Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Kuna kitabu kinaitwa secret of success kimeandika na Dr. Emily chan Graduate wa MBA harvard Uni.

Kna Mahali anaelezea why MBA in harvard is so special.! Ni kwa sababu ya Mode of lecturing and delivering material to students.
Lecture huwa wanatumia muda mchache kufundisha na badala yake wanakuwa na discussion on Case study of real problem in current Finance world.!!

Niambie ni chuo gani kimejaribu kufanya hivi ?? Nenda Mzumbe utakuta unatakiwa ku-kremu na ku-pass mtihani, nenda udsm hali ni ile ile.
Vyuo vyetu Bado sana sio mzumbe tu hata hao udsm wana-krem na kufanya paper exams.
Vyuo vyote Tz bado. Havijafikia viwango
 
Mleta mada naomba unambie kwa mfano degree ya accounts vs advanced dip ya accounts ni vtu gani anakuwa hajafundishwa mtu wa adv dip hadi wawe tofaut na wenye degree?
 
Kwa Tanzania jitihada kubwa inatakiwa kuelekezwa kwenye mffumo wa elimu kwa ujumla ambao hauhakikishi quality product no matter what level the candidate/ graduate attained, performance hakuna kabisa kwenye utumiaji wa elimu inayopatikana Tanzania kwa sasa, hatuna critical thinkers, innovators, creators etc etc. Tumebakiza wasomi wanaoogopa challenges wasomi wa ndio mzee hata kama jambo analiona sio sahihi kuwa vile, ndio maana watu/wasomi wanasahau haraka mambo ya msingi hata kitaifa na kuwa wa matukio na ushabiki wa vitu vyepesivyepesi tu.

Wakati mwingine huwa najiuliza hivi kila mtanzania lazima kuwa mwana siasa? ebu angalia hata mada za humu jf ukiweka jambo nje ya siasa, mmu na mambo ya kikubwa hutoweza kupata wachangiaji wengi au mada itapitwa ikionekana imeonwa lakini hakuna kuchangiwa kitu.

Nionavyo mimi hapa suala la academic status iwe bachelor, masters au phd lizingatie past practical performance ya mtu sio academic performance kwani hata wanaonunua mitihani nao wana gpa nzuri za kuwapeleka next level bila kuwa na uhakika atahudumu vipi baada ya kuingia katika matumizi ya elimu/ utaalamu wake.
 
Kama umenielewa na bado unataja vigezo vyangu na TCU, mimi ndio sijakuelewa mkuu.
Natofautiana na wewe kwamba:
1. Hizo masters degree haiwezi tolewa bila kuithinishwa na TCU
2. Nina amini kuwa hadi Mzumbe kufungua hizo centres lazima iliidhinishwa na TCU na mzumbe hawakuibuka kivyao.
3. Hizo advanced diploma zimethibitishwa na kuithinishwa na TCU kwamba mwenye nayo anaweza kuwa admitted kwenye hio Masters.
iwapo ulimuona kilaza mmoja mwenye advanced diploma alichemsha kivyake kwenye master programme sio uhitimishe kuwa advanced diploma inawapa shida wanaojiunga na masters.
 
Unaona sasa, kumbe unajua kabisa mambo na tuko upande mmoja ila lugha zinapingana mkuu.
Mimi nimeeleza wazi kwenye bandiko langu la mwanzo kwamba achilia mbali Advanced Diploma, kuna vyuo vya nje tena vinaheshimika vinachukua wanafunzi kusoma Masters, wanatumia uzoefu kazini. Nikasema Mzumbe sio wa kwanza kufanya hivyo ila inategemea wanatumia vigezo gani.

Nilichokua nataka kuweka wazi ni kwamba, vyuo vina taratibu zake za kupokea wanafunzi wake. Na sikuona cha ajabu walichofanya Mzumbe.

Nafikiri sasa tutakua kwenye upande mmoja.
 
Pos mkuu

Na masterz za udom zikoje jaman,nataka mwakan nikagonge masters udom?au bora hata za mzumbe?
 
"Same"????? Kwa nini walioanzisha Adavanced diploma waliweka Na First degree! walikuwa wajinga? Hawakuwa na lengo? Huko nyuma baada ya uhuru na late seventies, Graduation gowns zilikuwa zinavaliwa na watu wa degree tu, sio advanced diploma! Why this difference? Uchakachuaji wa elimu ulipokuja kwetu TZ hata chehechea wanavaa gowns, Diploma wanasoma Masters etc.

Wewe unaonekana haujui ngazi za Elimu zipoje,ziliwekwaje na zinahusiana vipi.Ordinary Diploma,Advanced Diploma,Degree,Masters na Phd zilikuwepo na zipo mpaka sasa hata huko kwenye nchi zilizoendelea na kila kimoja kina vigezo vyake vya kuingia.Wewe ume crame kwamba ni lazima tu utoke degree ndio uende masters(you are deadly wrong). Fuatilia mifumo ya vyuo vya Uingereza,Marekani na nchi nyingi za Ulaya ambako ndiko najua unaamini kuna elimu nzuri utajifunza kitu. Unatakiwa uingie huko kwanza ubukue ndio uje tena hapa.
 
Mkuu labda utusaidie sisi ambao tuliishia darasa la saba, ivi bachelor degree inaanzia NTA ipi na advanced diploma ni NTA level IPI?
Kwa elimu ya Tanzania tuna national awards kuanzia NTA Level 4 ambako certificate ni NTA level 4 , diploma ya miaka miwili ni NTA 5na 6 bachelor ni NTA level NTA level 7,8,9 Masters in 10 na 11 , PhD 12......
Katika viwango vya taifa ili ni wapi advanced diploma inafiti?
Ikumbukwe kuwa kuanzishwa kwa diploma ilikuwa kwa ajili ya watendaji yaani experts wakati bachelor ni wasimamizi, administrators....he kwa sasa taifa linahitaji kada IPI, administrators au experts??

Sijui kama naeleweka, mfano mrahisi no kwa maengineer, MTU aliyehitimu bachelor electric engineering in mtu WA kusimamia wakati MTU ambaye ni chini ya digrii ndio mtendaji!! Jipime mwenyewe sasa nani ni muhimu zaidi, mtenda kazi au mweka Alama ya tick, je nani atahitajika kwenye ajira? Halo tutapata jibu bila ushabiki kwa nini watu wanaajiriwa kutoka vyuo Fulani wakati vyuo vyenye majina wanabaki kupiga siasa
Nimechanganya mambo mengi ila lengo ni KUTOA ufafanuzi.

Kuhusu kusoma masters toka advanced diploma nshajibu apo juu kuwa tafuteni System ya elimu ya taifa ili utaona vigezo na si kukariri njia moja...
Kwa kifupi tu, hakuna kanuni, hakuna sheria inayomtaka MTU a some level Fulani ili asome inayofuata...kwa nchi yetu MTU anaweza toka form4 akasoma diploma wakati MTU wa fomu6 akakosa vigezo vya kusoma diploma ikabidi aanzie certificate.
Poa MTU anaweza kutokuwa na digrii ila akafanya masters then PhD... Mfano no MTU WA fomu4 afanye course za mwanzo za NBAA apate CPA then ajiunge masters wakati we wa degree ukashindwa kwenda masters mpaka ufanye postgraduate...sasa kwa nini ushangae WA advanced diploma?? Au ndio Yale mabishano ya chuo kipi kizuri yanaendelea??

Ni kwa ufupi tu kuwa wale wasioelewa NTA za taifa ili ndio wanaangaika kwa mini wenzao wanaexcel wakati wao wanazungika na bahasha!!

Lastly ...cha muhimu juha jinsi ya kufanya maisha ili uache kulalama wakati wenzio wanaweza maisha....njoo TRA, nenda kwenye mabenki, nenda kwenye ofisi za audit firms,mahakama na mahakimu , wakaguzi alafu uchunguze then uone kwenye taasisi izo wakubwa walisoma mini uko mwanzo ndio utajidunza, kwa kulisaidia jamvi, kila taasisi uweka wazi wakubwa wao wana trend gani ya elimu, view then uje tudiscuss... Vinginevyo tutapoteza muda bure!!!
 
Wee acha uongo wa waziwazi, wanasiasa asilimia kubwa wamesoma UDSM, hili dafu linalotuharibia nchi ni mfano mmoja na cha kustaajabisha eti kasoma uchumi.
..........teh teh teh teh!! Asante kwa kunirekebisha Mkuu, nilitoa mfano mmoja tu kwa kumuangalia Nape, kumbe wapo wengi lol!!. Kwa maana hiyo tunaweza kusema uzembe upo upande wa serikali ambao hawafuatilii hizo taarifa za kuwepo uduni katika elimu itolewayo kwenye vyuo vyetu.

Sikuwa na maana mbaya kwa chuo cha Mzumbe maana mimi sio mfuasi wa jina au majengo ya chuo fulani bali huwa naangalia zaidi jinsi "products" zinazotokana na chuo fulani zinavyouzika makazini katika utendaji wa majukumu yao.

Mkuu Njowepo: si kweli kwamba nilicomment tofauti kwa sababu nilisoma UDSM, sijawahi kusoma UDSM wala Mzumbe, niliandika nilichoandika kama mchangiaji huru. Samahani kama comment yangu ilikukera kiongozi.
 
Naona vijana wa vyuo mbuzi hasa udsm ndio wanajaribu kuleta propaganda chafu dhidi ya Mzumbe.
 
Mkuu labda utusaidie sisi ambao tuliishia darasa la saba, ivi bachelor degree inaanzia NTA ipi na advanced diploma ni NTA level IPI?
Kwa elimu ya Tanzania tuna national awards kuanzia NTA Level 4 ambako certificate ni NTA level 4 , diploma ya miaka miwili ni NTA 5na 6 bachelor ni NTA level NTA level 7,8,9 Masters in 10 na 11 , PhD 12......
Katika viwango vya taifa ili ni wapi advanced diploma inafiti?
Ikumbukwe kuwa kuanzishwa kwa diploma ilikuwa kwa ajili ya watendaji yaani experts wakati bachelor ni wasimamizi, administrators....he kwa sasa taifa linahitaji kada IPI, administrators au experts??

Sijui kama naeleweka, mfano mrahisi no kwa maengineer, MTU aliyehitimu bachelor electric engineering in mtu WA kusimamia wakati MTU ambaye ni chini ya digrii ndio mtendaji!! Jipime mwenyewe sasa nani ni muhimu zaidi, mtenda kazi au mweka Alama ya tick, je nani atahitajika kwenye ajira? Halo tutapata jibu bila ushabiki kwa nini watu wanaajiriwa kutoka vyuo Fulani wakati vyuo vyenye majina wanabaki kupiga siasa
Nimechanganya mambo mengi ila lengo ni KUTOA ufafanuzi.

Kuhusu kusoma masters toka advanced diploma nshajibu apo juu kuwa tafuteni System ya elimu ya taifa ili utaona vigezo na si kukariri njia moja...
Kwa kifupi tu, hakuna kanuni, hakuna sheria inayomtaka MTU a some level Fulani ili asome inayofuata...kwa nchi yetu MTU anaweza toka form4 akasoma diploma wakati MTU wa fomu6 akakosa vigezo vya kusoma diploma ikabidi aanzie certificate.
Poa MTU anaweza kutokuwa na digrii ila akafanya masters then PhD... Mfano no MTU WA fomu4 afanye course za mwanzo za NBAA apate CPA then ajiunge masters wakati we wa degree ukashindwa kwenda masters mpaka ufanye postgraduate...sasa kwa nini ushangae WA advanced diploma?? Au ndio Yale mabishano ya chuo kipi kizuri yanaendelea??

Ni kwa ufupi tu kuwa wale wasioelewa NTA za taifa ili ndio wanaangaika kwa mini wenzao wanaexcel wakati wao wanazungika na bahasha!!

Lastly ...cha muhimu juha jinsi ya kufanya maisha ili uache kulalama wakati wenzio wanaweza maisha....njoo TRA, nenda kwenye mabenki, nenda kwenye ofisi za audit firms,mahakama na mahakimu , wakaguzi alafu uchunguze then uone kwenye taasisi izo wakubwa walisoma mini uko mwanzo ndio utajidunza, kwa kulisaidia jamvi, kila taasisi uweka wazi wakubwa wao wana trend gani ya elimu, view then uje tudiscuss... Vinginevyo tutapoteza muda bure!!!

Umeongea vizuri sana, the bottomline ni kuwa in academic circles, tuwaachie academicians, qualified ones. Tukija makazini hata chekechea mpe kazi maadamu he or she can deliver basi. mimi sina tatizo. Tusipeleke lecturers wenye GPA isiyokubalika kimataifa kufundisha vyuo vikuu!
 
Wewe unaonekana haujui ngazi za Elimu zipoje,ziliwekwaje na zinahusiana vipi.Ordinary Diploma,Advanced Diploma,Degree,Masters na Phd zilikuwepo na zipo mpaka sasa hata huko kwenye nchi zilizoendelea na kila kimoja kina vigezo vyake vya kuingia.Wewe ume crame kwamba ni lazima tu utoke degree ndio uende masters(you are deadly wrong). Fuatilia mifumo ya vyuo vya Uingereza,Marekani na nchi nyingi za Ulaya ambako ndiko najua unaamini kuna elimu nzuri utajifunza kitu. Unatakiwa uingie huko kwanza ubukue ndio uje tena hapa.

Nasema kuna tatizo na Masters za Mzumbe. Zina mapungufu makubwa. Wanaweza wakaenda na Advanced diploma, lakini kwa Mzumbe hakuna maandalizi! Products wake ni bure narudia! Wanahitaji maandalizi zaidi taking into account background education waliyo nayo toka sekondary za kata! Hilo nitalisem,a bila woga maana nawaona maofisini! Mtu hawezi kuandika report hata ya kiswahili! Kiingereza ndio ??????????????????????
 
......Jamani samahani naomba kuelimishwa juu ya suala la kusema Advance diploma is equivalent to degree.
Nikiangalia katika dictionary inaonesha neno equivalent maana yake ni equal in value, amount, function, meaning etc.
Hii inamaanisha hivi vitu viwili ni sawa(Advance diploma=degree).

Kinachonitatiza ni kwamba sijawahi kuona hata sehemu moja mtu anasema au imeandikwa degree is equivalent to advance diploma na wale wenye advance diploma pekee ndo wanang'ang'aniza ili ionekane wapo sawa na degree.
 
Its true Mzumbe ni sehemu ya kuchukulia masters kiujanja bila graduates kuwa compitent wanaanza kuandikiwa kuanzia proposal disertations cha kushangaza mtu ana maliza masters hajui kuandika abstract wala acknoledgmement ni majanga kwa kweli product za pale hamna kipya 98% ya graduates hawajafanya proposal kwa anayetaka kujiendeleza na kuelewa Mzumbe hapafai kwa future studies zake
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme

Advanced diploma ni equivalent to bachelar degree kwa hivo Kwa kigezo hicho Mzumbe wapo sahihi kabisa na TCU walishatoa go ahead
 
Mimi nilifanya Intern na mwanafunzi wa Udsm, kwenye kampuni moja kubwa Tanzania ya Bia.
Kuna vitu vilikuwa basic kwa accountant lakini nashangaa walikuw zero. Kwenye material analysis report-standard cost, actual cost, efficiency variance, price variance etc. Kwenye stock takin ndo kabisaaa Boss alikuwa ananipeleka sehemu ngumu-brew department huko wao wakienda sehemu rahis kwenye finished goods.

Sio wanafunzi wote wa Mzumbe ni Vilaza na sio wanafunzi wote wa Udsm ni ma-genius...teh teh teh
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme

Wewe ni mhafidhina.....
Eti ndo msomi...aaahhahaaah...msomi gani wewe usiyejua advanced diploma is equivalent to bachelor degree duniani kote?!!!
Hebu tafuta admission form ya UDSM,SUA,ARU,BRADFOD UNIVERSITY,LIVERPOOL UNIVERSITY uone sifa za mtu anayetakiwa kujiunga na Master degree......
Acheni kukurupuka vijana.
 
......Jamani samahani naomba kuelimishwa juu ya suala la kusema Advance diploma is equivalent to degree.
Nikiangalia katika dictionary inaonesha neno equivalent maana yake ni equal in value, amount, function, meaning etc.
Hii inamaanisha hivi vitu viwili ni sawa(Advance diploma=degree).

Kinachonitatiza ni kwamba sijawahi kuona hata sehemu moja mtu anasema au imeandikwa degree is equivalent to advance diploma na wale wenye advance diploma pekee ndo wanang'ang'aniza ili ionekane wapo sawa na degree.

Aaaahaah!endelea kuitafuta kwenye dictionary utaipata tu...usiwaze.
 
Back
Top Bottom