Masoud Kipanya: Uwezo wa kuweka fikra katika Katuni

affinitytz

JF-Expert Member
Feb 10, 2020
206
983
Nimekuwa nikifuatilia sana Katuni za ndugu Masoud Kipanya hasa katika ukurasa wake wa Twitter na nimegundua ana uwezo mkubwa sana wa kuwasilisha fikra pana za kisiasa na kijamii katika katuni.

Masoud anao ujumbe kwa wanajamii na wanasiasa.

Screenshot_20200822-084617.jpg
Screenshot_20200822-085454.jpg
 
Jamaa ana uwezo mzuri sana wa kuwakilisha wazo pana bila kutumia maneno na amedumu sana kwenye hiyo sanaa.
Akaunti yake ya Twitter ni miongoni mwa akaunti zenye followers wengi 1Million +.
 
Ni mmoja kati ya watangazaji na wanasanaa ambao nimewafahamu kwa kipindi kirefu. Masoud aliyekuwa aktangaza na Marehemu Amina Chifupa na Kaka Bonda, ndio huyuhuyu aliyepo mpaka sasa. Ni mtu maarufu ambaye umaarufu haujamtenga mbali na jamii. Huyu na King Kinya ni katunist wanaoelewa nini wanafanya. Sio sijui kina manoover, katuni inakuwa na maneno utafikiri hadithi za shigongo
 
Wapi, Bonda Boy?

Huku Nick Maira(RIP),
kule Conrad Dastun(RIP),

Majira ya Looooong time.
 
Huyu jamaa huwa namuelewa sana, ni mtu talented na ana uelewa mpana sana na pia yuko real.
 
Milkshake
Wengine Tutazame Naona Wakulima Na Watu Wengi Sasa Hivi Wanavuja Jasho
Kuzunguuka Hilo Jaba La Maziwa
 
KP ni Akili Kubwa sema tu sio mtu wa kujipendekeza,angejikita ktk kusifu na kuabudu ktk kazi zake hizi teuzi mbalimbali zilizopita na zijazo baada ya uchaguzi asingeachwa hivi hivi,tabia yake ya kukosoa na kusimamia ukweli inamnyima vingi vizuri..
 
Back
Top Bottom