Blvck Inc
Member
- May 16, 2019
- 77
- 118
DAWA UNAYO WEWE MWENYEWE NA HAKUNA DAWA NYINGINE ZAIDI YA KUJIZUWIA MWENYEWE TUMIA HAKILI YAKO YOTE.HIKI KTU KILINITESA SANA ZAID YA MIAKA MITATU LAKN SKU1 NILIACHA KWA KUAMUA UTASOMA MAJILIDA YOTE HAYATA KUPA DAWA ZAIDI YA HII..PUNYETO INANGUVU ZA SHETANI SO KUIACHA NI KUAMUA KABSA KAMA UNAOKOKA VILE.NA KTU USIFANYE NI KUWEKA PCHA ZA PONO KWENYE CM AU TV ...UKFANYA HV HAUTAWEZA KUIABDU NYETO NI HATARI MUNGU AKUSIMAMIE KWENYE MAAMZI YAKO.Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.