wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,470
- 2,095
Tuombe uzima tu.Heheheheee me too...
Tuombe uzima tu.Heheheheee me too...
Nisingekuacha aisee bora nifukuzwe kazi
Ila yataka moyoHahahahaa weewee usiache hisia zikutawale hasa kazini.... hata kama umejiajiri mwenyewe au kampuni ni yako unaweza kukosa wateja au kufutwa kazi halafu ukaishi kwa tabu...
Inatakiwa ulikubana na mazingira kama hayo unaomba business card tuu ya mteja wako au unayemsinga, kisha baada ya muda ya kazi ndo unasema humuachi....hapo hutofukuzwa kazi wala kupoteza wateja.
Pole kwa majukumu unayokumbana nayo.


Haaaaahh haaaahh... ila hapana kufanyiwa hayo mambo na Men mwenzio sio poa labda a Lady.
Aya ila ukumbuke your promise to me, nisije nikasuri sana kama nasubiri treni ya kigoma ingawa wahenga wanasema subira yavuta kheri. 🙂 🙂 🙂Amina, siku hazigandi.... iko siku tuu...
Aya ila ukumbuke your promise to me, nisije nikasuri sana kama nasubiri treni ya kigoma ingawa wahenga wanasema subira yavuta kheri. 🙂 🙂 🙂
Hii sio stori bali ni masimulizi ya uhalisia ulionitokea jana jioni. Sasa unataka chenchi ya nini, mie situngagi nasema kilichotokea. Kama sijakutana na mchi huwa nasema wazi tuu na hata nikikutana na mchi na ukanitwanga wala sifichagi kitu mie.....
Kasie yule yule wa kutabasamu muda wote.
Safii, uwe na siku njema.
Nipo ulipo hivyo ni mitaa yangu ya kuvinjari.Hhahahahahaaa youu yuuuuuu......
Uwe unachuna ukistukia ishu looh hehehehee ila, umejuaje??!!!!😀
Ngoja nijikalie mkao wa kula nijilie mbivu zangu mie.Hahahahahaaa sina shaka nawe, maadam unajua misemo ya wahenga basi ujue mambo bam bam.
Kaa mkao wa kula.... ila si unajua mvumilivu hula mbivu? Kasie's promise is her rules of life, must be fulfilled.
Aisee! Una kumbukumbu sana ujue, sasa huu wasaa ni lini unapatikana nikusinge Kasie nikaufurahie uumbaji wa Mungu?Hahahahahahaaa Fakalava.. ... nakukumbuka ujue..... kama sijakosea kuna mahali ulishasemaga tangu siku nyingi tuu unasubiri......
Kama hujakumbuka basi ntakuwa nimekosea....
Kwani, unajua kusinga? Ili siku nikipata wasaa nikukaribishe kwangu unisinge.... as you wish....