Massage. . . .

Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.

....Kabisa Lizzy halafu pembeni kuna muziki wa sauti ya chini uliotulia :):):)

Last edited by a moderator:
....Kabisa Lizzy halafu pembeni kuna muziki wa sauti ya chini uliotulia :):):)

Kabisa BAK. .
Alafu kama kawaida yako, sijui nikupe zawadi gani. . !!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Sio lazma upewe baba manake si ajabu na mkeo nae anatembeza tangazo hilo hilo. Ushaambiwa usiwe mbinafsi, anza kutoa hii huduma afu urudi utupe feedback. Tena ukiona siku unayeyushwa na kuambiwa naumwa kichwa, ukampa massage hii, hata sikuambii kitachotokea babu wewe!
Aiseee,...
Umeanza kutoa hii huduma au ?
home ni ngumu sana kuipata.
 
Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.

Chapati iliyopikwa hom, na iliyotengenezwa hotelini, zote ni Chapati tu!
Ngano ni ileile.
 
...na mishumaa yenye aroma ya Lavender au Jasmine flower...

...awakening 'kundalini'....heheh...

Hehehehe. . .mwenzio kasema hua anasinzia. I think it depends on the mood, mazingira na shughuli yenyewe.

Alafu Mbu unisaidie hapo kati. . .yani nimepotea kabisa!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sio lazma upewe baba manake si ajabu na mkeo nae anatembeza tangazo hilo hilo. Ushaambiwa usiwe mbinafsi, anza kutoa hii huduma afu urudi utupe feedback. Tena ukiona siku unayeyushwa na kuambiwa naumwa kichwa, ukampa massage hii, hata sikuambii kitachotokea babu wewe!

Tatizo hawa wanaweza wakadhani wao tu ndio wanaostahili. . . alafu wakiibiwa na wajuvi wanalalamika!!
Uwatahadharishw hawa wababa, kuna kuishia kubakwa pia, ohoo! Weka disclaimer mapemaa!

Hahahaa. . . sitaki awe na wasiwasi maana hata haitanoga. Maadam mwenyewe anawafahamu/amewazoea wahusika acha ajiachie tu.
 
mkuraba mkuraba nakumbuka massage ya machicha ya nazi yasiyokamuliwa nikiwa nimelazwa kwenye mkeka mh sinto sahau huyu binti aliyekaa sabatatu yaani ilikuwa raha mustarehe ilibidi niongeze siku za kukaa tanga mjini kutoka wiki moja hadi mbili thanks binti Ali maana sijawaahi fanyiwa tena hii kitu tangu siku ile na sintosahau raha yake nakukumbuka daima ijapokuwa umetangulia mbele ya haki
 
Eeh Lizzy inaelekea unamhudumia shemeji ipasavyo, ashindwe yeye..

Mimi kila wiki naenda kufanya massage ya kulipia baada ya majukumu ya wiki nzima. Yani mwili na akili hurelax, sipendi mtu akiongea wakati ananimassage bali mziki tulivu kwa sauti ya chini. Pia nakuwa mtupu ila navaa special pants, taulo linafunika makalio na sifanyagi ile ya happy ending..ni massage ya kawaida. Huwa nahisi tofauti nikimaliza massage.

Nimejifunza kumfanyia mtu massage, ni rahisi ukiifanya ipasavyo na kukanda viungo vyote inavyotakiwa. kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo.

Kuna siku nitaombe ruhusa nikutembelee BJ:A S-coffee:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom