Masterbration inanitesa sana

Toka 2012 niko chamani na hakuna madhara. inanisaidia sana kutom cheat my wife hasa nikizingatia mikataba yetu. Nitaacha nikitulia masikani
 
Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
Wekeza sana kwenye kupata elimu juu ya maisha kwa kusoma sana vitabu. Soon utagundua kuwa unajiendekeza tu kufanya hivyo. Hakuna kisichowezekana hapa duniani kwa nguvu tuliyonayo ya kujitawala. Soma sana vitabu, utakuja kuacha hautaamini
 
Huo umri wako yaani ndio muda sisi wengine tupo kwenye kupiga Selfie (Masterbation) yaani wewe bado bikra kwenye punyeto
 
chukua wembe mpyaa tena wa docco alafu kata sehemu yeyote ya uume wako upatwe na kidonda kikubwa naamini utaweza kaa miezi kazaa bila kupiga nyeto utaogopa tonosa kidonda mwisho wa siku utajikuta unaacha kabisaaa
 
Mzee Nyeto itakufanya uwe arosto kama mvuta ganja. Kitu Cha kwanza iondoe akilini maana tukisema utafute dem hata ukimpata bado utapiga tu.

Kwa mfano wadada wa siku hizi atakupa wastani wa mara mbili kwa mwezi wakati ww puli unapiga mara tatu kila siku kwahio bado haiwezi kua solution. Iondoe tu akilini na avoid kuangalia porn utakua umeshinda vita strategically
 
Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
Ubaharia sio mzuri.....wacha kabisa maana ukinogewa utashindwa ona faida ya kuwa na demu
 
Badae ipi?
Effect za nyeto sio za muda mfupi madhara yake yanakuwa baadae sana na ndo maana baadhi ya watu hupiga bila kuona shida unaweza fanya nyeto then ukaenda fanya sex ukajiona uko perfect sana ila nakuambia ukwel utaujua baadae
 
Badae ipi?
Kama ni member wait and see kila mtu anabaadae yake kulingana na the way alivyo iendekeza the more u practise the more harmfull results unapata so unaweza jiweka kwenye kundi gan? Either Mild,, moderate,, or severe?
 
Niliwah kutana na dogo mmoja akanambia alisikia kuwa ukifanya nyeto unakuwa na uume mkubwa yan nikama mtu anaefanya mazoez anakuwa more muscular kuliko yule asiefanya dahh misuli ya uume iko kinyume sana haiwi kama hivyo nadhan kama ingekuwa hivyo wengine wangekuwa na miguu ya tembo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom