Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Tumia akili za ziada,katuni ni fumbo unavyodhani au fikiria wewe ni tofauti na mwingine,wewe ndo JIPU,ukitaka kujua wewe ni jipu shauri serikali iende mahakamani ,mtauza jengo la Lumumba,makao makuu ,mapya ya CCM dodoma na redio uhuru na bado pesa za fidia hazitatosha,Kwa nini mnakuwa na akili mgando hivyo,yaan furaha yenu Rais atukuzwe basi mtafutieni nchi yake ya kusadikika,Ila hapa duniani lazima akosolewe,huwezi pendwa na watu wote,kama Yesu hakupendwa na watu wote na alikosolewa sembuse mwanadamu kama JPM,KWELI AKILI ZAKO CHANGANYA NA ZA MBAYUWAYU..................................
 
sasa kwani hilo ni tusi au kifupi.. halafui hakuna kiungo chenye jina hilo labda kama umefananisha na uke
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Masoud Kipanya anavuka mipaka toka muda hadi ana kera kabisa halafu kuna mtu anakuja hapa kusema nchi hii ina udikteta..

Huyu Mjinga Masoud ana kera sana na amepitiliza...
 
Exactly!

Nadhani hiyo ndiyo kazi ya Fasihi.Kumulika kila aina ya kinachoendelea katika jamii yake wakati wote.Hujawahi kusoma kitabu halafu ukakutana na matusi ya nguoni mule??

Basi ukikutana na Matusi,ujue muandishi kaimulika jamii yake kiusahihi kwakuwa hata hayo matusi aliyoyaandika yanasemwa kila kukicha.

Binafsi nadhani,Wewe "Njaga Tz" ndiye unapaswa kuchukuliwa hatua kwa kumleta Masoud Kipanya humu,Otherwise una lako jambo.
Kwahiyo umekubali fasihi ya tusi ya katuni
 
Khaaaaa...Masoud hajafupisha

wewe ndio umefupisha
 
we mleta uzi ndo umemaanisha.tusi liko wapi hapo? tena nyie ndio mnaomaanisha hadi mnaharibu asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili yanaonekana kama matusi sasa
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Umoja wa Kuchart Mara
 
Kabla sijaingia jf time hii kuna mtu kanionyesha hiyo katuni na tafsiri yake, hats kama Masoud hakuwa na maana hiyo hii kitu haijatulia.
Mkuu....
Ebu naomba unitafsirie maana halisi ya katuni hii, alafu uniambie nini kosa la Kipanya.
Maana tayari nimeshaanza mambo yangu yaleee.... , na nikianza kulewa hua nakua mgumu sana wa kuelewa
 
Kujipendekeza tu ndio mpango awamu hii
 
Back
Top Bottom