Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Waacheni watu na vyombo vya habari vifanye kazi na kutoa
maoni yao. Hivi munaona kila linalofanywa na CCM pekee ndio sawa tu? Au kwa vile dola iko mikononi mwenu?
Kwahyo nyie ata kama mnafanya mnaleta
Tusi liko wapi hapo,we ulieleta huu uzi ni lofa wa kiwango cha lami,na nikupe tahadhari tu kua makonda anawasaka nyie wote mnaojamiiwa na wanaume wenzenu.
kama sio tusi nieleweshe alikuwa analenga nini maana ww inaonesha unaielewa vizuri
 
Kufanyaje mbona hatukuelewi mleta uzi ?! Au unamlisha maneno
Huyu mleta uzi naona kama anataka tuamini taswira ya kile alicho kibaini baada ya kuisoma katuni ya Kipanya.
Mistaki kuwaza nje ya box aiseeee....
 
Exactly!

Nadhani hiyo ndiyo kazi ya Fasihi.Kumulika kila aina ya kinachoendelea katika jamii yake wakati wote.Hujawahi kusoma kitabu halafu ukakutana na matusi ya nguoni mule??

Basi ukikutana na Matusi,ujue muandishi kaimulika jamii yake kiusahihi kwakuwa hata hayo matusi aliyoyaandika yanasemwa kila kukicha.

Binafsi nadhani,Wewe "Njaga Tz" ndiye unapaswa kuchukuliwa hatua kwa kumleta Masoud Kipanya humu,Otherwise una lako jambo.
Mtu yoyote kwenye creative industry kazi yao ni kumulika what going on kwenye jamii na pia kumake you feel an emotion ukiangalia/sikiliza au soma their work. Haijalishi wether that emotion is fear, anger, sadness, happiness etc As long as they have made you feel something, then they have succeeded in doing their job.
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Inabidi utuambie ni ipi mipaka ya uhuru wamaoni??
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
hiyo ni tafsiri yako ulivyosoma. mimi sijatafrisi kama wewe
 
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
.
Hata mhariri aliyepitisha katuni hii ana kesi ya kujibu.
Ingechapwa katika gazeti la udaku ningeelewa.
Lakini Mwananchi?
Mhariri umetia kinyaa wateja wako.
 
Mkuu achaa kujipendekeza. Kipanya anaweka taswila ya uhalisi wa mazungumzo mitaani. Kwani wewe ukiwa miitaani unapomwongelea Raisi unasema Mheshimiwa Magufuli au hata Raisi Magufuli? Si huwa tunasema tu Magufuli au hata Magu? Ni sawa na kudhani kwamba ukiwa nyumbani mnaitana na mkeo mke wangu au mume wangu kama kwenye michezo ya kuigiza.
Umemaliza mkuu.
 
Back
Top Bottom