wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,470
- 2,095
🙂 🙂 🙂 bora umeweka tahadhali mapema mkuu.Nimeisoma hii thread kwa kuweka vituo vingi huku nimekunja nne ili kuepuka aibu kwenye basi nililopanda
🙂 🙂 🙂 bora umeweka tahadhali mapema mkuu.Nimeisoma hii thread kwa kuweka vituo vingi huku nimekunja nne ili kuepuka aibu kwenye basi nililopanda
Hhahahahahaaa youu yuuuuuu......
Uwe unachuna ukistukia ishu looh hehehehee ila, umejuaje??!!!!😀
Nimeisoma hii thread kwa kuweka vituo vingi huku nimekunja nne ili kuepuka aibu kwenye basi nililopanda
Nimetamani kusingwa! naanzia wapi?
Kweli jamaa wanajitambua na kazi yao ndio maana wakakuhudimia vizuriHhahahahahaaaa jamani, npole kwa kuamsha maruhani, hehehehee yaani huwezi hata kuamini yaani wafanyakazi wa hiyo sehemu ya kusinga, wako waaminifu na makini kwenye kazi tuu. Hakuna kilichotokea kabisa labda kama baada ya kunisinga aliingia chooni kulia kwa maumivu hehehee
Pia simtetei sana ila watakuwa washazoea kushika mamshededemengi mengi hivo kuona kawaida tuu.
Yaani nimeumia vibaya!!!!Kama unataka iwe hivyo sawa..... au kama ukisikia Kasie kaliwa nawe unapata furaha basi weye furahia tuu hakuna namna ingine hehehe.
Yaani nilikuwa nasoma story nikitegemea kukutana na tukio muhimu, mpaka story inaisha bila bila.
Hapa nitadai chenji madam.
Kiongozi wangu Daby sijamwona kabisa hapa
Mkeo au Demu wako akikuambia anaenda huko basi unatakiwa uwe na ujasiri wa ' kutukuka ' wa kujikaza kwani kwa 99.999% lazima tu ' atabetuliwa / atabanduliwa ' na zile Njemba.