajiona mtu nisiye na bahati kabisa duniani - aibu hii yote kwa nini lakini nimeshawishika kuja huku? Mara Operation Manager akaingia ofisini na tabasamu lake kama la kejeli hivi.. (nilihisi), akatusalimia akaketi.

CEO akasema huku amemwangalia Operation Manger " As i discussed with you this morning, i think we agreed that these two boys......" Yaani alipofika pale nilitamani ardhi ifunguke nijifishe kwa aibu inayokuja mbele yetu... akaendeea " Tumewasamehe kwa yote yale waliyoyafanya sababu kubwa ya kuwasamehe ni vijana bado wadogo hawana experience ya maisha ya kazi - tunatakiwa kuwalinda na kuwajenga, ni wajibu wetu... akamalizia CEO huku akigekia kutuangalia sisi.. hapo nilishusha punzi kama nimejitua gunia la kokoto kichwani... akaendelea.. Tumefarijika sana kuwa mmejua kosa lenu na hii ndiyo kigezo kikuu tulichotumia kuwasamehe - kwamba yawezekana mlikuwa na nia nzuri mno na kampuni yenu lakini hamkufuata utaratibu, kwetu katika kampuni hii usipofuata utaratibu (Policies & Procedures) huwezi kuvumilika kabisa, hata uwe CEO kama mimi ni lazima utachukuliwa hatua tu - hakuna aliye juu ya Policies hakuna. (No one is above the polices ) akamalizia kwa lugha hiyo ya kimombo ambayo anaimudu mno si kama sisi tunajifunzia ukubwani.

Kwa hiyo tumewasamehe na kwa sasa mtakuwa na kikao kingine cha Operation Manager na Finance Manager baada ya hiki cha kwangu - nawatakia kazi njema. akamaliza huku akisimama kunipa mkono mimi na mwenzangu - Tulisimama tukaondoka ofisini kwake bila kuamini tulichokisikia toka kwake...

....usikose.. nakuja...
 
Hitimisho:

Tulitembea hadi ofisi ya Finance Mananger huku yeye akiwa katangulia - alikuwa mzee wa hekima wa age kama 55 - 60 hivi, tuliingia tukaketi pia baada ya muda Operation Manager na yeye akaingia ndani, hatukuwa na wasiwasi tena maana kama msahama tulishapata toka CEO haya yanayofuata si ya hatari tena.

Finance akaanza - Kama mlivyosikia kwa CEO wetu, leo asubuhi kabla hamjafika tulikuwa na kikao cha uongozi kwa hiyo haya yote ntakayoyasema tulishayafanyia maamuzi tayari ila tulisubiri mfike ili tuyabariki.. sasa sitaki kurudia hayo yote yaliyotokea kwenu tangu mwanzo hapana, waungwana na wasomi huwa wana focus yaliyo mbele yao na hii ndiyo kazi yangu mimi na mwenzangu hapa.

Kwanza kabisa PONGEZI nyingi sana nazitoa kwenu toka kwa kampuni yetu kwa kutuletea mteja ambaye kwa tetesi tulizopata alikuwa afunge mkataba na kampuni nyingine siku chache kabla ya ninyi kufanya mazungumzo na yeye, ila kwa weredi wenu mmeweza kumshawishi na mmetuletea project kubwa kama hii Big Up kwenu. Muda huo nilikuwa naendeea kuchekea tumboni...

Akaendelea Pili kampuni yetu pamoja na hayo yote imeamuwa kuwazawaidia ajira MPYA...... kwa muda mrefu tulikuwa tuna mpango wa kufungua tawi letu Arusha, ila tulikuwa tunakwamba kidogo kwa hiyo tukawa tunaendelea kuwatumia mawakala - sasa napenda kuwajulisha kwamba mmechaguliwa ninyi wawili kwenda kufungua tawi hilo ambalo kwa kuanza litashughulika na kazi za Sales / Marketing pamoja na Technical na viongozi mtakuwa ni ninyi.

Akanitaja mimi ( nitakuwa Head wa Marketing / Sales) na mwenzangu atakuwa upande wa Technical. Kwa sababu position hizi ni kubwa na ninyi hamna uzoefu mkubwa basi mtafanya orientation kwa wiki mbili na mabosi wenu wa zamani yaani Operation Manager na Sales Manager na mkiwa huko Arusha mtatimiza majukumu yenu na kuriport moja kwa moja kwa CEO. Kwa hiyo kwa wiki mbili hizi mtafanya kazi hapa bega kwa bega na hawa watu ili mjue nini majukumu yenu mapya... Sambamba na hilo kikao cha leo kimeamua kuwapa 5% ya thamani ya projet nzima kama asante kwenu.

