Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Cha ajabu ni yeye na bavicha kuamini kuwa jpm ni dikteta, dikteta hakupi airtime ya vitu kama hivi!!
 
Hiyo ni kazi yake, ametumia akili sn kukufikishia ujumbe ila tafsiri ni juu yako utakavyoelewa wewe
 
Wewe huoni shida au umetumwa

Tuliza presha wewe. Kama kimekuuma sana chukua kamba jinyonge. Mnataka kila mtu achukuliwe hatua mtawachukulia wangapi? Maana karibu robo tatu ya watanzania hawawataki iloo lichama lenu.

Jiandaeni kwa mengi tuu huu ni mwanzo mpka ifike 2020 mtaanza kuwa wehu.
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Sasa unabisha kuwa kifupi chake sio UKUMA au!!?
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Ila naye kamtusi mtu alimpatia malezi
 
Kuna watu wanajipendekeza balaaa,hivi hilo tusi liko wapi hapo?,labda wewe uamue kutafsiri unavyotaka wewe
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Wewe jibu kwa kifupi. maandamano ya chadema ni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania kwa kifupi UKUTA,

Ya hawa uvccm ya kumpongeza magu kwa kifupi yaitweje?
 
Kimaadili hicho kifupi kina ukakasi, ukizingatia Ukuta unatumia silabi.
Kama ukuta wametumia silabi lazima na wewe utumie silabi? Nani kakulazimisha kutumia silabi? Mbona Chama cha mapinduzi hawakutumia silabi na wakapata CCM ubaya uko wapi. Wewe unaliwa na mawazo yako kichwani mwako
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
hii ni sanaa , usiitafsiri vile hisia zako zinavyotaka. basi imekuwa shida kila mahala.......?
 
Kwahyo nyie ata kama mnafanya mnaleta

kama sio tusi nieleweshe alikuwa analenga nini maana ww inaonesha unaielewa vizuri
Kwani yuviisisiemu walipo huwezi kufika? Kawaulize.
 
Acha kukurupuka wewe.Hakuna tusi hapo.
Hongera sana Komredi Masudi.
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
anajidai anaweza jiongeza huyo jamaaa. Masoud yupo sahihi kwa hiyo katuni
Kuna shida gani kwenye hiyo katuni? Au umeguswa kwa lipi?
 
Back
Top Bottom