Masterbration inanitesa sana

Masterbration inanitesa sana

Mwaka wa pili unaona shida!
Me Nina mwaka wa 16 na hainitesi
Relax mkuu
 
Effect za nyeto sio za muda mfupi madhara yake yanakuwa baadae sana na ndo maana baadhi ya watu hupiga bila kuona shida unaweza fanya nyeto then ukaenda fanya sex ukajiona uko perfect sana ila nakuambia ukwel utaujua baadae
Inaanza na mindset yako sex is all in the mind..mwache anyetukee
 
Wewe Chizi. Baada yamsaidi kutatua tatizo wewe unampeleka kuharibikiwa zaidi. Haya akisha kumpata wakufanya nae zinaa ikikumbana na Gonjwaa hatari utamshauri nini tena utamshauri.

Aishi kwa matumaini
 
Kwa kua huwa una masterbrate badala ya ku masterbate hakika utakuja kupata madhara makubwa sana
 
Acha kutumia smartphone kabs mwaka mmoja tu safi technologia ndo mchawi wako basi mengine bwebwe tu unaandika kwenye sm yako upo kwenye magroup ya sex kibao tena hadi leo upo kwenye group la watsapp unasubiri video za gwajiboy kisa umeambiwa hipo inakuja badilika weka bond smartphone hela fungua hata banda la chips mwaka tu utarudi na habari mpya
Nilishauza smartphone miez mitatu sikufanya iyo kitu naliishi vizuri tu ila nilivyonunua tu tatzo likarud kwa kasi.
 
Vijana wengi wanapitia hatua hii. Mimi kilichoniokoa ni kuwa busy na shughuli - masomo na kazi. Get something to keep you extra busy.
niliota ndoto nafanya mapenzi ucku sasa nkijachafua hamu nikiwa nayo bado ndo nikajichua mpaka leo bro
 
Mambo mengine bwana,sasa wewe unataka uache ili iwe nini..!? Hata uzoefu bado haujaupata sawa sawa.Atleast baada ya miaka kumi may be ndio unanze kufikiria kuacha.
 
Back
Top Bottom