Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya anavuka mipaka toka muda hadi ana kera kabisa halafu kuna mtu anakuja hapa kusema nchi hii ina udikteta..

Huyu Mjinga Masoud ana kera sana na amepitiliza...
rudi darasani dogo
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Hii ni onyo maanake ni msiwe mnakurupuka mtapata sifa mbaya .hakuna ubaya hapo.
 
.
Hata mhariri aliyepitisha katuni hii ana kesi ya kujibu.
Ingechapwa katika gazeti la udaku ningeelewa.
Lakini Mwananchi?
Mhariri umetia kinyaa wateja wako.
wadau hatuna shida.
 
We ndiyo mpuuzi, yeye kaandika kwa uhuru. Usifupishe maneno hayo kwa jinsi akili yako inavyotaka. Mi kwangu ni UKM, UMOKMA, UKUM, UKUSM, UKUSMA, UMOSM, UMOSUM, UKUSUPMA, N.K. sasa we fikiria ki""K"" hivo hivo. Hata akili ndogo ya kindergarten huna. Kiwango cha usanii cha KP ni cha PHD.
Una dalili zote za mtu anaetaka nimkaze.
 
Mtoa mada nikiangalia na hilo li profile picture uliloweka,, naanza kuelewa ni kwa nn Mungu aliangamiza sodoma na gomora,, Time will tell
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee nimecheka sanaaa
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Unaakili ndogo sana
 
Mtumie hiyo picha na kifupi cha hayo maneno waziri wa habari,Ili afanye ulilokusudia.
 
Back
Top Bottom