Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Ungekua unataka fair discussion usingekuja na conclusion yako kwamba masters ya mzumbe cjui ni maharage ya mbeya,ungefanya kuchokoza mada ili kuckia maoni ya wengne co unakuja na conclusion yako,tena kumbe we ni udsm ndo mana umeweka hio mada nyiemliosoma ud ndo mnajifanyaga mabingwa wa ku criticize vyuo vingne as if nyie ni ma bingwa wa ku deliver kumbe mbwembwe tupu!

Habari ya UDSM sijaisemea hapa. Ukubali ukweli na utakuweka huru. najua inawezekana wewe ni mmoja wa hao niliowasema, sikuwa na nia mbaya. Nina ndugu zangu kabisa wa tumbo moja wana degree hizo, unaona kabisa kuwa huyu hana tofauti na alivyokuwa. Ni kind of mentorship wanayopata huko vituoni mikoani. Ni kulipua tu. Naongea kitu nilicho na uhakika nacho. Mbona CUHAS for example, though is an unrelated field na za Mzumbe wako vizuri. Tatizo sio UDSM!
 
Basic degree and basic secondary educations, do whatever basic is basic!! We kwanin matokeo ya form four ya umuhim kushinda hata ya form six?? Jiulize ujue nin maana ya basic stages??

By Basic education, degree for our case, you make a foundation for someboby as a preparation for him/her for mastery of secondary, tertiary and post tertiary education! Without that the gap is visible, unless there is a special programme such as foundation courses to make one qualify for the same. Mzumbe hafanyi hivyo!
 
Samaritan nashukuru sana kwa kunielimisham sio kama wale wanaotukana. na ndio maana nimesema they have to revisit, re-think again about this programme. Nimeelewa nadhani wawe na vigezo kuangalia mtu academic records zake zikoje huko nyuma-Form 4 and form 6, au kuwe na OFC -foundation course to bring one to standards!

Nimekupata mkuu, na ni kweli hata hivyo vyuo wanaopokea watu wasio na degree ya kwanza sio wote wanapata direct admission, huwa wanaweza kukupa admission with certain conditions, kama ulivyoainisha hapo juu kwamba ufanye mafunzo ya aina flani au usome kozi watakayoona wenyewe itakusaidia ili uweze kupokelewa kwenye kiwango cha Masters.
 
...........Bishaneni mkimaliza kila mtu ukweli atabakia nao ndani ya nafsi yake. Kwa mtu anayesoma Mzumbe ukieleza hiki kitu hawezi kukuelewa hata kiduchu.

Naweza kuamini kuwa Mzumbe katika ngazi zote wapo hivyo hivyo sababu viongozi/Wanasiasa karibia wengi wanaoonekana vilaza na wenye Masters na Ma- PhD utasikia kapatia Mzumbe (mfano Nape). Hata huku makazini ukifuatilia products za Mzumbe muda mwingine unafikiria mara mbili mbili kuhusiana na uwezo wa mhusika kama kweli alipita pita skuli au anazingua.

Kwa upande mwingine pia lawama ziende kwa serikali kama ni kweli kuna ubabaishaji katika utoaji wa elimu katika vyuo vya Mzumbe, hao walitakiwa kugundua hiyo kitu mapema.

Yote juu ya yote, elimu sio mrundikano wa vyeti visivyoendana na utendaji wako kikazi bali jinsi unavyoitumia ile elimu uliyoipata kukabiliana na maisha na kusaidia jamii au nchi yako kuondokana na changamoto za maisha.

..........Ni mtazamo tu!!

Apa naona ni Mzumbe vs UDSM kwa mtiririko wa point zako apo lazima utakuwa ulipitia UDSM.
Kama msomi unasite mtu kama Nape ili ukishushie credit chuo cha Mzumbe its very unfair,infact mawaziri almost wote wa JK wamepitia UDSM siwezi taja majina maana ni wengi iyo haiwezi kuwa sababu ya kuitolea credit mlimani.
Chuo kimoja chaweza toa graduates hovyo na ingine ikawa nzuri.
Narudi kwa mtoa mada kama mtu ana advance dip na experience kazini sioni kama kuna shida ya kujoin masters.
Alafu toa ufafanuzi hao wanaosoma kama Ad dip ndo inasababisha iitwe maharage ya mbeya?
 
Chuo gani, taja mfano.

University of Liverpool

[h=1]Admissions requirements and applications[/h]What are the typical admission requirements?The admission requirements for the University of Liverpool vary depending on the programme you choose. They include:
Education level – usually a bachelors or masters degree, depending on the study for which you are applying; vocational and professional qualifications can also count.
Work experience – you may be expected to have a minimum amount of relevant working experience.

English proficiency – If English is not your native language, you will be asked to demonstrate a particular level of English proficiency.
To find out if you meet the admission requirements of the programme of your choice, please view the relevant Programme pages and complete the ‘Request Information' form on the right, and an Enrolment Advisor will be in touch.

Frequently Asked Questions About Online Admissions | The University of Liverpool
 
Ungekua unataka fair discussion usingekuja na conclusion yako kwamba masters ya mzumbe cjui ni maharage ya mbeya,ungefanya kuchokoza mada ili kuckia maoni ya wengne co unakuja na conclusion yako,tena kumbe we ni udsm ndo mana umeweka hio mada nyiemliosoma ud ndo mnajifanyaga mabingwa wa ku criticize vyuo vingne as if nyie ni ma bingwa wa ku deliver kumbe mbwembwe tupu!

Nasema nasikia wasomi, wadau wanasema hivyo katika discussion za ubora wa elimu tanzania, sijalitunga mimi neno hilo la maharage ya mbeya! Usinielewe vibaya na sina sababu ya kuwapa majina kama hayo. Nasikia wanasema hivyo. Sina sababu ya kutukana watu! lakini nakwambia ukienda kwenye academic forum ukasema nina Masters (executive) ya Mzumbe hutakubalika. Just try!
 
Nimekuelewa Sana, hivyo Ni vigezo vyako na wala si vigezo vya mamlaka husika - TCU

Kama umenielewa na bado unataja vigezo vyangu na TCU, mimi ndio sijakuelewa mkuu.
 
Mii naomba mnisaidie, hii niliwahi kuambiwa: wanasema marehemu Sylersaid Sid Mziray (rip) alikuwa na Masters ya yale mambo yake ya Sports kutoka Europe (from 1 of Scandnavian country), cha kufurahisha ni kwamba hakuwahi kuwa na degree!
Anaejua zaidi naomba aweke kumbukumbu sawa!
 
Note: You "MAY" and not "SHALL/MUST"

Noted mkuu: Nimekutajia mfano tu wa chuo kimoja, hata hivyo sipo kubishana ukizingatia mimi mwenyewe elimu ilishanishinda kitambo!

Kwa ujumla elimu yetu haijakaa vizuri kuandaa wataalam. Umahiri au ubora wa mhitimu unabaki kuwa ni jitihada au juhudi binafsi za mhitimu. Watu wangapi wanafanyiwa projects, na research wanapomalizia masomo yao huku wakidai wamefanya wao hizo tafiti? Hilo sio tatizo la Mzumbe peke yake bali ni vyuo vingi tu, no academic integrity.......

Katika hali kama hiyo usitegemee kupata watu competent watakaoweza kujenga hoja na kufanya tafiti na kuwa na uwezo wa kuangalia mambo kwa mtazamo tofautitofauti ili kupata njia bora za kuleta suluhu au majibu ya matatizo yanayoikabili jamii.

Shukrani na ubarikiwe!
 
...........Bishaneni mkimaliza kila mtu ukweli atabakia nao ndani ya nafsi yake. Kwa mtu anayesoma Mzumbe ukieleza hiki kitu hawezi kukuelewa hata kiduchu.

Naweza kuamini kuwa Mzumbe katika ngazi zote wapo hivyo hivyo sababu viongozi/Wanasiasa karibia wengi wanaoonekana vilaza na wenye Masters na Ma- PhD utasikia kapatia Mzumbe (mfano Nape). Hata huku makazini ukifuatilia products za Mzumbe muda mwingine unafikiria mara mbili mbili kuhusiana na uwezo wa mhusika kama kweli alipita pita skuli au anazingua.

Kwa upande mwingine pia lawama ziende kwa serikali kama ni kweli kuna ubabaishaji katika utoaji wa elimu katika vyuo vya Mzumbe, hao walitakiwa kugundua hiyo kitu mapema.

Yote juu ya yote, elimu sio mrundikano wa vyeti visivyoendana na utendaji wako kikazi bali jinsi unavyoitumia ile elimu uliyoipata kukabiliana na maisha na kusaidia jamii au nchi yako kuondokana na changamoto za maisha.

..........Ni mtazamo tu!!

Wee acha uongo wa waziwazi, wanasiasa asilimia kubwa wamesoma UDSM, hili dafu linalotuharibia nchi ni mfano mmoja na cha kustaajabisha eti kasoma uchumi.
 
Vyuo vya Uingereza kwa ujumla wake wanatoa nafasi ya Masters ama PHD kama alivyosema mmoja hapo juu. Kuna vigezo vingi wanatumia,kimojawapo unapoomba kusoma Masters siyo gurantee upate masters na nilishuudia watu niliosoma nao,Waingereza wenyewe. Kama performance yako isipofikia average ya 50 and above hupewi masters,unapewa diploma (PGD). Kama average inakuwa below 40,unapewa Postgraduate certificate. Kwa hiyo kama hapa kwetu wangetumia system ya aina hii siyo mbaya kwa kuwa unamfanya mtu atumie muda mfupi kama ana uwezo. kwa level ya PhD,ukimaliza degree ya kwanza unaruhusiwa kujiunga kama una distinction (first class hapa kwetu) lakini kuna baadhi ya masomo utatakiwa kuhudhuria kwenye darasa la masters ambayo hukusoma awali. Nimetoa mfano huu kwasababu nilisoma huko,na rafiki yangu kutoka Kenya alikuwa anasoma PhD na alikuwa anatumia utaratibu huo.

Ufafanuzi mzuri. Kuna mfanyakazi mwenzetu alikwenda UK kusoma PhD akakosa viwango wanavyovitaka, wakampa Masters in Philosophy! hakurudi bure. Sasa hapa watu wanawapa masters za mchezo tu!
 
Umeandika vizuri sana. ndio maana nimesema Mzumbe university administration has to re-think on how to improve this programme. Wanaweza wakawa na foundation course kwa watu ambao wana diploma, advanced diploma kusudi waweze kuwaleta to standards capable of pursuing Masters studies nakutoa products nzuri. Ninachosema ni kuwa unawaona humu maofisini wana mapungufu makubwa halafu mtu anakwambia nina Masters degree in Finance, etc. Siwatukani, ninasema observation yangu. Nina mfano mtu ana-copy thesis ya mtu toka mitandaoni anabadilisha is na was, basi! Na unaisoma unaona iko below standards in every aspect. Mzumbe ina sifa mbaya nakwambia!


Ndugu naona unachokielezea nadhani huna uelewa nacho vizuri elewa hivi advance diploma ni sawa na degree hata kwenye ajira mnalipwa sawa,kilichokuwa kinafanyika kabla ya kuwa na vyuo vingi nchini ukitaka kusoma master UD ni lazima uwe na first class ya advance diploma kama huna sharti usome post graduate diploma,Pia kumbuka baadhi ya vyuo vilivyokuwa vikitoa advance diploma ni Ifm,mzumbe,DIT,nit nk.Mwaka 2008 hivyo vyuo tajwa vilianza kutoa degree ila course contents hazina tofauti na advance diploma,pia Nina mfano hai wa Rafiki yangu aliyesoma Leeds university masters akiwa na advance diploma.
 
Elimu ya Tanzania nzima ni mbovu; ime-base kwenye masuala social science, arts etc.

Mbona hatujasikia mwanafunzi wa mechanic engineering Udsm wamefanya kitu extra-ordinary..???

Most of the Global companies za wenzetu zimeanzishwa na either Uni-drop outs or Uni-graduates kwenye vyuo kama Havard na MIT.

Elimu ya science siku zote ndo inaleta maendeleo na ajira kwa elimu ya Arts na social science.

Tukubali elimu yetu ni Mbovu hatujafika mahali pa kujisifu..!!
 
Kuna tofauti gani kati ya Bcom Finance Udsm na Masters of Finance Udsm..??

Waliosoma Udsm mtujuze maana nimekutana na Friend wangu hapa anasema hajaona tofauti.!!
 
Ndugu naona unachokielezea nadhani huna uelewa nacho vizuri elewa hivi advance diploma ni sawa na degree hata kwenye ajira mnalipwa sawa,kilichokuwa kinafanyika kabla ya kuwa na vyuo vingi nchini ukitaka kusoma master UD ni lazima uwe na first class ya advance diploma kama huna sharti usome post graduate diploma,Pia kumbuka baadhi ya vyuo vilivyokuwa vikitoa advance diploma ni Ifm,mzumbe,DIT,nit nk.Mwaka 2008 hivyo vyuo tajwa vilianza kutoa degree ila course contents hazina tofauti na advance diploma,pia Nina mfano hai wa Rafiki yangu aliyesoma Leeds university masters akiwa na advance diploma.

International standards zinasemaje, acha isolated violations/incidents! Ukae maofisini hasa za siasa ambako academic excellency is not that much taken into account, lakini ukienda kwenye forum za academicians ukasema una Masters kutoka advanced diploma, wala hutapokelewa kama mwenzao, hasa sehemu zenye academic arrogance! Kama contents za Advanced diploma na Degree ziko sawa, why two different names? Haya ya "equivalent" yanakuja huku kunakochakachuliwa elimu.Ni sawa kama AMO wanavyojiita madaktari kuwa ni equivalent na MD, sio kweli!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom