Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Advanced diploma ni equivalent to bachelar degree kwa hivo Kwa kigezo hicho Mzumbe wapo sahihi kabisa na TCU walishatoa go ahead

TCU then have to revisit their regulations on this. Hawajui what the reality is on the ground. TCU siyo hoja angalia some of the vyuo wanavyovipa usajiri kama vyuo vikuu! Mfano, Tanga Eckenfode University! Sidhani kama wanajua nini kipo pale in terms of academics!
 
Its true Mzumbe ni sehemu ya kuchukulia masters kiujanja bila graduates kuwa compitent wanaanza kuandikiwa kuanzia proposal disertations cha kushangaza mtu ana maliza masters hajui kuandika abstract wala acknoledgmement ni majanga kwa kweli product za pale hamna kipya 98% ya graduates hawajafanya proposal kwa anayetaka kujiendeleza na kuelewa Mzumbe hapafai kwa future studies zake

Umesema umenikumbusha. Hawawezi kuandika proposal. Nasema ninachokishuhudia! Wanaandikiwa proposal na sijui kama huwa wana-defend proposal zao under external examiners! Tunawaona wanaomba msaada lakin unaona hajui hata anachokifanya
 
jidanganye hivyohivyo naoan unaicheza ngoma usiyoifahamu

Wewe kama umeipata kwa kazi basi..jitahidi kuwa social na kuongea na watu/jichanganye..acha kufanya mambo mwenyewe mwenyewe.....ila habari ndo hiyo..ukitaka kupata masters kirahisi nenda mzumbe...kubali kataa ukweli unabaki ivo
 
Tuwe na discussion ya kuelimishana. Usitukane. Nimetoa ninachokiona ofisini. Sijui Bunju ni nini lakini unajaribu kutukana (Mimi nimemaliza basic degree 1980 UDSM, sijisifu ila naona mapungufu). Mimi naona graduates wa hizo masters wanatia mashaka sana. Tunao maofisini can not even make a good english sentence, hao wa advanced diploma! Kuna ambao wana Basic degree, unaona kuna tofauti kubwa, they are doing good.

Mwaka 1980,ulikua na miaka mingapi?? And now unafanya kazi ofisi gani public au yako private??

Maana unatakiwa uwe mstaafu kwa sasa hebu achia hiyo post vijana wakamate ofisi! Au ulipunguza miaka??
Tundu,Feleshi wametoka udsm,1994 now wana approach 50+ wewe wa 1980 hujastaafu tu??
 
Mtoa mada ametumwa kuchafua chuo kikuu Mzumbe bila shaka.

Kwa hyo mtu atoke advenced diploma.akasome tena degree. Ungekuwa ww ungekubali???

ebu toa upuuzi wako hapa..

Kama ulikutana na mtu ana masterz halafu kichwani sifuri basi ujue ni matatizo yake binafsi na si ya chuo

hata udsm sua na hata huko nje ya nchi wapo wanaotunukiwa hizo masters lakin uwezo wao mdogo

kwa mfano ww hapo inawezekana unajiita una masters au degree lakin ulichoandika ni upuuz

hivyo hatuwez kugeneralize eti chuo kmekupa degree kirahisi

NEXT TIME FIKIRI KABLA YA KUANDIKA MADA

NB. kwenye matangazo ya kazi huwa wanasema uwe na advanced diploma au degree wakimaanisha ni sifa zinazoendana........


ningekuona wa maana sana kama ungesema hivi... Vyuo vyetu visidahili masters za kuunga bila kuanza kufanya kaz kwanza.....

Performance ya ofisin hutegemea na uzoefu wa kazi na mtu anavyopenda kazi yake
 
swala si kuwa na vyeti vingi.kinachoangaliwa iyo master wanayo ipata je, ni aplicable kwa jamii na je,hao waanafunzi wameivishwa vizuri?
 
Hata kama experiance ina value sana,kumbuka kuna utofauti kati ya mwanazuoni na msomi mkuu,.usifananishe bill gates na Elimu unayoiita ya makaratasi..
 
Tatizo si kuwa na bachela au advanced diploma. Tatizo ni masters products za mzumbe
 
Mtoa mada ametumwa kuchafua chuo kikuu Mzumbe bila shaka.

Kwa hyo mtu atoke advenced diploma.akasome tena degree. Ungekuwa ww ungekubali???

ebu toa upuuzi wako hapa..

Kama ulikutana na mtu ana masterz halafu kichwani sifuri basi ujue ni matatizo yake binafsi na si ya chuo

hata udsm sua na hata huko nje ya nchi wapo wanaotunukiwa hizo masters lakin uwezo wao mdogo

kwa mfano ww hapo inawezekana unajiita una masters au degree lakin ulichoandika ni upuuz

hivyo hatuwez kugeneralize eti chuo kmekupa degree kirahisi

NEXT TIME FIKIRI KABLA YA KUANDIKA MADA

NB. kwenye matangazo ya kazi huwa wanasema uwe na advanced diploma au degree wakimaanisha ni sifa zinazoendana........


ningekuona wa maana sana kama ungesema hivi... Vyuo vyetu visidahili masters za kuunga bila kuanza kufanya kaz kwanza.....

Performance ya ofisin hutegemea na uzoefu wa kazi na mtu anavyopenda kazi yake

Kutukana hakusaidii, toa hoja tupate ukweli. Matusi hayaondoi kilichokwisha jengeka kwenye vichwa vya watu kuwa Mzumbe Masters zao (hasa kutoka vituo vya mikoani) ni sub-standard. Toa elimu ukweli uonekane kama ulivyosema kuwa kuna individual weaknesses etc. LAKINI MATUSI HAYATAONDOA DHANA HIYO. Kama unakumbuka Madaktari wa Urusi walikuwa wanapata shida kukubalika kwa wenzao wa Muhimbili, lakini good performance yao kazini ilifuta dhana hiyo na siyo matusi. Nakwambia sasa kuna mtu alikuwa anatafuta advocate akasema kama ni wa Mzumbe sitaki!!!!
 
Hivi mnafahamu kwamba waziri prof.mwandosya hajawahi kusoma masters!prof.mwandosya amesoma degree na PhD tu.au sababu PhD amesoma katika chuo cha wazungu?
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme

Hoja hapa si umri wangu. You might be one of them, haina tatizo wewe toa hoja ufute dhana ambayo imeshajengeka kwa watu wa Masters from "your" chuo!. Sina nia mbaya kabisa nina mtoto wa kumzaa mwenyewe anasoma pale. Hivyo Nakiheshimu sana chuo lakini mapungufu lazima niyaseme.
 
Kutukana hakusaidii, toa hoja tupate ukweli. Matusi hayaondoi kilichokwisha jengeka kwenye vichwa vya watu kuwa Mzumbe Masters zao (hasa kutoka vituo vya mikoani) ni sub-standard. Toa elimu ukweli uonekane kama ulivyosema kuwa kuna individual weaknesses etc. LAKINI MATUSI HAYATAONDOA DHANA HIYO. Kama unakumbuka Madaktari wa Urusi walikuwa wanapata shida kukubalika kwa wenzao wa Muhimbili, lakini good performance yao kazini ilifuta dhana hiyo na siyo matusi. Nakwambia sasa kuna mtu alikuwa anatafuta advocate akasema kama ni wa Mzumbe sitaki!!!!

Sijakutukana nimekueleza ukweli kwamba ulichokiandika ni upuuzi... Na degree yko fake
 
Its true Mzumbe ni sehemu ya kuchukulia masters kiujanja bila graduates kuwa compitent wanaanza kuandikiwa kuanzia proposal disertations cha kushangaza mtu ana maliza masters hajui kuandika abstract wala acknoledgmement ni majanga kwa kweli product za pale hamna kipya 98% ya graduates hawajafanya proposal kwa anayetaka kujiendeleza na kuelewa Mzumbe hapafai kwa future studies zake

Hoja hii si ya kweli kwa mwanafunzi aliyesoma degree yake ya kwanza Mzumbe au hata certificate

Mzumbe ht aliyehitimu certificate anajua kuandika dissertation

hakuna kitu kinatiliwa mkazo kwa Mzumbe kama hili la research

nadhani mtoa mada amekurupuka

Mzumbe kujua kuandaa research proposal... Kufanya research.. Kuandika dissertation na kuipresent kwa written na oral....ni kigezo muhimu katka kutunukiwa degree ya kwanza na ya pili
 
Yeah, ndio maana nafanya mpango shahada yangu ya pili nikachukue nje!!
Kuna kitabu kinaitwa secret of success kimeandika na Dr. Emily chan Graduate wa MBA harvard Uni.

Kna Mahali anaelezea why MBA in harvard is so special.! Ni kwa sababu ya Mode of lecturing and delivering material to students.
Lecture huwa wanatumia muda mchache kufundisha na badala yake wanakuwa na discussion on Case study of real problem in current Finance world.!!

Niambie ni chuo gani kimejaribu kufanya hivi ?? Nenda Mzumbe utakuta unatakiwa ku-kremu na ku-pass mtihani, nenda udsm hali ni ile ile.
Vyuo vyetu Bado sana sio mzumbe tu hata hao udsm wana-krem na kufanya paper exams.
Vyuo vyote Tz bado. Havijafikia viwango
 
......Jamani samahani naomba kuelimishwa juu ya suala la kusema Advance diploma is equivalent to degree.
Nikiangalia katika dictionary inaonesha neno equivalent maana yake ni equal in value, amount, function, meaning etc.
Hii inamaanisha hivi vitu viwili ni sawa(Advance diploma=degree).

Kinachonitatiza ni kwamba sijawahi kuona hata sut ehemu moja mtu anasema au imeandikwa degree is equivalent to advance diploma na wale wenye advance diploma pekee ndo wanang'ang'aniza ili ionekane wapo sawa na degree.
equivalent is approximately equal to eg 4.9 equivalent to 5, but 5 equal to 5, equivalent not the same with equal
equal ina sign =,but equivalent ina alama tatu za sawasawa
 
Back
Top Bottom