Nina wivu wa kibwege sana

Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
 
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
0231115_49.jpg
 
Back
Top Bottom