Aya mama ucjali nlikua nakutania tuWafikiri nimeficha hata kitu kimoja..... waalaaah nimesema yotee kama yalivotokea. Mbona huwa ikitokea nikachubwika huwa nasema.... japo sio vizuri kusema siwadolishii au kuwatia hamu laah, najikuta tuu nasimulia matukio ...
Hii habari ya kusingwa achana kabisaaaa....niliwahi kubambwa sehemu nikaingia Massage Parlour
Nilikuja kustuka akili zinarudi nipo kwenye gari,naangalia mfukoni sina hata shilingi mia mfukoni
Kumbe wakati ule nasingwa nilikuwa naombwa hela naelekeza tu mtu akatoe kwenye suruali...Achana kabisa na mambo ya "Happy Ending"
Acha kumuamsha huyo babu, ataniletea uchovu wakai mie nimeupunguza tayari kule kwenye chumba cha kusinga...Dahhhhh.....hivi Mzee Asprin kijana hakuhitimu ile course ya kusinga???
Anamsinga mkenya tuu while kwa Kasie anaachia wengine.
Izo sehemu kama unapesa ya mawazo usiende kabisa sana sana usiku
Hii habari ya kusingwa achana kabisaaaa....niliwahi kubambwa sehemu nikaingia Massage Parlour
Nilikuja kustuka akili zinarudi nipo kwenye gari,naangalia mfukoni sina hata shilingi mia mfukoni
Kumbe wakati ule nasingwa nilikuwa naombwa hela naelekeza tu mtu akatoe kwenye suruali...Achana kabisa na mambo ya "Happy Ending"
Nilifaidi sana,yaani nilitoka mwepesiiii mpaka nikawa najiona kama napepea na upepoHhahahahhaaa poleee,
Basi hiyo massage parlour uliyoingia haikuwa na maadili mazuri hata kama wana happy ending huwa wanakwambia gharama yake kabla ya kuanza ili ujue mfuko wako unahimili au laah.
Pole mwaya, ila mwisho wa siku ulirudi kudai pesa yakoau ukarudi nyumbani kwa machungu? heheheheee wanaume ndo huwa mnarubunika kirahisi ila wanawake hadi watake wenyewe.
Ila itakuwa ulifaidi sana hadi ukatoa pesa zote hahahahaaa
Kasie, i like the flow of your post.
Anyways, learning how to give a massage is a nice skill to have, its pretty easy to learn the basics too. With just a little effort and people will thank you for it.
Helps score some brownie points with the ladies, too.
Had a friend whose one of his go to move was that, as he would get the ladies back to his place, he would just offer them a massage/should or foot rub . Talking about how a day can be stressful and it would help them relax and ease the stress. And that would be the start of a slippery slope to pound town. 9/10 it works, even though its a silly move.
Nilifaidi sana,yaani nilitoka mwepesiiii mpaka nikawa najiona kama napepea na upepo
Kumbe hii miili ni izito sbb tunabeba mawazo na mauchovu.
Tatizo kina Mama Yeyoo hamtaki kujifunza hata kwa kutumia mitandao jinsi ya kuwasinga waume zenu...Hii ni tiba nzuri sana!!Kuna wakati utataka kunywa panadol kumbe huumwi,ila ni ugonjwa
Mimi nafanya hii mara mbili kwa mwezi...Najisikia mwepesi sana siku hizi
Hahahaaa huenda nimekosa vinonoOoooh pole sijui kwanini hazifunguki, labda mods wamezi block maana ni za hukohuko chumba cha kusinga na yanayofanyika huko... mie naziona vyema tuu.
Naisubiri kwa hamu hiyo siku.Hhahahahahahaaaa usijali, wakati ujao ntakutaarifu ufike kunisinga...