Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Mbona hamna tusi aliwazalo mjinga ndo linalomtokea, mleta mada ulipatikana kwenye mkesha wa mwenge nini?
 
Mi naona katoon ikijiuliza swali kwani huyo ni Nani?
 
We mleta mada ndio umetafisiri kwa maana zako unazojua we,shame on you ....
 
Masoud Kipanya anavuka mipaka toka muda hadi ana kera kabisa halafu kuna mtu anakuja hapa kusema nchi hii ina udikteta..

Huyu Mjinga Masoud ana kera sana na amepitiliza...
Katelelo UKUM....
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Hivi ndugu yangu huna hata sense of homour??? Mimi kwa siku ya leo katuni hii imenifanya nicheke [light touch]
 
Tatizo la hiyo katuni nini hasa?
Neno "morals" kwa mtanzania ni kitu cha ajabu sana, wanataka nchi iendeshwe kienyeji tu hawajui in the long run wao ndio wataumia. Ku-reason na watanzania kazi sana kwa kua majority uwezo wa kufikiri ni mdogo, hujakaa sawa wanaanza kukuletea mafungu ya vitabu vya dini kujustify mambo ya sheria, waafrika tumevurugwa at a very deep level, hadi mindset yetu iko ovyo sana.
 
mjinga kabsa mtoa mada hapo uvccm wanaandamana kwa sababu ya kumpongeza magufuli
 
kwani u
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.

ubaya uko wapi hapo? acheni kupanic jamani. 5 days to go
 
KAMA M4C WALI EDIT NA KUWA MAGUFULI FOR CHANGE ACHA NA HII IWE SAIZI YAO MAANA WAMEZOEA KUTAFUNIWA AFU WAO WAMEZE TU!
WASOMI TUPO HUKU ACHA TUWATAFUNIE VISHOIYA NYIE.
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
UKM kwani wewe umetafsiri vipi
 
Mtoa mada kaangalie maana na maudhui ya Katuni kabla hujaja kutoa mapovu huku
 
Hata mkimpeleka mahakamani anashinda hii kesi, hakuna sehem kaandika kifupi chake,
 
Exactly!

Nadhani hiyo ndiyo kazi ya Fasihi.Kumulika kila aina ya kinachoendelea katika jamii yake wakati wote.Hujawahi kusoma kitabu halafu ukakutana na matusi ya nguoni mule??

Basi ukikutana na Matusi,ujue muandishi kaimulika jamii yake kiusahihi kwakuwa hata hayo matusi aliyoyaandika yanasemwa kila kukicha.

Binafsi nadhani,Wewe "Njaga Tz" ndiye unapaswa kuchukuliwa hatua kwa kumleta Masoud Kipanya humu,Otherwise una lako jambo.
Kwa maana nyingine Masoud Kipanya amefikisha ujumbe kwa jamii inayofikiria mabo yaleeeeeee ndio maana mleta uzi anawaka kwa kuwa akili yake imempeleka kwenye matusi na ndio aina ya watu tulio nao
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
tusi linatoka wapi hapo, acha uoga ndugu, wala usipotoshe umma.
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.

Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Wewe ndo mawazo yako yapo kwenye hiyo kitu, kipanya yupo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom