Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

huyu kipanya ni mchochezi na anatumika vibaya kwa masilahi ya tumbo lake.
tuna muonya atumie vizuri taaluma yake, asilewe misifa! akajisahau.

Acha kutisha watu mkuu,Usipomwelewa au kumwelewa tofauti tayari ni mchochezi!.
 
Kwa sisi wachezaji mahiri wa "draft" hapo mchezo utakuwa umekwisha kama ni zamu ya bibie. Lakini kama ni zamu ya mzimu basi mchezo utakuwa "draw"
 
Leo 1st October 2021 Msanii Maarufu ametoa/amepost katuni ambayo kila aliyejaribu kutafsiri ameishia njiani.

Binafsi nimebeba tu maana ya jumla kuwa kuna "hisia" Kali za maumivu na majonzi Mtunzi ametumia kupeleka ujumbe wake.

Ni kama vile nchi inaongozwa na genge la Wahuni wasiojali kitu na Ambao Mama mwenye ushungi (probably ni Raisi) hana options!

Nchi iko pabaya

View attachment 1959464
Hangaya akikosea kete moja tuu.... bye bye tunaenda Guinea kidogo
 
Leo 1st October 2021 Msanii Maarufu ametoa/amepost katuni ambayo kila aliyejaribu kutafsiri ameishia njiani.

Binafsi nimebeba tu maana ya jumla kuwa kuna "hisia" Kali za maumivu na majonzi Mtunzi ametumia kupeleka ujumbe wake.

Ni kama vile nchi inaongozwa na genge la Wahuni wasiojali kitu na Ambao Mama mwenye ushungi (probably ni Raisi) hana options!

Nchi iko pabaya

View attachment 1959464
Hivi misukule ina maanisha nini, nimewahi kusikia tu lakini maana halisi bado sijaipata 'I like silent language'
 
Tafsiri yangu: kuna mpambano mkali kati ya tunaowafahamu na tusiowafahamu. Tunaowafahamu wanatafakari na kutusikiliza wakati wakiendelea na mpambano huo.

Tusiowafahamu hawajali-wao wanaendelea kustarehe tena kwa vitu haramu wakiwa hawamsikilizi yeyote huku wakiendelea na mpambano.

Yatupasa kuongeza sauti na maombi kwa tunaowafahamu. Yawezekana hali si njema sirini huko na tunaowafahamu wakipoteza pambano itakuwa jau sana.
 
Bavicha na bawacha wape picha tu halafu soma comment zao ndio utajua kwanini kuwa misukule ni adhabu kubwa sana kwao
 
71919D7C-CA18-432C-9C9C-D4A71A5BFE96.jpeg
 
Akae
An idiom "skeleton in the closet" means an undisclosed facts about someone which, if revealed, would damage perceptions of the person.

Nyuma ya "cartoon" pengine kuna ujumbe muhimu sana. Uwepo wa vitu katika hiyo "skeleton" kama kofia na sigara mkononi mwake; uwepo wa glasi yenye kinywaji kama mvinyo na mchezo wa "draft" wenye kete chache zilizobaki kwa huyo bibie aliye mchezoni ni "codes" zenye kuhitaji utulivu kuzifungua.

Ni wazi kuwa mzimu una kila dalili za kushinda "game" na ukiibuka mshindi, basi hapo bibie ndiyo kwishiney.
Akae major, asitoke!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom