Masterbration inanitesa sana

Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
DAWA UNAYO WEWE MWENYEWE NA HAKUNA DAWA NYINGINE ZAIDI YA KUJIZUWIA MWENYEWE TUMIA HAKILI YAKO YOTE.HIKI KTU KILINITESA SANA ZAID YA MIAKA MITATU LAKN SKU1 NILIACHA KWA KUAMUA UTASOMA MAJILIDA YOTE HAYATA KUPA DAWA ZAIDI YA HII..PUNYETO INANGUVU ZA SHETANI SO KUIACHA NI KUAMUA KABSA KAMA UNAOKOKA VILE.NA KTU USIFANYE NI KUWEKA PCHA ZA PONO KWENYE CM AU TV ...UKFANYA HV HAUTAWEZA KUIABDU NYETO NI HATARI MUNGU AKUSIMAMIE KWENYE MAAMZI YAKO.
 
Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
Inakutesa kwasababuhuna hofu ya Mungu na hauishi maisha ya kiMungu. Kwahiyo kama unasali/unaswali na bado unamusterbate jua kabisa hiyo dini yako haina msaada kwako kinachotakiwa u-upgrade imani ya dini yako kutoka hapo ulipo kwenda imani ya juu zaidi.

Ukijidanganya utaacha kwa akili zako umeliwa. Mara paaap umeoa, ndani ya ndoa mke anakulaumu humridhishi na badae anakuacha na anaanza kukutangaza kwa watu halaafu unapta taarifa unaona hakuna haja ya kuishi tena halafu unajirestisha inpeace kisa mke na watu wanabaki wanakushangaa kwanini hukuchukua maamuzi mapema ya kupambana na hali hiyo kwa kuacha.
 
DAWA UNAYO WEWE MWENYEWE NA HAKUNA DAWA NYINGINE ZAIDI YA KUJIZUWIA MWENYEWE TUMIA HAKILI YAKO YOTE.HIKI KTU KILINITESA SANA ZAID YA MIAKA MITATU LAKN SKU1 NILIACHA KWA KUAMUA UTASOMA MAJILIDA YOTE HAYATA KUPA DAWA ZAIDI YA HII..PUNYETO INANGUVU ZA SHETANI SO KUIACHA NI KUAMUA KABSA KAMA UNAOKOKA VILE.NA KTU USIFANYE NI KUWEKA PCHA ZA PONO KWENYE CM AU TV ...UKFANYA HV HAUTAWEZA KUIABDU NYETO NI HATARI MUNGU AKUSIMAMIE KWENYE MAAMZI YAKO.
nashukuru kaka
 
[QUOTE="Khames98, post: 31616054, member: 552706"
Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
[/QUOTE] kama huna wa wakukazna nae sahau kuacha
 
DAWA UNAYO WEWE MWENYEWE NA HAKUNA DAWA NYINGINE ZAIDI YA KUJIZUWIA MWENYEWE TUMIA HAKILI YAKO YOTE.HIKI KTU KILINITESA SANA ZAID YA MIAKA MITATU LAKN SKU1 NILIACHA KWA KUAMUA UTASOMA MAJILIDA YOTE HAYATA KUPA DAWA ZAIDI YA HII..PUNYETO INANGUVU ZA SHETANI SO KUIACHA NI KUAMUA KABSA KAMA UNAOKOKA VILE.NA KTU USIFANYE NI KUWEKA PCHA ZA PONO KWENYE CM AU TV ...UKFANYA HV HAUTAWEZA KUIABDU NYETO NI HATARI MUNGU AKUSIMAMIE KWENYE MAAMZI YAKO.
vyote hivyo kama hana demu ni swala la mapumziko atairudia tu
 
Mimi nime piga nyeto miaka 15 lakini nimeweza kuacha kabisa, kuacha huu mchezo nikazi ndogo sana kama uta kuwa na nia ya dhati, kwanza unapaswa kuweka akilini kuwa huu mchezo si mzuri kwani unakuondolea haliya kutojiamini, pia inakufanya uwe na hofu kila mara hasa ukikutana na mwanamke, najuwa wewe ni domo zege hujui kutongoza ndio maana unapiga punyeto, anza kujifunza kutingoza usiogope tokea madem waambie tuu unavyoweza uzuri wanawake wasikuizi ni wepesi kama karatasi tuu, ukiomba namba ya sim tayari ashajuwa kuwa una taka papuchi, mwenyewe nilikuwa muoga kutongoza sikumoja nikajiuliza nitaendelea hiv mpaka lini? Nikahamua kufanya maa muzi nikawa nawatokea warembo hivyo hivyo katika wanawake 10 hukosi hapo hata 1 sasa iv nime kuwa mtaalam nikitaka katoto kazuri wala sipati shida navuta uzi tuu kinakuja naunganisha makojoleo
FB_IMG_1549287885400.jpeg
 
Mwaka wa pili tu unalalamika umu kuna watu walitoa ushuhuda wanaungurumisha bila ata mafuta kavu kavu na wako fresh tuu mi huu mwaka wa 6 naugurumisha safi tu na shoo nakimbiza mpaka timu pinzan inaomba Pooo yale ni mazoezi ya dushe achaga Kusikiliza polojo za kukiponda chama chetu pendwa
Bila shaka mkuu utakuwa Katibu mwenezi wa CHAPUTA
 
Acha kukaaa mwenyewe Mkuu ! Ila haina tatizo kiafya zaidi ya kuufanya uume uwe legelege
Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
 
Mimi nime piga nyeto miaka 15 lakini nimeweza kuacha kabisa, kuacha huu mchezo nikazi ndogo sana kama uta kuwa na nia ya dhati, kwanza unapaswa kuweka akilini kuwa huu mchezo si mzuri kwani unakuondolea haliya kutojiamini, pia inakufanya uwe na hofu kila mara hasa ukikutana na mwanamke, najuwa wewe ni domo zege hujui kutongoza ndio maana unapiga punyeto, anza kujifunza kutingoza usiogope tokea madem waambie tuu unavyoweza uzuri wanawake wasikuizi ni wepesi kama karatasi tuu, ukiomba namba ya sim tayari ashajuwa kuwa una taka papuchi, mwenyewe nilikuwa muoga kutongoza sikumoja nikajiuliza nitaendelea hiv mpaka lini? Nikahamua kufanya maa muzi nikawa nawatokea warembo hivyo hivyo katika wanawake 10 hukosi hapo hata 1 sasa iv nime kuwa mtaalam nikitaka katoto kazuri wala sipati shida navuta uzi tuu kinakuja naunganisha makojoleo View attachment 1111364
Nimemsevu kwa matumizi binafsi
 
Naombeni msaada jamani mimi nina miaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekuwa ni muumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wa pili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.

Acha kutumia smartphone kabs mwaka mmoja tu safi technologia ndo mchawi wako basi mengine bwebwe tu unaandika kwenye sm yako upo kwenye magroup ya sex kibao tena hadi leo upo kwenye group la watsapp unasubiri video za gwajiboy kisa umeambiwa hipo inakuja badilika weka bond smartphone hela fungua hata banda la chips mwaka tu utarudi na habari mpya
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom