Njanga Tz
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 843
- 655
- Thread starter
- #81
Mimi nashangaa kama mhariri anaruhusu kitu chenye ukakasi hv kuingia mtaani.
Hata mhariri aliyepitisha katuni hii ana kesi ya kujibu.
Ingechapwa katika gazeti la udaku ningeelewa.
Lakini Mwananchi?
Mhariri umetia kinyaa wateja wako.