Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Miafrika mijinga kweli mwandishi wa habari huru sasa unataka afanye nini? Mbona Obama anachorwa kama mnyama na rais wa taifa kubwa duniani. Ije kuwa kipanya kuhoji maandamano ya uvccm kifupi chake.
 
Tatizo ni jina la 'Magu' kutajwa hapo juu au... Kwani maandamano ya uvsisiem yana lengo gani
 
Acheni kukopi kila kitu cha CHADEMA nyie, kwa ni lazima kuchukua maneno yote mawili ya mwanzo, kwani haiwezi kuwa UKM?
Inawezekana kama ulivyofikiri lakini usiwakataze wengine kufikiri zaidi ya hapo ulipoishia wewe na ndiomaana mwenye katuni aliacha watu wafikiri
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Mkuu hiyo ni Sanaa na amefikirisha tu utakavyoelewa ni juu yako uliyeona hiyo ndiyo sanaa
 
Hahaaa., haya masikhara ya KP mpaka raha! Hii inamanisha kama hupendi au huwezi utani kaa pembeni!!
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Si mumpeleke Mahakamani na ushahidi unao!
 
Uzuri Kipanya nae kauliza Swali! Hajajibu Swali.....kuuliza tu watu mipovu inawatoka je angejibu?!!
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Una akili ndogo Sana ,
 
huyu wakumhasi tu mshenz sana cjui anatangaza nn hiki. gazet lifungiwe kama c kupigwa faini
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Kwani kuna tusi gani hapo wewe.acha mihemko wewe
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Mkuu sioni tusi hapo. Kifupi inaweza kuwa UKM msilazimishe maana potovu. Kwani lazima kuiga mtindo was vifupisho?
 
Back
Top Bottom