Massage Parlour...

Massage Parlour...

Jiji la Kigali ndio lina michezo hiyo ya hatari, mji mmoja matata sana mi penda Kigali sana

Sehemu zote walikotawaliwa na wafaransa, mambo hayo lazima uyakute. Ila Kasie hakuwa huko, yuko maili mingi sana kutoka hapo.
 
I didn't get you... what 'you mean....!!!??? if you could explain please...

brownie points, are just imaginary points given to someone for doing a good deed.

E.g helping around the house, being a good listener, cooking dinner, and so on and so forth
 
mrembo gani yuko tayari aje anisinge sahii. kuna baridi hatari. aliye tayari aje pm.
 
SAA MOJA NDANI YA CHUMBA CHA KUSINGA


Habari za usiku mnene mabibi na mabwana, leo nina tukio limetokea le oleo hivi bado ni la moto wala halijapoa.

Niko sehemu flani hivi mahsusi kwa ajili ya mishe flani hivi, baada ya kupiga kazi kutwa nzima nikapata mlo wa mchana kwa kuchelewa kidogo kutokana na umuhimu wa kazi iliyokuwa inasubiriwa na viongozi tayari kwa kujadiliwa kesho kwenye kikao asubuhi na mapema.

Sasa baada ya kula nikawa nasikia uchovu maana leo nilidamka tangu saa 11 alfajiri ndo nikaanza kuifanya hiyo kazi na jana nilichelewa kulala. Nikajikokota moja kwa moja hadi mahala pangu nilikopangiwa kulala, nikaoga maji ya uvuguvugu kasha nikaweka mvinyo nusu glasi, kabla hata sijapiga fundo moja nikajisikia hovyo. Nikawapigia watu wa mapokezi kuwa nahitaji mhudumu mmoja aje nione ananisaidiaje. Alipofika nikamueleza nnavojisikia akanishauri niende kusingwa kwa saa moja kisha niingie kwenye chumba cha mvuke wa moto (steam room) sijui ndo wanaita sauna and spa…. Halafu ndo ninywe wine ntajisikia vizuri huo ni uchovu tuu wa mwili.

Mhudumu Yule akaniambia huduma yote hiyo itagharimu dola 50, nikasema sawa pesa makaratasi na inatafutwa uzima kwanza. Akaniacha mule chumbani nikaingia tena bafuni kujimwagia maji ya moto tayari kuelekea chumba cha kusingwa (massage room)

Nikafika eneo la tukio (chumba cha kusingwa) kulikuwa na mapokezi yake, mhudumu wa pale akanitaka nijaze fomu kabla na kunielezea aina ya kusingwa ntakayofanyiwa. Akanishauri nisingwe aina ya kuondoa uchovu wenyewe wanaita (whole body relaxtation massage). Nikajaza fomu na kupewa maelekezo nikawa tayari kuelekea chumba cha kusingwa. Kabla sijaenda huyo mdada wa mapokezi akaniuliza, ungependa kusingwa na mwanaume au mwanamke?? Kwakuwa nilikuwa nimechoka nikamjibu kwa haraka mwanaume huku nikielekea chumba cha kusingwa. Yule dada wa mapokezi akanipeleka hadi kwenye chumba na kuniambia ataniacha kwenye chumba hicho kwa dakika 10 nibadili nguo zangu kisha akanielekeza mahali pa kuziweka. Akaniambia nina uamuzi wa kuvua cupi au kuiacha nikiwa nimeivaa wakati wa kusingwa. Kisha kuna kitanda kirefu chembamba akielekeza nikimaliza kuvua nguo nijifunge taulo kubwa tuu kutoka kifuani hadi miguuni chini, nikishajifunga taulo nilale kifudifudi au nilalie tumbo kisha mkaka atayenisinga ataingia na kuanza kazi yake.

Ndani ya Chumba cha Kusinga!!!

Yule mdada mhudumu aliniacha pale chumbani, mwanga wa chumba akaucha ukiwa hafifu alizima taa kali na kubakisha taa hafifu. Kulikuwa na mziki maliniiii au mziki wa taratibu wa ala. Yaani ni vyombo vya mziki tuu ndo vilikuwa vikiimba huku chumba kikiwa na joto la wastani kwa makadirio nyuzi 24.

Basi nikachojoa nguo zangu zote nikaziweka nilipoelekezwa na uchukua taulo nikajifunga na kujilaza hapo kitandani huku nikiwa nimelalia tumbo. Usawa wa kichwani kitanda kina tundu ambapo uso unakuwa unaangalia chini sakafuni ikiwa utafumbua macho au utaacha macho wazi. (mfano wa picha hapo chini)
619-00675648en_Masterfile.jpg

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg


Basi mpenda starehe mie nikajilegeza mwili wote tayari kuubwaga uchovu kwa kusingwa, nikafumba macho huku nikisikilizia ala za mziki na utulivu wa kile chumba.

