Massage. . . .

Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.

....Kabisa Lizzy halafu pembeni kuna muziki wa sauti ya chini uliotulia 🙂🙂🙂

 
Last edited by a moderator:
....Kabisa Lizzy halafu pembeni kuna muziki wa sauti ya chini uliotulia 🙂🙂🙂

Kabisa BAK. .
Alafu kama kawaida yako, sijui nikupe zawadi gani. . !!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Sio lazma upewe baba manake si ajabu na mkeo nae anatembeza tangazo hilo hilo. Ushaambiwa usiwe mbinafsi, anza kutoa hii huduma afu urudi utupe feedback. Tena ukiona siku unayeyushwa na kuambiwa naumwa kichwa, ukampa massage hii, hata sikuambii kitachotokea babu wewe!
Aiseee,...
Umeanza kutoa hii huduma au ?
home ni ngumu sana kuipata.
 
Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.

Chapati iliyopikwa hom, na iliyotengenezwa hotelini, zote ni Chapati tu!
Ngano ni ileile.
 
...na mishumaa yenye aroma ya Lavender au Jasmine flower...



...awakening 'kundalini'....heheh...


Hehehehe. . .mwenzio kasema hua anasinzia. I think it depends on the mood, mazingira na shughuli yenyewe.

Alafu Mbu unisaidie hapo kati. . .yani nimepotea kabisa!!
 
Reactions: Mbu

Tatizo hawa wanaweza wakadhani wao tu ndio wanaostahili. . . alafu wakiibiwa na wajuvi wanalalamika!!
Uwatahadharishw hawa wababa, kuna kuishia kubakwa pia, ohoo! Weka disclaimer mapemaa!

Hahahaa. . . sitaki awe na wasiwasi maana hata haitanoga. Maadam mwenyewe anawafahamu/amewazoea wahusika acha ajiachie tu.
 
...na mishumaa yenye aroma ya Lavender au Jasmine flower...



.....au taa nyekundu zenye mwanga adimu ambazo zinaongeza mashamsham chumbani 🙂 🙂
 
mkuraba mkuraba nakumbuka massage ya machicha ya nazi yasiyokamuliwa nikiwa nimelazwa kwenye mkeka mh sinto sahau huyu binti aliyekaa sabatatu yaani ilikuwa raha mustarehe ilibidi niongeze siku za kukaa tanga mjini kutoka wiki moja hadi mbili thanks binti Ali maana sijawaahi fanyiwa tena hii kitu tangu siku ile na sintosahau raha yake nakukumbuka daima ijapokuwa umetangulia mbele ya haki
 

Kuna siku nitaombe ruhusa nikutembelee BJ:A S-coffee:
 
Hahahaha we kungwi kweli nomaaaaa! Je nikuleteee kiburu au kitawa? Ngararimu nimemaliza jana!
 
Ila kwa nyumbani yataka muwe na muda wa hivyo vitu otherwise hakunaga...

Mkuu hivi vitu sio vya kufanya kilasiku ila pia ni lazima mtengee mda kwaajili ya furaha yenu ya ukweli.
Hivyo inawezekana sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…