bigmen
Senior Member
- Jul 3, 2020
- 145
- 310
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda ule ule usiku nikiwa peke yangu nikafanya tena na ndo ikawa mchezo wangu.
Baadaye nikiwa shule boading, pale Moshitech Sec niliwahi kukutana na jarida la FEMA, lilielezea kuwa punyeto/Masturbation kuwa haia madhara yoyote, baada ya kusoma hilo jarida basi niliongeza kasi ya kufanya.
Sasa imefikia mahali nisipo fanya hiyo kitu siwezi kulala, pia nishakuwa kwenye mahusiano sana, Ila ninapokuwa peke yangu huwa nafungua macho navuta picha ya wanawake nilio chapa huku nikifanya Masturbation, hata nikiwa kwenye mizagamuano nakuwa bao la pili nalitafuta kwa kuvuta kumbukumbu ya picha za x na pisi Kali zingine ili nieze pata bao.
Yaani hapa nilipofikia kwisha habari yangu, napambana sana kuacha Ila kila njia nayotafuta kuacha nafeli, wakuu JF nahitaji msaada wenu naachaje Masturbation.