Shatrughan Singh
Senior Member
- Jan 31, 2017
- 113
- 85
Ulisalimika kweli? Naamini kuna scene umeiruka hujatusimulia
Kasie, nitafute naweza kukufanyia hiyo huduma.....!!!!🙂
Karibu Kasie.....Kabangaaaaa, yaani weeweeee...... hahahahahaaa kwa maneno yako haya... walaahi nayaprinti na kutembea nayo kama ushahidi kila niendapo huku nakutafuta ulipo. Na popote ntakapokukuta basi ahadi yako itakuwa deni kwangu na kulipa ndo itakuwa suluhisho, hakutakuwa na namna nyingine.
Nimefurahije kupata hii ahadi adimu....🙂🙂🙂 maana ukimuona kabanga kapita mahali, utasikia.... aiseeeh, mmmhh, sawa... na mengineyo yafananayo na hayo 😛😛😛😛
See you soon kabanga 😉
Aisee! Una kumbukumbu sana ujue, sasa huu wasaa ni lini unapatikana nikusinge Kasie nikaufurahie uumbaji wa Mungu?
Already prepared and all equipments are here..... nasubiria hiyo siku, hakika itakuwa ni siku ya kukumbukwa kwenye historia ya maisha yangu..... Kasie kuniamini na kuniruhusu niusinge mwili wake.Hahhahahahahahahaaaa soon and very soon, you are going to kuufurahia uumbaji wa Mungu...... just get prepared with all the needed equipments 🙂

Me am good and ready nakusubiria ww tu.Usijali wee jiandae vizuri tuu....
Mwenzio nipo kwa mama yetu aliyesota miaka 15 ndani ila juzi juzi nilikuja kwa annual check up hapo kwako.Haya poa poa jirani, basi tuwe tunachunguliana na kusabahiana hehee.
Kasie jamani,kijana ana sauti nzito,mikono migumu,kasieeeeewHahaaaaaaaaaahaaa alafu wengine wanalalamika hela hakuna
Hivi chuo gani kinatoa hii kozi? Maana nahisi itanisaidia kula tunda kimathiharaaaaaaMkeo au Demu wako akikuambia anaenda huko basi unatakiwa uwe na ujasiri wa ' kutukuka ' wa kujikaza kwani kwa 99.999% lazima tu ' atabetuliwa / atabanduliwa ' na zile Njemba.

Fafanua mkuuIzo sehemu kama unapesa ya mawazo usiende kabisa sana sana usiku