macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,237
- 56,886
My take: Hivi inawezekanaje ukaishi na mke wako na usifaham anapofanyiakazi, au akawa anakueleza nafanyakazi mahali flani na haujawahi fika?
Nimewajibika kwa kufanya kazi ngumu wiki nzima... halafu inapofika w-end nataka mtu (mrembo) wa kunisinga na kunipunguzia hamu zangu... halafu eti polisi watuvamie? Hii haingii akilini hata kidogo. Hayo ni makubaliano ya watu wawili na hakuna sheria yeyote imevunja.