Muda huo nilibakia nimeduwaa siamini kinachoendelea pale, jamaa yangu ndiyo kabisaa alikuwa mbali, nilishtuka wakati anasema " I think your comfortable with these positions in front of you right? nikashtuka kidogo nikasema Yes, na mwenzangu Yes.

Operation Manager naye akasema kuwa kwa wiki hizi mbili zijazo tutafanya kazi naye pamoja na yule wa Sales (Building capacity) kabla hatujasafiri kwenda kwenye majukumu mapya.. Pia pamoja ya yeye tutasimalia hii Project nzima kuhakikisha inafanya kazi kama ilivyotazamiawa. Walisimama wote wakatupa hage la nguvu la Hongera na kututakia mafanikio mema... Tulisimama na kuondoka, ili kesho yake tuanze rasmi majukumu hayo mapya ya orientation.

Tulitoka, wakati natoka nilihisi miguu nyepesi sana, yaani siamini kama kweli yametukuta haya, tulifika reception tukaaga - dada aka smie na kutumbia Hongera... tulitabasabu sababu tunamjua. Tulifika nje ya office pale wawili wote tuliangaliana na kukumbatiana wa furaha kubwa, tukaagana ili tukapumzike baada ya kazi ngumu ya siku tatu mfululizo. Nilifika nyumbani nilipiga magoti kumshukuru Mungu wangu kama kawaida yangu kwa yote mema aliyonitendea kwa kutujaza Hekima mpaka kumelimaliza jambo letu salama.

Tulianza orientaion yetu vizuri, tukawa tunaingia kwenye Management meeting..., kule tukaanza kujua na kujadili future focus ya kampuni, financial, Sales na Technical strategies etc... Baada ya wiki mbili tulipata ile 5% yetu - pesa nyingii sana... tuliaga na kwenda Arusha kuanza kazi. Tulifanya kazi yetu vizuri kule Arusha huku tukireport moja kwa moja kwa CEO, na huko ndipo nikakomaa kwenye idara zote za mauzo na ufundi - pamoja na mwenzangu tukajifunza kufuata MISINGI ya kazi - Taratibu zilizopo na kutii mamlaka na kufuata itifaki.

Poleni kina Mdee, mimi nilivuka kwa style hii - ninyi nafikiri bado mna nafasi kubwa ya kusamehewa kama kweli mlikuwa na dhamira ya kweli ya KUJENGA badala ya KUBOMOA, Sisi mlango ulifungwa ila ukafunguliwa tena kwa stle hii ya kipekee - bado naamini mna NAFASI.

-------------------------------- END ---------------------------------
 
Hongera
Hitimisho:

Tulitembea hadi ofisi ya Finance Mananger huku yeye akiwa katangulia - alikuwa mzee wa hekima wa age kama 55 - 60 hivi, tuliingia tukaketi pia baada ya muda Operation Manager na yeye akaingia ndani.

Finance akaanza - Kama mlivyosikia kwa CEO wetu, leo asubuhi kabla hamjafika tulikuwa na kikao cha uongozi kwa hiyo haya ntakayoyasema tulishayafanyika maamuzi ila tulisubiri mfike tu ili tuyabariki.. Sitaki kurudia hayo yote yaliyotokea kwenu hapana, waungwana na wasomi huwa wana focus yaliyo mbele yao na hii ndiyo kazi yangu mimi na Mwenzangu hapa.

Kwanza kabisa PONGEZI nyingi sana nazitoa kwenu toka kwa kampuni yetu kwa kutuetea mteja ambaye kwa tetesi tulizopata alikuwa afunge mkataba na kampuni nyingine siku chache kabla ya ninyi kufanya mazungumzo na yeye, ila kwa weredi wenu mmeweza kumshawishi na mmetuletea project kubwa sana. Muda huo nilikuwa naendeea kuchekea tumboni...

Akaendelea Pili kampuni yetu pamoja na hayo yote imeamuwa kuwazawaidia ajira MPYA...... kwa muda mrefu tulikuwa tuna mpango wa kufungua tawi letu Arusha, ila tulikuwa tunakwamba kidogo kwa hiyo kukawa tunaendelea kuwatumia mawakala - sasa napenda kuwajulisha kwamba Mmechaguliwa ninyi wawili kwenda kufungua tawi hilo ambalo kwa kuanza litashughulika na kazi sa Sales / Marketing pamoja na Technical na viongozi mtakuwa ni ninyi.

Akanitaja mimi ( Nitakuwa Head wa Marketing / Sales) na mwenzangu atakuwa upande wa Technical. Kwa sababu position hizi ni kubwa na ninyi hamna uzoefu mkubwa basi mtafanya in-line na Operation Manager na Sales Manager wa Hapa Headquarters wakati wa kutimiza majukumu yenu huko. Kwa hiyo kwa wiki mbili hizi mtafanya kazi hapa bega kwa bega na hawa watu ili mjue nini majukumu yenu mapya... Sambamba na hilo kikao cha leo kimeamua kuwapa 5% ya thamani ya projet kama asante kwenu.

Muda huo nilibakia nimeduwaa siamini kinachoendelea pale, jamaa yangu ndiyo kabisaa alikuwa mbali, nilishtuka wakati anasema " I think your comfortable with these positions in front of you right? nikashtuka kidogo nikasema Yes, na Mwenzangu Yes.

Operation Manager naye akasema kuwa kwa wiki hizi mbili zijazo tutafanya kazi naye pamoja na yule wa Sales (Building capacity) kabla hatujasafiri kwenda kwenye majukumu mapya.. Pia pamoja ya yeye tutasimalia hii Project nzima - Walisimama wote wakatupa hage la nguvu la Hongera na kututakia mafanikio mema... Tulisimama na kuondoka, ili kesho yake tuanze rasmi majukumu hayo mapya ya orientation.

Tulitoka, wakati natoka nilihisi miguu nyepesi sana, yaani siamini kama kweli yametukuta haya, tulifika reception tukaaga - dada aka smie na kutumbia Hongera... tulitabasabu sababu tunamjua. Tulifika nje ya office pale wawili wote tuliangaliana na kukumbatiana wa furaha kubwa, tukaagana ili tukapumzike baada ya kazi ngumu ya siku tatu mfululizo. Nilifika nyumbani nilipiga magoti kumshukuru Mungu wangu kama kawaida yangu kwa yote mema aliyonitendea kwa kutujaza Hekima mpaka kumelimaliza jambo letu salama.

Tulianza orientaion yetu vizuri, tukawa tunaingia kwenye Management meeting..., baada ya wiki mbili tulipata ile 5% yetu - pesa nyingi sana... tuliaga na kwenda Arusha kuanza kazi. Tulifanya kazi yetu vizuri kule Arusha, na huko ndipo nikakomaa kwenye idara zote za mauzo na ufundi - pamoja na mwenzangu tukajifunza kufuata MISINGI ya kazi - Taratibu zilizopo na kutii mamlaka na kufuata itifaki.

Poleni kina Mdee, mimi nilivuka kwa style hii - ninyi nafikiri bado mna nafasi kubwa ya kusamehewa kama kweli mlikuwa na dhamira ya kweli ya KUJENGA badala ya KUBOMOA, Sisi mlango ulifungwa ila ukafunguliwa tena kwa stle hii ya kipekee - bado naamini mna NAFASI.

-------------------------------- END ---------------------------------
Mkuu hongereni, very interesting.
 
Asante mkuu Jimejikuta natabasam kwa fraha
it was real hard for me imagine at age of 26, lakini hiyo ndiyo experience ya kwanza iliyonikomaza.. hili la kina Mdee kama kweli hawakuwa na nia mbaya bado naliona linaweza kumalizaika tu kwa amani na watu wakarudi kupiga kazi hata kama ni katika mazingira tofauti.
 
Hitimisho:

Tulitembea hadi ofisi ya Finance Mananger huku yeye akiwa katangulia - alikuwa mzee wa hekima wa age kama 55 - 60 hivi, tuliingia tukaketi pia baada ya muda Operation Manager na yeye akaingia ndani, hatukuwa na wasiwasi tena maana kama msahama tulishapata toka CEO haya yanayofuata si ya hatari tena.

Finance akaanza - Kama mlivyosikia kwa CEO wetu, leo asubuhi kabla hamjafika tulikuwa na kikao cha uongozi kwa hiyo haya yote ntakayoyasema tulishayafanyia maamuzi tayari ila tulisubiri mfike ili tuyabariki.. sasa sitaki kurudia hayo yote yaliyotokea kwenu tangu mwanzo hapana, waungwana na wasomi huwa wana focus yaliyo mbele yao na hii ndiyo kazi yangu mimi na mwenzangu hapa.

Kwanza kabisa PONGEZI nyingi sana nazitoa kwenu toka kwa kampuni yetu kwa kutuletea mteja ambaye kwa tetesi tulizopata alikuwa afunge mkataba na kampuni nyingine siku chache kabla ya ninyi kufanya mazungumzo na yeye, ila kwa weredi wenu mmeweza kumshawishi na mmetuletea project kubwa kama hii Big Up kwenu. Muda huo nilikuwa naendeea kuchekea tumboni...

