UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,320
Kwani maneno si yako hapo uanze weweAndikeni basi kifupi chake wengine hatujui


shida iko wapi mbona hujiamini ?Kwani maneno si yako hapo uanze weweAndikeni basi kifupi chake wengine hatujui


shida iko wapi mbona hujiamini ?Mchezo huh hauhitaji hasira.huyu wakumhasi tu mshenz sana cjui anatangaza nn hiki. gazet lifungiwe kama c kupigwa faini
ni kinyaa kwenu miungu watu, haitawezekana kamwe kutawaliwa kwa fikira za mtu, Nyerere alituasa kumkataa kiongozi wa aina hiyo, natutamkataa kweli kweli,.
Hata mhariri aliyepitisha katuni hii ana kesi ya kujibu.
Ingechapwa katika gazeti la udaku ningeelewa.
Lakini Mwananchi?
Mhariri umetia kinyaa wateja wako.
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.
Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Sasa kwani Kipanya kakosea nini? Hayo maUVCCM wakati yanayapa jina maandamano yao hayakufikiri? Kipanya amesaidia tu kutonesha ukilazer wao!View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.
Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
sasa whats the point ya freedom of expression, huwezi ukamfungia mtu kisa kaandika kitu kinachokukera, thats not how it works
Jamaa anahusika na wale mbande alijuaje kuwa kuna mauaji kuleHapo analeta mambo ya vijiweni sio kazi hiyo
Nampenda sana Kipanya, na ni shabiki wake mkubwa.Anafanya kazi yake inavotakiwa, it maybe be provocative ila hakuna haja ya kuanza kumfungia
Kimaadili hicho kifupi kina ukakasi, ukizingatia Ukuta unatumia silabi.Hakuna abbreviation hapo wenye mawazo hayo mmezoea matusi na kukuza mambo. Katuni ni mjadala, wengine wameona UKUM.
Kiko wapi hicho kifupi ambacho wewe umekiona? Mbona tunapenda kutafsiri vitu hovyo hovyo?Kimaadili hicho kifupi kina ukakasi, ukizingatia Ukuta unatumia silabi.
Ha ha ha...Kiko wapi hicho kifupi ambacho wewe umekiona? Mbona tunapenda kutafsiri vitu hovyo hovyo?
UKM.. Hapo tusi liko wapi?Hakuna abbreviation hapo wenye mawazo hayo mmezoea matusi na kukuza mambo. Katuni ni mjadala, wengine wameona UKUM.