Kuja kuhamaki nasikia taulo linavutwa lile nililolilalia na kuwekwa kwa mtindo kama vile nimejifunika shuka bila kuchomekewa. Akanisalimia mkaka mweeh sauti nzito sikutaka hata kugeuka kumuangalia, nikaitikia salamu kisha akaniuliza napendelea mafuta yenye harufu ipi, nikachagua Rosiena kisha huduma ikaanza. Alichukua mikono yangu akaining’iniza chini kwa utaratibu kama vile isije ikanyofoka, kisha akafunua lile taulo hadi usawa wa matako yaani kiuno chote kikawa wazi. (mfano wa picha hapo chini)

673-03623249en_Masterfile.jpg

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg


Akaniambia ukiona tofauti au hujisikii sawa uniambie nipunguze mkandamizo au pia waweza sema niongeze, nikamuitikia sawa.

619-00675666en_Masterfile.jpg

Akaanza kunisinga mgongo kisha shingo kisha kiuno na tumbo la pembeni pande zote mbili kisha akashuka kwenye matako usawa wa kiuno mikono inaingia ndani ya taulo kidogoo kama anataka kuyatomasa matako… hapo ndo nikagundua kumbe naweza kufika orgasm / mshindo kwa kusingwa tuu.
693-06016511en_Masterfile.jpg

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image003.jpg


Niianza kusikia damu inachemka, kusisimka hasa alipokuwa akishika maeneo kwa maeneo, kumbuka taulo limekunjwa hadi usawa wa matako ila yamefunikwa, mie nikawa nasikilizia jinsi uchovu unavotoka mwilini.

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.jpg

693-06016510en_Masterfile.jpg


Akamaliza akanifunika na taulo hadi shingoni kisha akaniachama miguu ili kuwe na uwazi katikati bado nikiwa nimelalia tumbo, akafunua taulo upande wa mguu wa kushoto na kuliweka katikati ya miguu. Mguu wote ukawa wazi kuanzia kwenye paja hadi chini, tako tuu ndo lilikuwa limefunikwa. Akachukua mafuta na kuanza kunisinga oohh la laah… hapo ndo nikakumbuka nimekosea kuchagua msingaji wa kiume daah. Niseme ukweli tuu alinipandisha nyege maana alikuwa ananisinga kuanzia miguu chini anapanda kwenye mapaja kisha anaingiza mikono yake hadi chini ya matako na kurudi hadi miguuni chini. Daaah nikamwambia naomba breki kidogo akasema akisimama sitamaliza mwili wote na muda wangu ukiisha ntatakiwa kutoka ama laah nilipie tena.
masseur-makes-anticellulite-massage-young-woman-80457889

400-06690013en_Masterfile.jpg

masseur-makes-anticellulite-massage-young-woman-83293753

Nikatamani kusema nibadilishiwe msingaji aje wa kike, ila nikasema haya endelea hela yangu iende kihalali ila punguza makali kidogo maana chumbani niko mwenyewe. Basi nikamwambia apunguze mkandamizo ili usiniletee mhemko bali uchovu ndo utoke. Akamaliza na mguu wa kulia kisha akafunua taulo kujiziba uso na kuniamia nigeuke kulala kichali chali au nilalie mgongo ili anisinge na upande wa juu.
6100-06579571en_Masterfile.jpg

Nikafanya hivyo na hapa alinisinga usoni, kuanzia mapajani na kushuka chini hadi kwenye unyayo na mikono yote miwili.
600-03638841en_Masterfile.jpg

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image005.jpg


Wakati ananisinga kwa upande wa juu mapajani alichukua kitaulo kidogo akakilowesha maji ya moto na kuniwekea shingoni kwa chini nikalalia kile kitaulo uuuh kikanipa tulizo zuri hadi nikawa nasikia damu inavochemka ndani. Kifuani na tumboni hakupasinga na hapo akawa amemaliza.
619-00525845en_Masterfile.jpg

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.jpg


Saa ilipoisha akaniambia ananiacha kwa dakika 10 nijifunge taulo kisha anipeleke chumba cha mvuke wa moto. Basi nikaamka pale kitandani mwepesii nikajifunga taulo kubwa na kuvaa housecoat kuelekea chumba cha mvuke.

Huko aliniwekea nyuzi joto 42 nikakaa kwa dakika 10 kisha nikatoka kupoa kidogo. Nikiwa kwenye chumba cha mvuke, nilitoka majacho na kujisikia kama naondolewa dhambi zangu maana nilijiona uchovu wote kwisha. Basi nikaingia kuoga bafuni kisa nikavaa na kutoka mapokezi ya hiyo health club. Nika saini bili na kuelekea chumbani kwangu.

Nikafika bafuni nikaoga tena maji ya moto kwa kujisugua vizuri maana kule kwenye bafu la sauna baada ya kutoka kwenye mvuke wa moto nilioga maji ya baridi. Baada ya saa moja baadae nikala matunda na mtindi, wacha nikayaruke majoka maana uchovu wote kwisha.

Poleni kwa maelezo marefuuuu mie nashindwaga kufupisha mnisamehe bure, ila msiwaze kuwa huyu kaka wa kunisinga alifanya uhalifu kwenye mwili wa Kasie, hapana. Wafanyakazi wa hapa wamefunzwa kutii maadili ya kazi hivo pamoja na mie kupandisha mihemko wala hakuonesha dalili yoyote ya kushawishika kunanihii…..

Usiku mwema nyote, atakayeweza kusoma habaro yote awasoimulie watakaoona uvivu kusoma habaro yote, maana najua wako watakaosema habari ni ndefu na hawawezi kusoma yote….
Kasie.

680-02458010en_Masterfile.jpg

C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image007.jpg


680-02458009en_Masterfile.jpg


Hii massage parlour nimeipenda itabidi niitafute… mwalimu yuko makini na kazi yake, hashawishiki hata kidgo…
Aisee hongera ni kitu kizuri kwa afya ya mwili
 

Hii habari ya kusingwa achana kabisaaaa....niliwahi kubambwa sehemu nikaingia Massage Parlour
Nilikuja kustuka akili zinarudi nipo kwenye gari,naangalia mfukoni sina hata shilingi mia mfukoni
Kumbe wakati ule nasingwa nilikuwa naombwa hela naelekeza tu mtu akatoe kwenye suruali...Achana kabisa na mambo ya "Happy Ending"
 
Kweli tena nimeachwa mataa, sijaelewa kabisaa sitanii. Nieleweshe basi amemaanisha nini?
🙂 🙂 🙂 Ni Pm nikwambie alichomaanisha maana kuongea hapa mmh! moyo unasita, najaribu kuku Pm inashindikana.
 
Kasie ungemruhusu huyo bwana akupe mshedede..condom si zilikuwepo mamaa? unaogopa dudu washa
 
🙂 🙂 🙂 Ni Pm nikwambie alichomaanisha maana kuongea hapa mmh! moyo unasita, najaribu kuku Pm inashindikana.

Huo no urongo..... hujanitumianga PM hata, mbona ingine zinaingia...!! Au ako ni fupi hufikii kitufe cha send.... 😀😀
Wee tumanga tuu ntapata.
 
mrembo gani yuko tayari aje anisinge sahii. kuna baridi hatari. aliye tayari aje pm.

Haya warembo kazi kwenyu, mzuke PM ya Cheer mumpatie massage.

Cheer natumai warembo wataku PM kama ulivyowaasa.
 
brownie points, are just imaginary points given to someone for doing a good deed.

E.g helping around the house, being a good listener, cooking dinner, and so on and so forth

Luse.... to some extent my brain is dull especially when I try to digest your words.....

Can you translate your intended msg into Swahili language please.

Wanasemaga kuuliza si ujinga, ujinga ni kutojua na kunyamaza bila kuuliza.
 
Huo no urongo..... hujanitumianga PM hata, mbona ingine zinaingia...!! Au ako ni fupi hufikii kitufe cha send.... 😀😀
Wee tumanga tuu ntapata.
Teh teh teh, angu hata sio fupi, ngoja nijaribu kutuma tena sahivi tena kwa shabaha kabisa 🙂
 
Ooooh pole sijui kwanini hazifunguki, labda mods wamezi block maana ni za hukohuko chumba cha kusinga na yanayofanyika huko... mie naziona vyema tuu.
Kasie, Nimependa Kiswahili chako na KiInglish pia You are Mwaaa.
 
Teh teh teh, angu hata sio fupi, ngoja nijaribu kutuma tena sahivi tena kwa shabaha kabisa 🙂

Aahaaa waona sasa, ako mrefu wewe ulikuwa unaibailia tuu, acha hizoo.

Siku ingine pia, utumange tuu hata kama uko mfupi unachuchumia hadi ufikie kisha una press send... basi utashangaa inatumana na huku itafika muzuri tuu.

Hehhehehehehheheheheh uwe na mchana mwema.
 
Aahaaa waona sasa, ako mrefu wewe ulikuwa unaibailia tuu, acha hizoo.

Siku ingine pia, utumange tuu hata kama uko mfupi unachuchumia hadi ufikie kisha una press send... basi utashangaa inatumana na huku itafika muzuri tuu.

Hehhehehehehheheheheh uwe na mchana mwema.
Aiseh wewe unaoneka mtundu sana 🙂, uwe na mchana mwema pia.
 
Aiseh wewe unaoneka mtundu sana 🙂, uwe na mchana mwema pia.

Hahahahahahaaa hapana, wala sio mtundu. Kasie ni mpole tuu hata haongeagi sana, yuu atabasamu tuu heheheheheheee.

Asantee.
 
Back
Top Bottom