Akaendelea Pili kampuni yetu pamoja na hayo yote imeamuwa kuwazawaidia ajira MPYA...... kwa muda mrefu tulikuwa tuna mpango wa kufungua tawi letu Arusha, ila tulikuwa tunakwamba kidogo kwa hiyo tukawa tunaendelea kuwatumia mawakala - sasa napenda kuwajulisha kwamba mmechaguliwa ninyi wawili kwenda kufungua tawi hilo ambalo kwa kuanza litashughulika na kazi za Sales / Marketing pamoja na Technical na viongozi mtakuwa ni ninyi.

Akanitaja mimi ( nitakuwa Head wa Marketing / Sales) na mwenzangu atakuwa upande wa Technical. Kwa sababu position hizi ni kubwa na ninyi hamna uzoefu mkubwa basi mtafanya orientation kwa wiki mbili na mabosi wenu wa zamani yaani Operation Manager na Sales Manager na mkiwa huko Arusha mtatimiza majukumu yenu na kuriport moja kwa moja kwa CEO. Kwa hiyo kwa wiki mbili hizi mtafanya kazi hapa bega kwa bega na hawa watu ili mjue nini majukumu yenu mapya... Sambamba na hilo kikao cha leo kimeamua kuwapa 5% ya thamani ya projet nzima kama asante kwenu.

Muda huo nilibakia nimeduwaa siamini kinachoendelea pale, jamaa yangu ndiyo kabisaa alikuwa mbali, nilishtuka wakati anasema " I think your comfortable with these positions in front of you right? nikashtuka kidogo nikasema Yes, na mwenzangu Yes.

Operation Manager naye akasema kuwa kwa wiki hizi mbili zijazo tutafanya kazi naye pamoja na yule wa Sales (Building capacity) kabla hatujasafiri kwenda kwenye majukumu mapya.. Pia pamoja ya yeye tutasimalia hii Project nzima kuhakikisha inafanya kazi kama ilivyotazamiawa. Walisimama wote wakatupa hage la nguvu la Hongera na kututakia mafanikio mema... Tulisimama na kuondoka, ili kesho yake tuanze rasmi majukumu hayo mapya ya orientation.

Tulitoka, wakati natoka nilihisi miguu nyepesi sana, yaani siamini kama kweli yametukuta haya, tulifika reception tukaaga - dada aka smie na kutumbia Hongera... tulitabasabu sababu tunamjua. Tulifika nje ya office pale wawili wote tuliangaliana na kukumbatiana wa furaha kubwa, tukaagana ili tukapumzike baada ya kazi ngumu ya siku tatu mfululizo. Nilifika nyumbani nilipiga magoti kumshukuru Mungu wangu kama kawaida yangu kwa yote mema aliyonitendea kwa kutujaza Hekima mpaka kumelimaliza jambo letu salama.

Tulianza orientaion yetu vizuri, tukawa tunaingia kwenye Management meeting..., kule tukaanza kujua na kujadili future focus ya kampuni, financial, Sales na Technical strategies etc... Baada ya wiki mbili tulipata ile 5% yetu - pesa nyingii sana... tuliaga na kwenda Arusha kuanza kazi. Tulifanya kazi yetu vizuri kule Arusha huku tukireport moja kwa moja kwa CEO, na huko ndipo nikakomaa kwenye idara zote za mauzo na ufundi - pamoja na mwenzangu tukajifunza kufuata MISINGI ya kazi - Taratibu zilizopo na kutii mamlaka na kufuata itifaki.

Poleni kina Mdee, mimi nilivuka kwa style hii - ninyi nafikiri bado mna nafasi kubwa ya kusamehewa kama kweli mlikuwa na dhamira ya kweli ya KUJENGA badala ya KUBOMOA, Sisi mlango ulifungwa ila ukafunguliwa tena kwa stle hii ya kipekee - bado naamini mna NAFASI.

-------------------------------- END ---------------------------------
Sio tu nimependa kisa chenu ila NIMEJIFUNZA.

Mambo makuu niliyo jifunza,

1. Kuomba msamaha unapokosea.

2. Kufwata taratibu.

3. Hata kama utaachana na mtu/kampuni achaneni mkiwa clean..

4. Bila kujali uko smart au wamuhimu kiasi gani, kama hufwati taratibu you are nothing na ukiondoka atapatikana wa kuku replace.

====

Shukrani kwa muda wako na Mungu awe nanyi!!
 
Kisa chenye mafunzo kwa vijana wa sasa hasa kufuata policy ya mwajiri au taasisi yeyote
 
Back
Top Bottom