Masoud Kipanya: Uwezo wa kuweka fikra katika Katuni

KP ni Akili Kubwa sema tu sio mtu wa kujipendekeza,angejikita ktk kusifu na kuabudu ktk kazi zake hizi teuzi mbalimbali zilizopita na zijazo baada ya uchaguzi asingeachwa hivi hivi,tabia yake ya kukosoa na kusimamia ukweli inamnyima vingi vizuri..

Ukweli wa upande upi.
 
Muumba wake na dini yake pia zamkataza kuishi kwa kujipendekeza, kwa sababu madhara ni makubwa kuliko faida.

Mifano halisi imejaa kibaoo
 
Mnajadili msichokijua

Masoud hajawahi kuwa upande mmoja

Hasifu tu wala hakosoi tu kama manyumbu mengi
Muumba wake na dini yake pia zamkataza kuishi kwa kujipendekeza, kwa sababu madhara ni makubwa kuliko faida.

Mifano halisi imejaa kibaoo
 
Eg0A9iUXcAAfGPp.jpg

🙌🙌🙌​
 
Back
Top Bottom