Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Nitumwe na nani? Mi baba, labda we kama bado mtoto ndo unatumwa. Fafanua hili ueleweke, unajua watu kumi wanaweza kuangalia kitu kimoja lakini wakatoka na majibu tofauti. Kuna uwezekano ulivyoangalia umetafsiri tofauti na mimi ninavyotafsiri.Wewe huoni shida au umetumwa
Punguza jazma, jadili kilichoko mezani ili ueleweke!
Kauliza swali "Maandamano ya UVCCM hayana kifupi chake?"
Tafsiri ya swali hili yaweza kuwa kama ifuatavyo:-
a) "Maandamano ya Umoja wa Vichaa wa Chama Cha Majambazi hayana kifupi chake?"
b) "Maandamano ya Umuhimu wa Vyama vya Chakula Cha Mifugo hayana kifupi chake?"
c) "Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chukua Chako Mmapema hayana kifupi chake?"
d) "Maandamano ya Umoja wa Vijana Chama Cha Mmafisadi hayana kifupi chake?"
Huu ni mfano tu wa namna watu tofauti wanavyoweza kutofautiana kwenye kuielewa sentensi moja. Na kuna uwezekano hapo kwenye a - d hakuna tafsiri sahihi. Kazi yako kama umeguswa ni kutuletea ufafanuzi sahihi wa kile kilicholetwa na Bwana Kipanya.