Mlalahoi kuna biashara inaitwa ukahaba kila mtu amebariki hilo hata viongozi wa dini serikali wanajua wao ndio wateja wakubwa wa hawa makahaba kila sehemu wapo tumezoea kuwaona wengine wako na ndoa zao ila ndoa zinatunzwa na kazi hii ya ukahaba kwanini tusiuhalalishe basi watalipa kodi na mambo mengine watatambulika watakuwa na saccoss zao na vyama vingine vingi
Sasa mbona jina la Parlour umelibana??! Tutajuaje pa kwenda? lol!
panaitwa 'Magic Hands',namanga. haya nenda lol!
Aaah kwani ukienda pale unabakwa.... si baada ya kukandakandwa ukilegezewa macho na kutambulishwa hiyo bidhaa nyingine ndio unashawishika kununua? Ukiwa mgumu, biashara ya spa ikisha unarudi home na nguvu mpya.
ACHA UONGO, MIMI nimefika hapo kwa massage karibu mara tatu hata siku moja sikuwa kuambiwa extra. Wewe utakuwa uliomba hiyo extra baada ya kunogewa labda na massage(ulikaribia kupasua nguo yako ya ndani) binti nae kwa shida zake alizonazo akukujibu sawa. Bora uwe kweli kuliko kupaka matope biashara ya mtu kwamba hali niyo.
daaah fitna za mjini hapa hizi ,sasa tutamasajika wapi jamani
Mkuu jukwaa la siasa hili.