hapa tatizo ni uwiano au usawa wa advanced diploma na bachelor degree, lakini mtoa mada unafahamu kuwa Adv diploma ni sawa na bachelor degree kwa contents na hata unapoajiri watu wa sifa hizo huwa ni sawa, unajua kuwa kuwa kuna waosoma bachelor kwa kutoka form six na wengine wanajoin toka kwenye certificate level, natambua kuna tatiza la ubora wa elimu Tanzania kwa vyuo vyote na ngazi zote za elimu. kama unapokea wanafunzi toka shule zetu zilizo duni toka elimu ya msingi mpaka vyuoni sitegemei kuona waalimu wazuri, na wanafunzi wazuri katika ngazi ya chuo na katika ajira. mnaionea sana mzumbe bila sababu huku yanayojiri kwenye vyuo vingine ni yale yale... Acheni Ushabiki wa vyuo, jengeni hoja za msingi kuboresha elimu ya Tanzania. Msomi wa kweli hupaswi kulaumu ila unatakiwa kuja na majibu ya matatizo ya jamii inayokuzunguka. Asie soma, darasa la saba, sekondari, walalamike na wewe chuo unalalamika pia.....pOOR tANZANIA