tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,532
- 1,484
Mtoa mada ametumwa kuchafua chuo kikuu Mzumbe bila shaka.
Kwa hyo mtu atoke advenced diploma.akasome tena degree. Ungekuwa ww ungekubali???
ebu toa upuuzi wako hapa..
Kama ulikutana na mtu ana masterz halafu kichwani sifuri basi ujue ni matatizo yake binafsi na si ya chuo
hata udsm sua na hata huko nje ya nchi wapo wanaotunukiwa hizo masters lakin uwezo wao mdogo
kwa mfano ww hapo inawezekana unajiita una masters au degree lakin ulichoandika ni upuuz
hivyo hatuwez kugeneralize eti chuo kmekupa degree kirahisi
NEXT TIME FIKIRI KABLA YA KUANDIKA MADA
NB. kwenye matangazo ya kazi huwa wanasema uwe na advanced diploma au degree wakimaanisha ni sifa zinazoendana........
ningekuona wa maana sana kama ungesema hivi... Vyuo vyetu visidahili masters za kuunga bila kuanza kufanya kaz kwanza.....
Performance ya ofisin hutegemea na uzoefu wa kazi na mtu anavyopenda kazi yake
kaka hongera saana, umeandika points tupu