Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

Hakuna tafsiri sahihi katika kazi yoyote ya Sanaa kwa sababu tafsiri hukikita kwenye Mambo kadha wa kadha.
1. Hali ya jamiii kisiasa, kiuchumi na kijamii.
2. Kiwango Cha elimu cha mtafsiri.
3. Jinsi unavyoifahamu falsafa ya msanii husika.

Hivyo Basi, tafsiri halisi kabisaa anayo mchoraji. Wengine tunafanya subjective analysis.
 
Leo 1st October 2021 Msanii Maarufu ametoa/amepost katuni ambayo kila aliyejaribu kutafsiri ameishia njiani.

Binafsi nimebeba tu maana ya jumla kuwa kuna "hisia" Kali za maumivu na majonzi Mtunzi ametumia kupeleka ujumbe wake.

Ni kama vile nchi inaongozwa na genge la Wahuni wasiojali kitu na Ambao Mama mwenye ushungi (probably ni Raisi) hana options!

Nchi iko pabaya

IMG_20211001_112850.jpg
 
Simple sn huyo vampire ni mwendazake ,hio draft ni Samia anacheza na sukuma gang ukiangalia kete ni ngoma droo wametaitiana either mama atoe droo au awape sukuma gang ,hio glass ni damu ccm wao Ni kuua,kufunga hawajali kitu
Kwa sukuma gang ndio blood suckers? Na glass imejaa mvinyo au damu? Na kwa nini glass Imepasuka kidogo? Na Kipanya anatakankumwambiaje Mama?
 
Samia ana kete 2, huyo vampire ana kete 3 na hasikilizi mtu, anapata burudani na kikombe cha mvinyo wa dodoma pembeni.
Patamu hapo wanaume!

Na kwa mpangilio wa hizo kete hakuna sare.
Hata samia akitoa sadaka ya kete moja, bado vampire atabaki na kete tatu na atamnyuka kwa hizo tatu kwa moja.
 
Samia ana kete 2, huyo vampire ana kete 3 na hasikilizi mtu, anapata burudani na kikombe cha mvinyo wa dodoma pembeni.
Patamu hapo wanaume!
Kete mbili KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI?
 
Leo 1st October 2021 Msanii Maarufu ametoa/amepost katuni ambayo kila aliyejaribu kutafsiri ameishia njiani.

Binafsi nimebeba tu maana ya jumla kuwa kuna "hisia" Kali za maumivu na majonzi Mtunzi ametumia kupeleka ujumbe wake.

Ni kama vile nchi inaongozwa na genge la Wahuni wasiojali kitu na Ambao Mama mwenye ushungi (probably ni Raisi) hana options!

Nchi iko pabaya

View attachment 1959464
Anatakiwa asukume kete za njano
 
Acha kutisha watu...watamuua au nini hasa?

Hii nchi mbona inakuwa ya kipumbavu hivi?..yaani hadi katuni ambayo haina hata jina ni kosa??
Tulieni acheni dharau kwa mamlaka

Hamjapewa vipaji mtukane viongozi
 
Kwa sukuma gang ndio blood suckers? Na glass imejaa mvinyo au damu? Na kwa nini glass Imepasuka kidogo? Na Kipanya anatakankumwambiaje Mama?
Na kwanini kofia ni kijani na headset ni nyekundu!!!?
 
Anatakiwa asukume kete za njano
An idiom "skeleton in the closet" means an undisclosed facts about someone which, if revealed, would damage perceptions of the person.

Nyuma ya "cartoon" pengine kuna ujumbe muhimu sana. Uwepo wa vitu katika hiyo "skeleton" kama kofia na sigara mkononi mwake; uwepo wa glasi yenye kinywaji kama mvinyo na mchezo wa "draft" wenye kete chache zilizobaki kwa huyo bibie aliye mchezoni ni "codes" zenye kuhitaji utulivu kuzifungua.

Ni wazi kuwa mzimu una kila dalili za kushinda "game" na ukiibuka mshindi, basi hapo bibie ndiyo kwishiney.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom