Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Mleta mada kama huna uwezo wa kudadavua usitake wengine wasipate fursa za kujieleza zilizopo kisheria
 
Yaani umesoma tu na kukurupuka na ufupisho wako unaodhani kuwa ni sahihi, hivi wewe unavyotembea unajiona upo sahihi kweli? mbona watu tunatafsiri zetu na hatujakuambia maana hatuna uhakika kama tunavyowaza ndio sahihi au
 
Yeye mbona aewalisha maneno UVCCM?Ni wapi UVCCM walisema maandamano yao yataitwa kwa neno hilo?wale wengine wanaongea kwa vinywa vyao kwamba neno ni UKUTA.
Mkuu acha kutetea mambo ya hovyo hovyo,wachora katuni mahiri huzingatia kuelimisha na kuburudisha bila kuleta confussion na unnecessary misunderstanding,kwa yeyote mwenye akili timamu hapa jina la mheshimiwa Rais limedhalilishwa na ndio sababu watu wanakosoa,nae kama ni muungwana na mwenye kujitambua ni vyema aombe radhi kwa hilo.
Una hasira sana mzee angalia mbele usijikwae, haya mambo hayataki hasira.
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Sidhani kama umemuelewa vizuri kipanya hapo,hajajibu swali aliloulizwa,hila wewe ndy umetafuta jibu!
Yeye ameulizwa kifupi akajibu kirefu!?
 
Yeye mbona aewalisha maneno UVCCM?Ni wapi UVCCM walisema maandamano yao yataitwa kwa neno hilo?wale wengine wanaongea kwa vinywa vyao kwamba neno ni UKUTA.
Mkuu acha kutetea mambo ya hovyo hovyo,wachora katuni mahiri huzingatia kuelimisha na kuburudisha bila kuleta confussion na unnecessary misunderstanding,kwa yeyote mwenye akili timamu hapa jina la mheshimiwa Rais limedhalilishwa na ndio sababu watu wanakosoa,nae kama ni muungwana na mwenye kujitambua ni vyema aombe radhi kwa hilo.
Confusion umeitengeneza mwenyewe.
 
Sioni faida ya Vyuo Vikuu Vingi Tanzania naona vinazalisha watu wa kawaida sana bora Ndalichako ameliona hili.,,
 
... lakini akipewa discipline kuna wapuuzi watasema demokrasia inavunjwa ... Hii nchi acha tupelekane kibabe walimchezea sana JK.
Si muifupishe tu kwan kuna tabu gani hapo? Kama hukudhamiria kutukana basi utakua hujafanya kosa.
 
Mi nashauri hata UKUTA uhairishwe,Kuwaumiza vijana wa lumumba ni kucheza na saikolojia yao tu..
 
Katika katuni.....wote wanauliza maswali............na jibu halijatolewa.......

Sasa huyu mtoa uzi....ndo kafikiria jibu....kwa hisia zake ananileta hapa.....na anataka tufanane majibu......

Kada wee.......
 
Hapo analeta mambo ya vijiweni sio kazi hiyo
Na hii utasemaje? si utalia kabisa..
CqCf3JzXYAAAXHv.jpg
 
Back
Top Bottom